The Sunk Cost Fallacy
JF-Expert Member
- Dec 1, 2021
- 19,516
- 14,183
Mtapata wivu mkikuta Mbeya inaongoza Kwa per Capita 😁😁,so unajua kule kwingine madini anakula mzungu afu nyie mnahesabu namba tuu 😜😜Ni jambo jema serikali iwekeze maeneo kwa ajili ya kilimo, nyie limeni hayo mazao yatanufaisha watanzania wote, hapo tuone wivu kwa kipi?


