Kagera: Kimondo chadaiwa kudondoka Bukoba

Kagera: Kimondo chadaiwa kudondoka Bukoba

Kweli balaa yani mpaka kimondo kimeshindwa kuvumilia kimeamua kidondoke huko juu vyuma vimelegea huku chini vimekaza kweli awamu hii balaaa
 
leo nimeelewa kwa nini huwa unashabikia cccm, hata kimondo hujui ni nini?

ni jiwe(sio jiwe mwenyekiti wako)/ama mfano wa jiwe huzunguka jua huko angani, inatokea viaakanguka
Yes! Kama ambavyo Dunia nayo ikiwa kama "kimondo kikubwa" ipo cku itaanguka /kutoka nje ya mhimili wake (orbit) na hapo ndipo litakapotimia neno la Mungu kuwa "hakika kutakuwa na siku ya mwisho" kwa uhai wa viumbe wote wa Dunia hii.
 
Picha ilikuwa kama hivi
Screenshot_20181127-231529_WhatsApp.jpeg
 
Back
Top Bottom