Kagera: Kimondo chadaiwa kudondoka Bukoba

Kagera: Kimondo chadaiwa kudondoka Bukoba

Picha tafadhali, wengine hatuna vifua vya kusoma taarifa bila picha, kibaya zaidi subira hatuna.[emoji18]

Nimewasiliana na rafiki yangu (nlisoma nae) anaishi bukoba, anasema kuna taharuki kubwa sana, watu wamekimbia mji. Ila haijajulikana madhara/maafa yaliotokea mpaka sasa.

Mungu mwema, awasaidie ndugu zetu wa BK.
 
Muda sio mrefu kimedondoka kimondo kikubwa saaana hapa Bukoba.

Taarifa zaidi zinafuatia
BUKOBA kimiaaaa kila mtu ndani.
IMG-20181127-WA0030.jpeg
 
Back
Top Bottom