Kagera: Kimondo chadaiwa kudondoka Bukoba

Kagera: Kimondo chadaiwa kudondoka Bukoba

KIMONDO kimetua kwa sauti kubwa yakuogofya watu wametoka nje wakidhani ni tetemeko nyumba zimetikisika kwa mshindo mkubwa mpaka sasa niwasiwasi mtupu.
IMG-20181127-WA0030.jpeg
 
Sitoi rambirambi safari hii
picha wadau
tuwape na watu wa instagram na tweeter washee ili viongoz wetu wakina kigwangala wanaoshinda humo wapate taarifa
Duuuh kama na muona vile jiwe anavyo chekelea " Michango ya watoaji rambi rambi
leo nimeelewa kwa nini huwa unashabikia cccm, hata kimondo hujui ni nini?

ni jiwe(sio jiwe mwenyekiti wako)/ama mfano wa jiwe huzunguka jua huko angani, inatokea viaakanguka
Kama hicho anachokiangalia golikipa hapo!View attachment 948525
Aliekwambia ukimbie umande ni Nani
hahaha
 
Hiyo ni serikali ya CCM imeleta kimondo ili kuzima ishu ya mbowe? [emoji16][emoji16]
 
Kimedondoka kata ya KATERERO KIJIJI KANAZI KITONGOJI RULONGO karibu na gulio maarufu la KATERERO
fursa hio watu wa kagera kijijini hapo katerero...
wazungu watakuja kwa wingi...tunaishukuru serikali yetu na mwakani ituletee hata kupatwa kwa mwezi
 
Back
Top Bottom