Napoleone
JF-Expert Member
- Apr 11, 2012
- 10,085
- 16,064
Habar ndo hyo..majina ya ajab ajab.mara katerero,dahAcha dharau na kabila za wenzio bwana
Habar ndo hyo..majina ya ajab ajab.mara katerero,dahAcha dharau na kabila za wenzio bwana
Huo ni mpambano wa mshana Jr na BujibujiSiyo Mshana Jr. huyo kaishiwa mafuta katika safari zake angani?
Lumumba hamfundishwi jogoorafia?Kimondo ni nini?
Kudondoka kwa kimondo kunathibitisha kuwa Mungu hayupoMuda sio mrefu kimedondoka kimondo kikubwa saaana hapa Bukoba.
Taarifa zaidi zinafuatia
Poleni mkuu,hapo kilipotua hapawaki moto??Aisee kimetokea kishindo cha hatari watu tukatoka nje tukidhani ni tetemeko.
Sio kweli mpaka sasa kuna watu wamezimia kutokana na kishindo.Itakuwa mmeona ule upinde wa mvua mnasema kimondo
Ndio ni natural disaster kama earthquake tuKwani kimondo ni disaster[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Unajira bure huyo hawezi kukuelewaMeteor, au waweza ita shooting star.
Ni mawe makubwa yaliyo na gas inayowaka ndani yake, na gas hiyo huyafanya yasafiri kwa mwendo wa kasi yakiacha mwali wa moto nyuma.
Mawe hata huweza kuwa na ukubwa kuzidi nyumba ya vyumba vitatu na hata yaweza kuwa makubwa zaidi ya hapo.
Comet..Kimondo ni nini?
Duuh kumbe kwelii....Aisee kimetokea kishindo cha hatari watu tukatoka nje tukidhani ni tetemeko.
Wapi picha zaoSio kweli mpaka sasa kuna watu wamezimia kutokana na kishindo.
Unajua na mie mhaya, so hem acha kutushusha hadhi, hujiulizi why nyerere aliingia vitani na idd amin kwa ajili yetu?? We are very important tribe in this nation.Habar ndo hyo..majina ya ajab ajab.mara katerero,dah
We! Sio mondo! Ni Kimondo!kimondo!
We mpumbavu kweli.Asante Mungu kwa kutuongezea fursa za utalii, asante kwa kutuepusha na mazishi sababu tunajua wote waliokumbwa na kadhia watakuwa wamezikwa automatically na kimondo. [emoji89]
Kwani wakati unaquote hukuona nimequote ajeumejuaje kama mtoa mada yupo dar??
Soon tunakuletea updatesHapa Bukoba, means kimefunika mji mzima au? Taja mtaa/kitongoji specific
Nimapema kujua ila wapo walozimia tunaendelea kufuatilia ili tujue wapi wanahita msaada maana tushazoea kujihudumia.Hope hakijaleta maafa yoyote
😂😂😂😂😂Ujinga mwingine hadi mtu unaamua ucheke tuKudondoka kwa kimondo kunathibitisha kuwa Mungu hayupo
Kimondo hakijadondoka.
Thibitisha kuwa kimondo kimedondoka.