Kahama VS Njombe/Mafinga

Kahama VS Njombe/Mafinga

Kumbe rais kawatolea nje...na mko kimyaaisee bravo Samia ....njombe bakini kwenye kundi moja na nzega,manyoni,babati hizo ndo size zenu ..View attachment 2320511
Sisi hatufanani na hizo takataka,atapandisha hadhi na kugawa maeneo akimaliza malengo yake..

Go Njombe go 👇
 
Attachments

  • Screenshot_20220810-193745.png
    Screenshot_20220810-193745.png
    180.4 KB · Views: 19
  • Screenshot_20220810-193734.png
    Screenshot_20220810-193734.png
    135.5 KB · Views: 15
Kusini kumetengwa 🤣🤣.

Leo ni zamu ya Iringa 👇
 
Attachments

  • Screenshot_20220811-091029.png
    Screenshot_20220811-091029.png
    235.4 KB · Views: 16
  • 20220811_082514.jpg
    20220811_082514.jpg
    28.8 KB · Views: 14
Hiyo mipango ya wanasiasa tu ...
Acha kuchekesha Mzee..

Mipango ya wanasiasa,Udsm Mbeya tayari ipo huu mwaka wa 5 inatumia majengo ya hospital ya Rufaa ya Mbeya,walikuwa wanasubiria wapate eneo wajenge Kampasi yao na hospital yao ya Kufundishia..

Kuhusu Ocean Road ilitamkwa kwenye bajeti toka mwaka uliopita na ilichelewa kuanza sababu ya eneo sasa wamepata na pesa zaidi ya Bil.35 zimetengwa ujenzi unaanza rasmi.
 
Sasa yupo ndani ya mkoa wa njombe unaaenda speed ana ziara ya siku nne na kuna mtu humu ndani alisema ohoo rais akitangulia njombe kabla ya kahama anajitoa ndo ajitoe sasa tuliwambia kwa sasa mkoa wa njombe ni mkoa wa kimkakati
Kama Switzerland tuu 👇
 
Attachments

  • Screenshot_20220811-091939.png
    Screenshot_20220811-091939.png
    240.2 KB · Views: 14
Kwa hiyo Ilemela iko Misungwi sio sehemu ya Mwanza mjini au sio?

Uzee umekufikia
Wewe unadai nashindanisha Jiji na Mji, wakati hilo soko halipo Jiji . Kama ni Manispaa na Mji ndio sawa kama tunavyokwenda na huu uzi Kahama na Njombe. Hapo naiongelea Ilemela.
 
Kumbe rais kawatolea nje...na mko kimyaaisee bravo Samia ....njombe bakini kwenye kundi moja na nzega,manyoni,babati hizo ndo size zenu ..View attachment 2320511
Alitoa sababu,na mwenyekiti wa CCM alimwambia Rais kuwa kama kahama ilitangazwa bila kufuata utarratibu wa kisheria kwa njombe nayo isitangazwe kwa kuwa imekidhi vigezo vya kiuchumi.Rais alisema tuwe wavumilivu.
 
Wew .hujisikilizi .ulitaka utaratibu Gani ufatwe ..kahama ni manispaa tosha na ilicheleweshwa tu kupewa ...njombe ukienda pale Nazareth kurudi Ramadan mji umeisha ..uwe manispaa.hvi unavijua vigezo vya mji kuwa manispaa
..Lazima watu laki 2 plus
Mapato ya kujitosheleza
Miundombinu muhimu
Huduma za jamii za uhakika
Robo tatu ya uchumi isitegemee sekta ya kilimo
Uwekezaji wa taasisi muhimu na makampuni ya biashara..
NJOMBE HAINA SIFA HIZI
 
Hajui tu, mchakato wa Kahama kuwa Manispaa ni wa muda, hao Njombe watasubiri sana. Kahama, Geita na Kibaha ndio zilimulikwa mapema.

Wasubirie Geita na Kibaha zipewe heshima zao kwanza.
 
Alimchana live 😆😆

Sababu za Rais kukataa hizi hapa 👇
 
Attachments

  • 20220811_124922.jpg
    20220811_124922.jpg
    114.4 KB · Views: 12
Hajui tu, mchakato wa Kahama kuwa Manispaa ni wa muda, hao Njombe watasubiri sana. Kahama, Geita na Kibaha ndio zilimulikwa mapema.

