Kahama VS Njombe/Mafinga

ChoiceVariable

JF-Expert Member
May 23, 2017
48,608
56,796
Karibuni kwenye mada.

Nawiwa kuilinganisha na kushindanisha mji wa Kahama na Njombe au Mafinga.

Je, ni mji gani mzuri na una future kubwa kifursa kuliko mwenzie in terms of maendeleo na ukuaji?

Njombe
FB_IMG_1678802554415.jpg


Kahama
20230629_145801.jpg
 
Shinyanga ina kaupendeleo tu kisa iko barabara kuu, ila kwa speed ya sasa ya kahama inapitwa mengi.
.
Njombe haipafikii Kahama japo inawekewa kauzibe sana
Hata kauzibe kawekwaje Njombe itakuwa na kuzipita Iringa na Songea ndani ya miaka 10-15 ijayo, ule ni mkoa wa fursa na wachapakazi.

Shinyanga sio kwamba inapendelewa, hapana ilisha consolidate position yake miaka mingi kabla ya migodi Kahama ilikuwa kijiji wakati tayari shy ni mji mkubwa na pili shy ina fursa ya kujengwa viwanda coz iko tambarare na iko jirani na Mwanza.
 
Yaani kwenye mapesa mengi ya mbao na kila mazao ndo ulinganishe na Kahama bush huko?
Kahama mzee unaisikia tu, kule hakukauki pesa na haijawahi kauka madini yapo ya kutosha.

Njombe kwenye mambao kitendo cha kusema ni sehemu ya mambao hii ina maana ni porini huko ulinganishe na sehemu yenye madini kama Kahama?

Una bahati mbaya nakujua Njombe 😂😂😂 Kahama iko juu.
 
Hata kauzibe kawekwaje Njombe itakuwa na kuzipita Iringa na Songea ndani ya miaka 10-15 ijayo,ule ni mkoa wa fursa na wachapakazi
Shinyanga sio kwamba inapendekewa hapana ilisha consolidate position yake miaka mingi,kabla ya migodi Kahama ilikuwa kijiji wakati tayari shy ni mji mkubwa na pili shy ina fursa ya kujengwa viwanda coz iko tambarare na iko jirani na mwanza
Shinyanga-Mwanza ni mbali sana wewe mtu wa Njombe una matatizo.

Ona una ndoto mfu tena kwamba Njombe baada ya miaka 10-15 itazipita Iringa na Songea hivi hao watu wa Iringa watakuwa wamelala tu?

Njombe inaweza kuipita Lindi ila sio Iringa na Songea
 
Shinyanga-Mwanza ni mbali sana wewe mtu wa njombe una matatizo
.
Ona una ndoto mfu tena kwamba Njombe baada ya miaka 10-15 utazipita Iringa na Songea hivi hao watu wa Iringa watakuwa wamelala tu?
.
Njombe inaweza kuipita Lindi ila sio Iringa na Songea
Sio mbali wewe, nimeishi Mwanza 3 yrs ni only 160 km to Shinyanga. Miji hiyo kupitwa au hapana ni factor ya growth rate ambapo kwa sasa iko favourable kwa Njombe kuliko Songea na Iringa so tofautisha kukimbia na kutembea.

Imagine barabara ya Njombe Ifakara na Njombe kudewa, Mbamba bay na Njombe, Makete Mbeya zikikamilika hiyo speed ya ukuaji itakuwa mara mbili ya sasa wakati Iringa na Songea hakuna jipya barabara zake kuu ziko operational tayari.
 
Back
Top Bottom