Kwanini Mbeya ni jiji? My Detailed Explanation

Traxtion

JF-Expert Member
Joined
Dec 10, 2021
Posts
7,595
Reaction score
15,506
PXL_20260601_140705775.MP.jpg
Moja ya maswali ambayo watu wengi wanauliza mara kwa mara hapa jukwaani ni kwa nini Mbeya ni jiji. Wengine wanasema kuwa hata miji kama Iringa, Moshi na Morogoro ingefaa kuitwa jiji kuliko Mbeya.
PXL_20260411_080632596~2.jpg
Ukiangalia sababu kubwa inayofanya watu kuleta comparison kama hizi utagundua wengi wao wanaangalia maghorofa kuliko factors za kufanya sehemu kuwa jiji. Leo hii akitokea tajiri akajenga maghorofa kumi na tano katika mji wa Lindi na kuwapa masikini waishi bure, baadhi ya watu wakiangalia picha za maghorofa hayo wataanza kudai Lindi inafaa kuwa jiji. Wanasahau kuwa jiji ni combination ya factors nyingi.
PXL_20260601_135938758.MP.jpg

Wengine wanatoa sababu kama nyumba za matope, slums, barabara mbovu, mpangilio mbovu wa mji na vumbi kama sababu halisi za kunyima Mbeya hadhi ya kuwa jiji. Lakini madai haya kwa asilimia kubwa yanapuuzia sababu halisi zinazofanya Mbeya iwe na hadhi ya jiji. Ukiniuliza mimi, nitakuambia ni kweli Mbeya ina barabara mbovu na mpangilio wa hovyo sana. Lakini je, hizi ni sababu za kufanya Mbeya lisiwe jiji? Hapana, sababu hizi zinafanya Mbeya kuwa jiji lenye barabara mbovu, au jiji lenye mpangilio wa hovyo na si kuondoa hadhi ya jiji moja kwa moja.
PXL_20260601_135735289.jpg

Nini maana ya jiji?
“Jiji ni mji mkubwa sana ulioendelea kiviwanda, kiuchumi na kijamii wenye idadi kubwa ya watu na hadhi maalumu kisheria au kiutawala. Mara nyingi linakuwa kitovu cha utawala kama vile kuwa makao makuu ya mkoa au nchi”
Hakuna vigezo vya dunia nzima vinavyotumika kuclassify majiji, mara nyingi hutegemea vigezo vya nchi husika, na hapa ndio confusion kubwa inatokea. Hata hivyo kuna sifa za msingi ambavyo majiji huwa navyo in common ambavyo kwa asilimia kubwa Mbeya ina sifa hizi zote.

Hapa nitataja sifa mbalimbali zinatofautisha Mbeya na miji ya kawaida kama Morogoro, Moshi na Iringa.

1.Mbeya ina mapato makubwa sana na biashara nyingi
PXL_20260511_145423733.jpg

Jiji la Mbeya ndio makao makuu ya mkoa wa Mbeya lakini pia ni sehemu inayokusanya mapato makubwa sana. Jiji la Mbeya always lipo top 5 ya miji yenye mapato makubwa zaidi Tanzania. Maana yake ni jiji linalojitosheleza sana kimapato kuliko miji mingi Tanzania kwa hiyo haiwezi kufanana na Iringa au Moshi. Jiji la Mbeya lina very big magnetic effect, watu kutoka maeneo kama Songwe, Makambako, Sumbawanga, Iringa, Njombe nk wanafanya movements kubwa sana za kuingia na kutoka ndani ya jiji la Mbeya kwa ajili ya biashara.
PXL_20260511_153303820.jpg

Jiji la Mbeya ni centre ya biashara kwa ukanda huu. Pia ni gateway ya kuingilia nchi jirani ya Zambia, kitu kilichofanya Mbeya kuwa very busy hadi barabara ya TANZAM imeharibika kutokana na shughuli hizi na bado inaonekana haitoshi, kwa sasa inapanuliwa kuwa njia nne (Japo kwa speed ya konokono)

