Mikdde
JF-Expert Member
- Sep 12, 2018
- 6,310
- 5,968
Mi Niko kahama..Huwa sitetei vitu ambavyo sijawahi viona...kahama unavyosema Ina majengo mawili unachekesha kabisa ..fika kahama ujionee sio unaongea ongea tu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Wewe una shida,kwa hiyo Kahama hiyo wewe unaona ni nzuri? Kwa lipi hebu tueleze maana video tumeweka hapo au tuletee video yako wewe.