The Sunk Cost Fallacy
JF-Expert Member
- Dec 1, 2021
- 19,516
- 14,183
Njombe na Iringa hakuna tatizo la chakula Bali Kuna tatizo la elimu ya lishe na mentality ya kuthamini pesa zaidi kuliko afya ndio maana kuna utapiamlo,hapo ni suala la ukosefu wa elimu ya lishe na mtindo mbaya wa maisha.Per capital income ya nyokoooo lol !![]()
![]()
![]()
![]()
Yaani kande kavu kavu bila hata parachichi![]()
![]()
![]()
Kutoka kande gang - Njombe mtaa wa Ramadhan![]()
View attachment 2371034![]()
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio maana DC kawapiga Marufuku Wala hakuna waliposema hakuna chakula lazima uelewe hili..
Kule Iringa Asas wameamua Kutengeneza hadi maziwa ya sh.300 Ili wamama wawape watoto badala ya kuwapa ulanzi kwa visingizio vya Mila.



.. wilaya ya nyamagana inakuletea porshy street.. wealthy classic area