2. Mbeya ina idadi kubwa sana ya watu
PXL_20260424_151224249.jpg

Jiji la Mbeya lina idadi kubwa sana ya watu, takribani watu laki 6 kwa eneo la jiji pekee. Hii inarudi moja kwa moja kwenye maana ya jiji. Siku zote sifa ya jiji lolote lile ni kuwa na watu wengi na kwa Tanzania watu alaki 6 katika mji mmoja ni wengi sana. Ndio sababu Mbeya always iko busy na biashara nyingi, ina population kubwa

3. Jiji la Mbeya ni kubwa sana kieneo
PXL_20260502_115010430.jpg

Moja ya sifa inayotofautisha Mbeya na miji kama Iringa au Mtwara sio tu population bali size ya mji pia. Jiji la Mbeya lina ukubwa wa takribani 250km2 . Size hii ni moja ya tatu ya jiji la Nairobi, meaning makazi ya watu yamesambaa kwa eneo kubwa sana. Eneo hili tayari ni kubwa sana kutosha sehemu kuwa jiji. Fun fact, watu wengi wanaishi Mbeya miaka na miaka bila kukanyaga maeneo mengine ya jiji hilo au bila hata kujua kama yanaexist. Mfano, ninajua wakazi wengi wa Uyole hawapajui Maziwa au St Marcus ambako ni 20km kutoka wanapoishi lakini ni ndani ya jiji moja.

4. Jiji la Mbeya limeendelea sana kwenye huduma nyingi za kijamii
PXL_20260424_150543896.jpg

Jiji la Mbeya liko mbali sana kwenye huduma nyingi za kijamii, kitu ambacho wengi wanakiouuzia wanapoanza kui judge Mbeya kuwa ni jiji au la.

Kwanza tukianza na shule. Jiji la Mbeya lina shule nyingi na zimezagaa karibia kila kona ya jiji kuanzia shule za serikali hadi za private, shule za primary hadi high school, za day hadi za bweni ikiwemo shule famous ya wasichana “St Francis Secondary School” na shule kongwe kama “Iyunga Technical Secondary School”
PXL_20260429_163025852.NIGHT.jpg

Kama shule si big deal basi angazia vyuo vinavyopatikana ndani ya jiji la Mbeya, kuanzia vya kati hadi vikuu ngazi ya Diploma hadi PHD. Mbeya ndio jiji la pili kwa kuwa na vyuo vingi nchini Tanzania, inazidiwa na Dar es Salaam pekee. Mfano wa vyuo vinavyopatikana Mbeya ni
  • Mbeya University of Science and Technology (MUST)
  • University of Dar es Salaam, Mbeya branch (MCHAS)
  • Catholic University of Mbeya (CuoM)
  • College of Business and Education, Mbeya branch (CBE)
  • Tanzania Institute of Accountancy, Mbeya branch (TIA)
  • Mzumbe University, Mbeya branch (MU)
  • Teofilo Kisanji University (TEKU)
  • Southern Highlands College of Health and Allied Sciences
  • Agricultural Research Institute, Uyole
  • Chuo cha Utumishi wa Umma Tanzania
  • St John College of Health Science
  • K’s Royal College of Health and Allied Sciences
  • Mbeya Polytechnic College nk

Hivi vuo vyote zaidi ya 10 vipo ndani ya jiji la Mbeya na vyuo kama MUST na MCHAS ni among the best in Tanzania. Ukitazama kwa makini utagundua Mbeya ina vyuo vya kila aina kuanzia Uhandisi, biashara, Afya, Kilimo, sanaa nk

Tukija kwenye hospitali, kuanzia za serikali mpaka za private zimezagaa kila sehemu hapa Mbeya. Mfano wa hospitali za Mbeya ni
  • Meta Maternity Hospital, (Biggest maternity hospital in Tanzania)
  • K’s Hospital Mbeya
  • Maranatha Hospital
  • Mbeya Surgical Clinic
  • Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Mbeya
  • UWATA HOSPITAL, IVUMWE MBEYA
  • UHAI Health Care nk
Screenshot_20260601-192531.png
Screenshot_20260601-192648.png
Screenshot_20260601-193016.png

