Avatar
JF-Expert Member
- Mar 7, 2012
- 11,128
- 11,938
Hiki ni kimondo cha mbozi kama hujawahi ona kinafananaje.Ahsante sana kwa ufafanuzi ndugu Magonjwa Mtambuka.
Je ya wezekana mpaka sasa hakuna hata picha moja iliyoweza patikana ya hichi Kimondo?
Hili ni tukio la kihistoria, natamni sana kuona walau picha moja ya hiki "Kimondo"
Composition iron + nickel ni zaidi ya 99%... Ni chuma kitupu..
picha by avatar mok 2016
Scale: