Kagera: Kimondo chadaiwa kudondoka Bukoba

Kagera: Kimondo chadaiwa kudondoka Bukoba

Kimondo 'kikubwa' hakiwezi kudondoka kimya kimya hivyo!
Huo ni uzushi wa kijuha.
Baada ya kuuliz nikajibiwa hivi na mtu mwenyeji wa maeneo hayo...."Yeah ni kweli Kimondo kilpita na baadae ukatokea mlipuko mkubwa sana. Lkn ulitokea ziwan.mpaka sas hakuna madhara kwa binadamu na makazi
 
Unajua na mie mhaya, so hem acha kutushusha hadhi, hujiulizi why nyerere aliingia vitani na idd amin kwa ajili yetu?? We are very important tribe in this nation.

Wivu tu!!!
Sawa.ila hili jina la katerero mlilitoa wap.ndo linaleta balaa hlo
 
Siyo Mshana Jr. huyo kaishiwa mafuta katika safari zake angani?
Uchawi upo ila Mungu hayupo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Wapumbavu hukaa na kujisemea moyoni kuwa Mungu hayupo..!

Ata upumbavu haupo..
 
Baada ya kuuliz nikajibiwa hivi na mtu mwenyeji wa maeneo hayo...."Yeah ni kweli Kimondo kilpita na baadae ukatokea mlipuko mkubwa sana. Lkn ulitokea ziwan.mpaka sas hakuna madhara kwa binadamu na makazi

Ingekuwa kimeangukia ziwani madhara yangekuwa makubwa sana kutokana na mawimbi kutoka nje ya ziwa
 
  • Thanks
Reactions: Lee
Ndoo maana wanadai wao walijua ni tetemeko make msikitikoo wanadai ulikuwa mkubwa sana
Ingekuwa kimeangukia ziwani madhara yangekuwa makubwa sana kutokana na mawimbi kutoka nje ya ziwa
 
Back
Top Bottom