Mbeya kuna masoko mengi ikiwemo soko kubwa la Mwanjelwa, Kuna stendi za mabasi mbili, Nanenane na Stendi Kuu na pia stendi mpya inajengwa pale Old Airport.
PXL_20260424_144009738.jpg

Umeme na maji Mbeya uko available muda mwingi kuliko miji mingi Tanzania. Tena kwa sekta hii Mbeya ipo vizuri kuliko hata Dar. Ni nadra sana kusikia umeme umekatika Mbeya. Wanakata umeme lakini si mara nyingi na hawakawii kurudisha.

5. Mbeya ina viwanda vingi
Moja ya sifa inayotofautisha Mbeya na miji mingi ya kawaida Tanzania ni pamoja na viwanda vingi au makao makuu ya baadhi ya viwanda. Jiji la Mbeya lina hadi eneo lililotengwa kwa ajili ya viwanda “Iyunga Industrial Area” kuna viwanda vya Pepsi na Mirinda, Cocacola, TBL, tiles, magodoro, kuprocess kahawa, kiwanda cha madawa msd na vingine vingi
Mbeya iko busy sana kiuchumi, inaingiza na kutoa mizigo mingi sana kwenda mikoa mingine na nchi jirani. Isitoshe Mbeya ina hadi Bandari Kavu kutokana na shughuli za kiuchumi zilivyo nyingi

Now sisemi kuwa changamoto za Mbeya si za kweli. Changamoto zipo nyingi na asilimia kubwa ni kwa sababu ya uzembe wa serikali na hazifanyi Mbeya kutokuwa jiji. Barabara nyingi za Mbeya ni mbovu, bado zina mashimo, hakuna streetlights, mpangomji ni hovyo kabisa, vumbi kali pembezoni mwa barabara ya TANZAM kutokana na kuchelewa kupanua barabara hiyo, bado kuna uhaba wa mitaro na iliyokuwepo mingi imejaa mchanga na slums ni nyingi sana.
Licha ya serikali kuiacha Mbeya nyuma kwa miaka mingi kwa kutoipa miradi mingi inayostahili Mbeya bado imebaki kuwa kitovu cha uchumi Nyanda za Juu Kusini na watu hawajastop kujenge jiji lao. Mbeya inakua kwa kasi sana. Kila siku neighbourhoods mpya zinaibuka, watu wanafungua biashara, wanajenga nyumba nzuri, mji unakua. Ni miundombinu na mpangomji ndio vinaangusha jiji la Mbeya
PXL_20260424_150009663.jpg
PXL_20260424_145918595.jpg
PXL_20260424_145935523.jpg

Kutokana na Mbeya kuwa na nguvu kubwa sana kiuchumi, solution ya matatizo yake cha kwanza ni kuunda serikali za majimbo. Hii itawezesha mapato makubwa ya Mbeya kuweza kuboresha hali ya jiji la Mbeya na sio miji mingine na Mbeya itakuwa mbali sana kimiundombinu
Kwa sasa serikali inaona Mbeya kama tu just another town in Tanzania. Hawaichukulii serious enough ukilinganisha na potential ya jiji hili lakini siku Mbeya ikiweza kujitawala kama jimbo itafika mbali sana.
PXL_20260424_142634107.jpg
PXL_20260424_140902021.jpg
PXL_20260424_140940602.jpg
PXL_20260424_140723233.jpg
PXL_20260424_141102462.jpg
PXL_20260413_140102649.jpg
PXL_20260413_135036888.jpg

