Joseverest
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 53,330
- 72,613
Video hamna? Picha je?
Sasa kutoka kwa wqtu njee wakizani tetemeko ndio inasaidia nini
Cocochannel ni mpinzani wangu. Yuko ccm mimi ni cdm. Sio adui yangu. Akiuliza swali, ni vizuri ajibiwe kwa ufasaha.Unajira bure huyo hawezi kukuelewa
Asante kwa kufuatilia, ni nini mkuu?Sio kimondo mda mwingine jaribun kufatilia mambo
Nini sasa tuambie uliyefuatilia!Sio kimondo mda mwingine jaribun kufatilia mambo
Aaahh kumbe basi mi ningefiaga umo ndani maanaWaliishaelekezwa wakati wa tetemeko inabidi watu watoke nje waende sehemu za wazi.
Sikupiga mimi kapiga mwandishi wa Azam Tv ndo kanirushia.Mkuu hiyo picha ndo uliipiga kikiwa kinashuka ??
Tunataka picha ya kilicho chini. Picha za NASA HatutakiHaya sasaView attachment 948580
Lumumba hamfundishwi jogoorafia?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]🤣🤣🤣🤣🤣leo nimeelewa kwa nini huwa unashabikia cccm, hata kimondo hujui ni nini?
ni jiwe(sio jiwe mwenyekiti wako)/ama mfano wa jiwe huzunguka jua huko angani, inatokea viaakanguka
HiyoTunataka picha ya kilicho chini. Picha za NASA Hatutaki
Oh! Mukama Katonda!!Amina. Mbakasinge kutugondez'emirembe.
Kimondo bay kwenye ajali ya mv bukobaKimondo ni nini?