wacha tusubirie takwimu za sensa, zitakuja na mengi tuWadau kuna mada mpya imetoka imewekwa humu Jamii Forums ambapo takwim za NBS zimekua favor kwa mikoa ya Kusini na Nyanda za Juu Kusini yaani Kuna Mbeya, Iringa, Njombe Lindi na Mtwara kwa mfuatano katika 10 bora za mikoa zenye utajiri. Mjadala huko ni mkubwa na watu hawaamini macho yao. Nimeshindwa kuinganisha humu ile Topic iko humu JF. Kuna watu hawaamini macho yao. Na siku Mtwara Dev Corridor ikiwa kwenye Full Swing maana yake Magari yote ya Malawi au Zambia watatumia Bandari ya Mtwara kwenda Mbeya au Malawi na makaa ya Mawe na chuma ya Mchuchuma na Liganga. Kwa sasa makaa ya kutosha yanapita kwa wingi pale Mtwara
Wewe unakera, yaani unapiga picha popote unatupia bila kueleza ni wapi.
Unarudia rudia picha ,unatuchosha
Sasa hivi maskini wa kusini mnajificha kwenye per capitalNaona GDP mlikokuwa mnafichamia mmepigwa na kitu kizito Kanda nzima umeingia kwenye kumi Bora mkoa mmoja tu wa geita
Data zinaongea na uwekezaji unaonekana mzee mnapenda kujisifia alafu mpo kumi Bora ya mwishoSasa hivi maskini wa kusini mnajificha kwenye per capital
Mambo ambayo hutaki kuona...Unarudia rudia picha ,unatuchosha
Picha nyingi leta data za GDP uone umaskini ulivo waandamaMambo ambayo hutaki kuona...
Bukoba Municipality....second developed municipality in Lake zone...View attachment 2368436View attachment 2368437View attachment 2368438View attachment 2368439View attachment 2368440View attachment 2368441View attachment 2368444View attachment 2368446View attachment 2368448View attachment 2368450