PXL_20260424_151127996.jpg
PXL_20260424_144610242.jpg
 
View attachment 3599442Moja ya maswali ambayo watu wengi wanauliza mara kwa mara hapa jukwaani ni kwa nini Mbeya ni jiji. Wengine wanasema kuwa hata miji kama Iringa, Moshi na Morogoro ingefaa kuitwa jiji kuliko Mbeya.
View attachment 3599465 Ukiangalia sababu kubwa inayofanya watu kuleta comparison kama hizi utagundua wengi wao wanaangalia maghorofa kuliko factors za kufanya sehemu kuwa jiji. Leo hii akitokea tajiri akajenga maghorofa kumi na tano katika mji wa Lindi na kuwapa masikini waishi bure, baadhi ya watu wakiangalia picha za maghorofa hayo wataanza kudai Lindi inafaa kuwa jiji. Wanasahau kuwa jiji ni combination ya factors nyingi.
View attachment 3599443
Wengine wanatoa sababu kama nyumba za matope, slums, barabara mbovu, mpangilio mbovu wa mji na vumbi kama sababu halisi za kunyima Mbeya hadhi ya kuwa jiji. Lakini madai haya kwa asilimia kubwa yanapuuzia sababu halisi zinazofanya Mbeya iwe na hadhi ya jiji. Ukiniuliza mimi, nitakuambia ni kweli Mbeya ina barabara mbovu na mpangilio wa hovyo sana. Lakini je, hizi ni sababu za kufanya Mbeya lisiwe jiji? Hapana, sababu hizi zinafanya Mbeya kuwa jiji lenye barabara mbovu, au jiji lenye mpangilio wa hovyo na si kuondoa hadhi ya jiji moja kwa moja.
View attachment 3599444
Nini maana ya jiji?
“Jiji ni mji mkubwa sana ulioendelea kiviwanda, kiuchumi na kijamii wenye idadi kubwa ya watu na hadhi maalumu kisheria au kiutawala. Mara nyingi linakuwa kitovu cha utawala kama vile kuwa makao makuu ya mkoa au nchi”
Hakuna vigezo vya dunia nzima vinavyotumika kuclassify majiji, mara nyingi hutegemea vigezo vya nchi husika, na hapa ndio confusion kubwa inatokea. Hata hivyo kuna sifa za msingi ambavyo majiji huwa navyo in common ambavyo kwa asilimia kubwa Mbeya ina sifa hizi zote.

Hapa nitataja sifa mbalimbali zinatofautisha Mbeya na miji ya kawaida kama Morogoro, Moshi na Iringa.

1.Mbeya ina mapato makubwa sana na biashara nyingi
View attachment 3599445
Jiji la Mbeya ndio makao makuu ya mkoa wa Mbeya lakini pia ni sehemu inayokusanya mapato makubwa sana. Jiji la Mbeya always lipo top 5 ya miji yenye mapato makubwa zaidi Tanzania. Maana yake ni jiji linalojitosheleza sana kimapato kuliko miji mingi Tanzania kwa hiyo haiwezi kufanana na Iringa au Moshi. Jiji la Mbeya lina very big magnetic effect, watu kutoka maeneo kama Songwe, Makambako, Sumbawanga, Iringa, Njombe nk wanafanya movements kubwa sana za kuingia na kutoka ndani ya jiji la Mbeya kwa ajili ya biashara.
View attachment 3599446
Jiji la Mbeya ni centre ya biashara kwa ukanda huu. Pia ni gateway ya kuingilia nchi jirani ya Zambia, kitu kilichofanya Mbeya kuwa very busy hadi barabara ya TANZAM imeharibika kutokana na shughuli hizi na bado inaonekana haitoshi, kwa sasa inapanuliwa kuwa njia nne (Japo kwa speed ya konokono)

2. Mbeya ina idadi kubwa sana ya watu
View attachment 3599449
Jiji la Mbeya lina idadi kubwa sana ya watu, takribani watu laki 6 kwa eneo la jiji pekee. Hii inarudi moja kwa moja kwenye maana ya jiji. Siku zote sifa ya jiji lolote lile ni kuwa na watu wengi na kwa Tanzania watu alaki 6 katika mji mmoja ni wengi sana. Ndio sababu Mbeya always iko busy na biashara nyingi, ina population kubwa

