Kagera: Kimondo chadaiwa kudondoka Bukoba

FAKR NEWS KABISAA...YANI UNGESIKIA HATA BBC WANATANGAZA..! acheni ujuhaaaa..
 
Katerero waswahili ndio mnamaanisha vingine, wahaya watufafanulie lakini watu wanavyoamini hivyo, nakumbuka darasa la 4 nikioma kitabu cha kiswahili kikisema soko la gulio la katerero, tuliosoma enzi ziiile za mwalimu,
 
Nikwasababu watu wamejawa na mawazo machafu, hilo ni eneo kubwa tu, ni kata inaitwa Katerelo, zamani ilikuwepo Sekondari kubwa inaitwa Katerelo, nisawa na kubadili maana ya Nyegezi Mwanza.
 
Back
Top Bottom