Wasubirie Geita na Kibaha zipewe heshima zao kwanza.
Wapi ambako mchakato haukuanza mapema? Geita au Kahama kuna nini cha kuizidi Njombe?

Na infact Njombe ndio imewazidi hizo Miji zenu kwa takribani kila kitu na ndio maana tuko kwenye thread hii..

Mapato ya Geita na Kahama 50% ya migodi wakati huku kwetu Njombe ni shughuli za Moja kwa Moja za Wananchi hasa sekta ya misitu na kilimo..
 
Wew .hujisikilizi .ulitaka utaratibu Gani ufatwe ..kahama ni manispaa tosha na ilicheleweshwa tu kupewa ...njombe ukienda pale Nazareth kurudi Ramadan mji umeisha ..uwe manispaa.hvi unavijua vigezo vya mji kuwa manispaa
..Lazima watu laki 2 plus
Mapato ya kujitosheleza
Miundombinu muhimu
Huduma za jamii za uhakika
Robo tatu ya uchumi isitegemee sekta ya kilimo
Uwekezaji wa taasisi muhimu na makampuni ya biashara..
NJOMBE HAINA SIFA HIZI
Hakuna barabara ni mavumbi tupu.

50% ya Uchumi unategemea migodi .

Huduma za jamii hakuna za kulingana na idadi ya watu.

Mwisho nani alikudanganya kwamba vigezo ni lazima watu laki 2 plus? Ulidanganywa na nani?

Eti Njombe haina sifa hizo,toka Uzi umeanza tuliwaambia onyesheni hoteli hata 5 kali hakuna,sasa hapo nani ana sifa?

Kama ni uwekezaji ndio usiseme,Jana tuu hapo umetoka kusikia Waziri wa uwekezaji anasema muwekezaji yuko mkoani anataka ekari 500 ajenge kiwanda na aanze kulima parachichi,pia kuna viwanda vya chai,mbao,nguzo,nk na uliona Rais katembelea kiwanda cha Tanwat bado unaongea ujinga tuu hapa..

Tumeleta video kibao hapa za kuonyesha maendeleo ya Mji nyie mnatafutiza vipicha vya gesti ndio mnaleta.

Mlipendelewa tuu na Mwendazake wenu,Fikeni hapa kwanza 👇
 
Attachments

  • Screenshot_20220811-125034.png
    Screenshot_20220811-125034.png
    109.7 KB · Views: 13
Eti wanashindana na Nyanda za Juu Kusini.

Tunduma 👇
 
Attachments

  • Screenshot_20220811-085559.png
    Screenshot_20220811-085559.png
    173.1 KB · Views: 14
Tunduma inachapa Kahama in and out kwa kila kitu,hata ramani ya hospital yao waliiga kwa Tunduma.👇
 
Attachments

  • Screenshot_20220811-091647.png
    Screenshot_20220811-091647.png
    171.2 KB · Views: 17
  • Screenshot_20220811-091347.png
    Screenshot_20220811-091347.png
    326.4 KB · Views: 17
  • Screenshot_20220812-103705.png
    Screenshot_20220812-103705.png
    95.6 KB · Views: 17
  • Screenshot_20220812-105332.png
    Screenshot_20220812-105332.png
    241.1 KB · Views: 12
Wapi ambako mchakato haukuanza mapema? Geita au Kahama kuna nini cha kuizidi Njombe?

Na infact Njombe ndio imewazidi hizo Miji zenu kwa takribani kila kitu na ndio maana tuko kwenye thread hii..

Mapato ya Geita na Kahama 50% ya migodi wakati huku kwetu Njombe ni shughuli za Moja kwa Moja za Wananchi hasa sekta ya misitu na kilimo..
Mgodi upi Kahama? Buzwagi imefungwa muda na hakuna productions. Labda kama unaongelea mapato YA Halmashauri ya Msalala
 
Lake zone kashindaneni na Kigoma..

Ujenzi wa Shule za msingi na Sekondari za magorofa ndani ya Tunduma 👇
 
Attachments

  • Screenshot_20220811-090101.png
    Screenshot_20220811-090101.png
    192.2 KB · Views: 12
  • Screenshot_20220811-091251.png
    Screenshot_20220811-091251.png
    337.8 KB · Views: 13
  • Screenshot_20220811-091303.png
    Screenshot_20220811-091303.png
    45.9 KB · Views: 12
Back
Top Bottom