3. Jiji la Mbeya ni kubwa sana kieneo
View attachment 3599447
Moja ya sifa inayotofautisha Mbeya na miji kama Iringa au Mtwara sio tu population bali size ya mji pia. Jiji la Mbeya lina ukubwa wa takribani 250km2 . Size hii ni moja ya tatu ya jiji la Nairobi, meaning makazi ya watu yamesambaa kwa eneo kubwa sana. Eneo hili tayari ni kubwa sana kutosha sehemu kuwa jiji. Fun fact, watu wengi wanaishi Mbeya miaka na miaka bila kukanyaga maeneo mengine ya jiji hilo au bila hata kujua kama yanaexist. Mfano, ninajua wakazi wengi wa Uyole hawapajui Maziwa au St Marcus ambako ni 20km kutoka wanapoishi lakini ni ndani ya jiji moja.

4. Jiji la Mbeya limeendelea sana kwenye huduma nyingi za kijamii
View attachment 3599452
Jiji la Mbeya liko mbali sana kwenye huduma nyingi za kijamii, kitu ambacho wengi wanakiouuzia wanapoanza kui judge Mbeya kuwa ni jiji au la.

Kwanza tukianza na shule. Jiji la Mbeya lina shule nyingi na zimezagaa karibia kila kona ya jiji kuanzia shule za serikali hadi za private, shule za primary hadi high school, za day hadi za bweni ikiwemo shule famous ya wasichana “St Francis Secondary School” na shule kongwe kama “Iyunga Technical Secondary School”
View attachment 3599448
Kama shule si big deal basi angazia vyuo vinavyopatikana ndani ya jiji la Mbeya, kuanzia vya kati hadi vikuu ngazi ya Diploma hadi PHD. Mbeya ndio jiji la pili kwa kuwa na vyuo vingi nchini Tanzania, inazidiwa na Dar es Salaam pekee. Mfano wa vyuo vinavyopatikana Mbeya ni
  • Mbeya University of Science and Technology (MUST)
  • University of Dar es Salaam, Mbeya branch (MCHAS)
  • Catholic University of Mbeya (CuoM)
  • College of Business and Education, Mbeya branch (CBE)
  • Tanzania Institute of Accountancy, Mbeya branch (TIA)
  • Mzumbe University, Mbeya branch (MU)
  • Teofilo Kisanji University (TEKU)
  • Southern Highlands College of Health and Allied Sciences
  • Agricultural Research Institute, Uyole
  • Chuo cha Utumishi wa Umma Tanzania
  • St John College of Health Science
  • K’s Royal College of Health and Allied Sciences
  • Mbeya Polytechnic College nk

Hivi vuo vyote zaidi ya 10 vipo ndani ya jiji la Mbeya na vyuo kama MUST na MCHAS ni among the best in Tanzania. Ukitazama kwa makini utagundua Mbeya ina vyuo vya kila aina kuanzia Uhandisi, biashara, Afya, Kilimo, sanaa nk

Tukija kwenye hospitali, kuanzia za serikali mpaka za private zimezagaa kila sehemu hapa Mbeya. Mfano wa hospitali za Mbeya ni
  • Meta Maternity Hospital, (Biggest maternity hospital in Tanzania)
  • K’s Hospital Mbeya
  • Maranatha Hospital
  • Mbeya Surgical Clinic
  • Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Mbeya
  • UWATA HOSPITAL, IVUMWE MBEYA
  • UHAI Health Care nk
View attachment 3599437View attachment 3599438View attachment 3599441

Mbeya kuna masoko mengi ikiwemo soko kubwa la Mwanjelwa, Kuna stendi za mabasi mbili, Nanenane na Stendi Kuu na pia stendi mpya inajengwa pale Old Airport.
View attachment 3599457
Umeme na maji Mbeya uko available muda mwingi kuliko miji mingi Tanzania. Tena kwa sekta hii Mbeya ipo vizuri kuliko hata Dar. Ni nadra sana kusikia umeme umekatika Mbeya. Wanakata umeme lakini si mara nyingi na hawakawii kurudisha.

