Kagera: Kimondo chadaiwa kudondoka Bukoba

Kagera: Kimondo chadaiwa kudondoka Bukoba

Kemondo. Bukoba ni kijiji, mwanza ni eneo kati ya ofisi ya rpc, ccm mkoa, bot na ofisi za dc nyamagana
Hivi sorry wakuu nakumbuka kama kuna sehemu huko Bukoba au Mwanza inaitwa Kimondo! Au ni nchi jirani?
 
Kwa mfano Muzungu angekuiliza ungemjibu huku ukikenua meno.. bila kusema wewe mwenyewe umejaa mashudu..

Hata mkoba ungemuomba umbebee kisa unaona fursa kumfunza Swahili upate chenji ya kununua chakula. sasa kwanini mimi kuuliza kuwawashe hivi.. [emoji3][emoji3][emoji3][emoji1782]
Kwa hiyo we ni mzungu?
 
Isije ikawa kike chombocha wamarekani kikichotua sayari ya mars jana kimepaya hitlafu na kutua bukoba, manake wenzetu jana wametua sayari ya mars, sie tupo bize kununua wapinzani na wanaokataa kununuliwa tunawabambikia kesi
 
Nikusahihishe kidogo kwamba, ni chombo tu ndiyo kimetua hakikuwa na mtu ndani, mtu wa kwanza anatarajiwa kufika Mars ni kuanzia 2023+ kama sijakosea sana
 
Aise kama ni kwel basi icho kimondo nimekiona,
SI UTANI ilikua mida ya saa 3.10 usiku nimekaa kwenye kibaraz cha getto nilikua nakula chungwa uku kama nikitazam angan ivi nikaona kitu mithili ya nyota kimepita ila kinamwanga mkali mwanga ulianza kwa ukubwa then ukapungua mwisho kikapotea, ni kitendo cha sekunde 5 -7 iv.
Huo wanga unafania na mwanga wa zile bulb Rungu za zamani.
-Baada ya apo nilimpigia sim jamaa yangu mwana Geographia nikamuelez, akaniambia kuna uwezekano kikawa ni kimonHdo.

-Pia mwanzon mwa mwez huu niliona kama kundi la vitu mithili nyota nyingi zimejikusany sehem moja zina move kwa pamoja katikati ya anga si usawa wa mawingu.
Ili niliona almost dakika 2
Nilipat wazo la kurecod video ila ilikua too late sikupata footage yakueleweka.
Hivyo vingi ulivyoviona yawezekana ni kituo cha utafiti cha anga cha NASA ambacho wanaanga huwa wanakwenda wanakaa miezi sita hivi au mitatu. Huwa kinazunguka kwa speed kali. Au labda uliona aliens !!!!!
 
leo nimeelewa kwa nini huwa unashabikia cccm, hata kimondo hujui ni nini?

ni jiwe(sio jiwe mwenyekiti wako)/ama mfano wa jiwe huzunguka jua huko angani, inatokea viaakanguka
Nawewe hujui kitu
 
Kimondo 'kikubwa' hakiwezi kudondoka kimya kimya hivyo!
Huo ni uzushi wa kijuha.
 
  • Thanks
Reactions: Lee
Huko Mbeya wanasema kuna jiwe la Mbozi asili yake ni kimondo je na hapo BK limetokea jiwe kama lile au kuna nini?
 
Ukimwi wao,Tetemeko wao,Mto Ngono wao na sasa ni Kimondo lazma muelewe vzr na hapa jiwe atawapiga mkwanja wa kutosha kwaajili ya kuendeleza biashara yake!
 
Aise kama ni kwel basi icho kimondo nimekiona,
SI UTANI ilikua mida ya saa 3.10 usiku nimekaa kwenye kibaraz cha getto nilikua nakula chungwa uku kama nikitazam angan ivi nikaona kitu mithili ya nyota kimepita ila kinamwanga mkali mwanga ulianza kwa ukubwa then ukapungua mwisho kikapotea, ni kitendo cha sekunde 5 -7 iv.
Huo wanga unafania na mwanga wa zile bulb Rungu za zamani.
-Baada ya apo nilimpigia sim jamaa yangu mwana Geographia nikamuelez, akaniambia kuna uwezekano kikawa ni kimondo.

-Pia mwanzon mwa mwez huu niliona kama kundi la vitu mithili nyota nyingi zimejikusany sehem moja zina move kwa pamoja katikati ya anga si usawa wa mawingu.
Ili niliona almost dakika 2
Nilipat wazo la kurecod video ila ilikua too late sikupata footage yakueleweka.
Sasa hilo kundi la nyota lililojikusanya huenda hiyo iliyoonekana kama kimondo ni mwenzao kaasi kaamua kwenda kuunga juhudi.
 
Back
Top Bottom