instanbul
JF-Expert Member
- Jun 26, 2016
- 12,540
- 19,485
Hizo ni takwimu za serikali... Serikali ya Kagera ndo maskini..haina vyanzo vya mapato vya kutosha...Picha nyingi leta data za GDP uone umaskini ulivo waandama
Lakin watu binafsi Wana maendeleo yao na sio maskini...
Ndo maana Air Tanzania inafurahia sana hii route ya bukoba...
Sasa Kuna Dar bukoba
Na kuna Dar mwanza bukoba
Na kuna mwanza bukoba...
Bado precision na auric Wana Safari zao kila siku