5. Mbeya ina viwanda vingi
Moja ya sifa inayotofautisha Mbeya na miji mingi ya kawaida Tanzania ni pamoja na viwanda vingi au makao makuu ya baadhi ya viwanda. Jiji la Mbeya lina hadi eneo lililotengwa kwa ajili ya viwanda “Iyunga Industrial Area” kuna viwanda vya Pepsi na Mirinda, Cocacola, TBL, tiles, magodoro, kuprocess kahawa, kiwanda cha madawa msd na vingine vingi
Mbeya iko busy sana kiuchumi, inaingiza na kutoa mizigo mingi sana kwenda mikoa mingine na nchi jirani. Isitoshe Mbeya ina hadi Bandari Kavu kutokana na shughuli za kiuchumi zilivyo nyingi

Now sisemi kuwa changamoto za Mbeya si za kweli. Changamoto zipo nyingi na asilimia kubwa ni kwa sababu ya uzembe wa serikali na hazifanyi Mbeya kutokuwa jiji. Barabara nyingi za Mbeya ni mbovu, bado zina mashimo, hakuna streetlights, mpangomji ni hovyo kabisa, vumbi kali pembezoni mwa barabara ya TANZAM kutokana na kuchelewa kupanua barabara hiyo, bado kuna uhaba wa mitaro na iliyokuwepo mingi imejaa mchanga na slums ni nyingi sana.
Licha ya serikali kuiacha Mbeya nyuma kwa miaka mingi kwa kutoipa miradi mingi inayostahili Mbeya bado imebaki kuwa kitovu cha uchumi Nyanda za Juu Kusini na watu hawajastop kujenge jiji lao. Mbeya inakua kwa kasi sana. Kila siku neighbourhoods mpya zinaibuka, watu wanafungua biashara, wanajenga nyumba nzuri, mji unakua. Ni miundombinu na mpangomji ndio vinaangusha jiji la Mbeya
View attachment 3599453View attachment 3599455View attachment 3599456
Kutokana na Mbeya kuwa na nguvu kubwa sana kiuchumi, solution ya matatizo yake cha kwanza ni kuunda serikali za majimbo. Hii itawezesha mapato makubwa ya Mbeya kuweza kuboresha hali ya jiji la Mbeya na sio miji mingine na Mbeya itakuwa mbali sana kimiundombinu
Kwa sasa serikali inaona Mbeya kama tu just another town in Tanzania. Hawaichukulii serious enough ukilinganisha na potential ya jiji hili lakini siku Mbeya ikiweza kujitawala kama jimbo itafika mbali sana.
View attachment 3599458View attachment 3599459View attachment 3599460View attachment 3599461View attachment 3599462View attachment 3599463View attachment 3599464
View attachment 3599451View attachment 3599454
Ukweli mtupu. Mbeya ni jiji kubwa sana Tanzania na huenda likaja kuwa number 2 Tanzania kwa kila kitu. Sema linapigwa siasa sana na kufanya lionekane dogo. Wengi wanaofanya hivyo hawajasafiri sana hapa Tanzania.
 
Hujaitaja Mbeya Zonal Referral Hospital, haujataja ubize wa Songwe Airport, idadi ya mabus yanayoingia na kutoka Mbeya daily, haujaongelea satelite towns za Uyole na Mbalizi (japo sio sehemu ya jiji). Watu watakuja kushangazwa huko mbele. Mbeya is so big!!
 
Mbeya ipo vizuri matatizo ya Mbeya ndio kama yale ya Mwanza, hii mikoa ni kama haina support yoyote kutoka serikali kuu kwa kiwango kinachoitajika, nakuunga mkono serikali ya majimbo ndio muarobaini ya haya yote.
 
