Aise kama ni kwel basi icho kimondo nimekiona,
SI UTANI ilikua mida ya saa 3.10 usiku nimekaa kwenye kibaraz cha getto nilikua nakula chungwa uku kama nikitazam angan ivi nikaona kitu mithili ya nyota kimepita ila kinamwanga mkali mwanga ulianza kwa ukubwa then ukapungua mwisho kikapotea, ni kitendo cha sekunde 5 -7 iv.
Huo wanga unafania na mwanga wa zile bulb Rungu za zamani.
-Baada ya apo nilimpigia sim jamaa yangu mwana Geographia nikamuelez, akaniambia kuna uwezekano kikawa ni kimondo.
-Pia mwanzon mwa mwez huu niliona kama kundi la vitu mithili nyota nyingi zimejikusany sehem moja zina move kwa pamoja katikati ya anga si usawa wa mawingu.
Ili niliona almost dakika 2
Nilipat wazo la kurecod video ila ilikua too late sikupata footage yakueleweka.