Kahama VS Njombe/Mafinga

Kahama VS Njombe/Mafinga

Nyie si mlisema mbeya na kusini inajengwa na wenyeji sio serikali
Mtajua hamjui..

Tayari ekari 500 zimepatikana eneo la Tanganyika Packers Mneya baada ya Ziara ya Rais na Sasa Udsm wataanza rasmi kujenga Chuo Cha Afya na Teachiy Hospital..

On top of that Speaker kasema Rais karidhia ekari 50 za TBC zimegwe pale Iwambi tayari Ocean Road Cancer Institute kuanza Ujenzi wa Tawi lao na pesa iko tayari imetolewa na Wizara ya Afya..

Pili tume bid Mbeya iwe ina host maonyesho ya Kimataifa ya 8/8 bado linafanyiwa Kazi.
 
Hiyo mipango ya wanasiasa tu ...
 
Phantom road ..hii gold town by 2030 tunaomba City status
IMG_20220809_170244_946.jpg
IMG_20220809_170123_902.jpg
IMG_20220809_170041_370.jpg
IMG_20220809_165948_961.jpg
 
Attachments

  • Screenshot_20220809-190926.png
    Screenshot_20220809-190926.png
    104.3 KB · Views: 17
  • 20220809_191042.jpg
    20220809_191042.jpg
    234.5 KB · Views: 20
  • 20220809_191045.jpg
    20220809_191045.jpg
    373.1 KB · Views: 17
  • 20220809_191036.jpg
    20220809_191036.jpg
    248.6 KB · Views: 19
  • 20220809_191039.jpg
    20220809_191039.jpg
    230 KB · Views: 19
Hiyo ni Barabara au kituko! Barabara imepindapinda kama nyoka!! Kwa sababu ukanda tengwa injinia aliamua aachane na habari ya kudesign upya Barabara kitaalamu, akaamua kufuata Barabara ya asili ya waenda kwa miguu.
Ulitaka wachimbe mahandaki kama Treni au unadhani wewe unaakili kuliko ngineers waliodesign hiyo Barabara kutokana milima.Tembea uone usidhani Kila Kona ni tambalale
 
Ulitaka wachimbe mahandaki kama Treni au unadhani wewe unaakili kuliko ngineers waliodesign hiyo Barabara kutokana milima.Tembea uone usidhani Kila Kona ni tambalale
Umasikini tu, kwa hizo kona kona safari ni ndefu, haina tofauti na mtu anaesafiri kutoka Dar mpaka Bukoba kwa lori la mizigo.
 
Ulitaka wachimbe mahandaki kama Treni au unadhani wewe unaakili kuliko ngineers waliodesign hiyo Barabara kutokana milima.Tembea uone usidhani Kila Kona ni tambalale
Sasa kufuata njia ya watembea kwa miguu ndo akili!, Barabara yenyewe iko kusini na inaenda makete ulitegemea huyo injinia aumize kichwa chake kwa Barabara ya makete?!
 
Back
Top Bottom