Ukweli mtupu. Mbeya ni jiji kubwa sana Tanzania na huenda likaja kuwa number 2 Tanzania kwa kila kitu. Sema linapigwa siasa sana na kufanya lionekane dogo. Wengi wanaofanya hivyo hawajasafiri sana hapa Tanzania.
Kuwa namba mbili hapo unazingua lakini inaweza kuwa namba tatu kitaifa.
 
Mbeya Kuna vumbi sana hata ivyo kwa Sasa imebadilika sana miaka ya nyuma sikuwai kufikiria kuishi mbeya Lakini kwa Sasa nikiamua naweza kuishi watu wamewekeza sana yaani zamani mbeya nyumba zenye umeme zilikuwa zinahesabika Lakini Sasa ivi kunashawishi.
 
Kwa sifa hizi kwa nini Temeke, Kinondoni, Ubungo sio jiji?

Inabidi tuwe na Temeke city, Ubungo City na Kinondoni city?
 
Mbeya kuzuri sana
 
Kwa sifa hizi kwa nini Temeke, Kinondoni, Ubungo sio jiji?

Inabidi tuwe na Temeke city, Ubungo City na Kinondoni city?
Tayari ni part ya jiji la Dar es Salaam
Dar ni jiji kubwa linalojumuisha maeneo unayotaja. Ukiwa Kinondoni bado uko ndani ya jiji

Pia serikali inaweza kuamua Kinondoni kuwa jiji kama imetimiza vigezo lakini itaongeza gharama za kiutawala zisizo na ulazima na tayari Kinondoni inaexist na the rest of Dar es Salaam kama one functional big city so it makes sense Dar kubaki kuwa jiji lenye manispaa nyingi badala ya kubadili kila manispaa yake kuwa hadhi ya jiji
 
Jiji la Dar es salaam ni wilaya ya ilala tu.
Maeneo ya Dondwe, Chanika, Kidole, Kiboga, Kitonga, Mbondole, Msongola, Kivule, Kitunda, Vingunguti, Buguruni, kwa mnyamani.

Ila Temeke sio sehemu ya jiji la Dar es salaam na Ubungo sio, Kinondoni ndio kabisa.
 
Sio kweli, Dar es Salaam City Council inaundwa na manispaa 5

1. Ilala Municipal Council - hapa ndio ilipo CBD ya Dar es Salaam
2. Kinondoni Municipal Council- North
3. Temeke Municipal Council- South
4. Ubungo Municipal Council- West
5. Kigamboni City Council- East

Manispaa 5 ndio zinafanya Dar kuwa jiji kubwa zaidi Afrika Mashariki kwa eneo.

Source:
Dar es Salaam | AMALI GovHub City Profile Dar es Salaam | AMALI GovHub City Profile
 
Tayari ni part ya jiji la Dar es Salaam
Dar ni jiji kubwa linalojumuisha maeneo unayotaja. Ukiwa Kinondoni bado uko ndani ya jiji

Pia serikali inaweza kuamua Kinondoni kuwa jiji kama imetimiza vigezo lakini itaongeza gharama za kiutawala zisizo na ulazima na tayari Kinondoni inaexist na the rest of Dar es Salaam kama one functional big city so it makes sense Dar kubaki kuwa jiji lenye manispaa nyingi badala ya kubadili kila manispaa yake kuwa hadhi ya jiji
Hapana, Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam ni eneo la mipaka ya Wilaya ya Ilala pekee kuanzia March 2021. Zilizobaki ni halmashauri za Manispaa ambazo ni Kinondoni, Temeke, Ubungo na Kitamboni.
 
Source??
 
Jiji la Dar es salaam ni wilaya ya ilala tu.
Maeneo ya Dondwe, Chanika, Kidole, Kiboga, Kitonga, Mbondole, Msongola, Kivule, Kitunda, Vingunguti, Buguruni, kwa mnyamani.

Ila Temeke sio sehemu ya jiji la Dar es salaam na Ubungo sio, Kinondoni ndio kabisa.
Hakika. Ni mipaka ya Wilaya ya Ilala pekee ndio inayounda Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam.
N.B Ilala na Kata zake zote.
 
Back
Top Bottom