Juu ya OIC na Mahakama ya Kadhi

Juu ya OIC na Mahakama ya Kadhi

kwanini hakuna Organisation of Christian Countries, naona hii ingetusaidia sana. Tungejiunga na zote mbili mambo yangekuwa poa. Maana waislamu na wakristo naona mnapenda kuzungumzia udini, i wonder sisi wa dini nyingine tuseme nini, au wapagani na non believers waseme nini. Tunaanza polepole kuacha msingi wa nchi yetu kuwa secular state.
 
Yaani waafrika wanashabikia sana dini za wazungu na waarabu

Hebu waangalieni wenzenu wa EAST ASIA walivyokua na msimamo, wamezitangaza dini zao mpaka zikakubaliwa hata baadhi ya nchi za magharibi, lakini waafrika tumebakia alichoacha mzungu au muarabu ndio bora.

Kuna siku uliona sanamu ya budha mwenye sura ya kizungu?

Waafrika kila kitu lazima kifanane na mzungu au muarabu.
 
Katika mjadala wote huu, wewe naona umeongea kitu cha maana, hasa katika sentensi niliyopigia mstari.

Sisi waafrika ni mataahira wa kutupwa. Haijalishi kama ni wafagizi barabarani, mabaamedi, maprofesa, au wanasiasa.
 
Sisi tatizo letu ni la kihistoria
Vitu vya wazungu/waarabu vinaonekana vya ukweli kutokana na hali halisi-

Mfano mavazi/usitaarabu/elimu darasani/teknonojia hii tunayotumia sasa.

Sasa ukianza kuhoji vitu vya wazungu/waarabu ktk eneo la dini pia kwa namna hiyo hiyo uhoji kwa nini wewe unapenda kutumia vitu vya mzungu /mwaarabu sana kuliko vitu vyako vya asili mfano majumba,magari,meli/mawasiliano/na vinginevyo.

Vya kwetu tunavitilia shaka haswa vinapo tuelekeza kumwinda aribono na kumkata viuongo vyake.
teh teh teh teh teh teh teh tehhhhhhhhhhhhhhh
 
Utaahira wetu wa kutupwa ni wa kihistoria wala sio wajuzijuzi baada ya ujio wa Mzungu/mwaarabu.

mfano pale Mtemi/chief enzi hizo alipokua anafariki na kuzikwa pamoja na binti mzuri akiwa HAI amekaa ktk kigoda na amebeba maiti ya maiti ya mfalme.

Ama mfalme alipokua analazimisha wasichana wabichi kukaa uchi na kujitwalia wa kupiga naye ngono kila week.

ama vibibi vyenye miaka sabini vikipuliza moto wa magunzi ya mahindi mfululizi kua na macho mekundu basi ni vishirikina na vinapaswa kupigwa mapanga na mikuki.

Utaahira wetu ni wa kihistoria haujaletwa na Mzungu/Mwaraabu
 
Sisi tatizo letu ni la kihistoria
Vitu vya wazungu/waarabu vinaonekana vya ukweli kutokana na hali halisi-

Mfano mavazi/usitaarabu/elimu darasani/teknonojia hii tunayotumia sasa.

Sasa ukianza kuhoji vitu vya wazungu/waarabu ktk eneo la dini pia kwa namna hiyo hiyo uhoji kwa nini wewe unapenda kutumia vitu vya mzungu /mwaarabu sana kuliko vitu vyako vya asili mfano majumba,magari,meli/mawasiliano/na vinginevyo.

Vya kwetu tunavitilia shaka haswa vinapo tuelekeza kumwinda aribono na kumkata viuongo vyake.
teh teh teh teh teh teh teh tehhhhhhhhhhhhhhh

Mimi nadhani dini ni kitu tofauti kidogo na vitu kama teknolojia, mavazi, na elimu. Nchi za magharibi ndio vinara wa teknolojia. Hata elimu ya huko ndiyo iliyotamalaki dunia nzima. Waarabu wanatumia teknolojia na elimu ya magharibi bila kufuata dini yao. Vile vile Asia imechukua elimu kutoka West bila kukumbatia dini.

Sisi miafrika hatujaweza kuchota teknolojia wala elimu ya magharibi. Ila tumekumbatia kweli kweli dini ya wazungu na waarabu
 
Bakwata: Mambo magumu kwa mbuzi wa sadaka toka Saudia
Na Salim Said Ali

ZAIDI ya Dola 10,000 za Kimarekani zinahitajika kwa ajili ya kugombolea mbuzi wa sadaka waliokwama kwa takriban miezi nane sasa katika bandari kuu ya Dar es Salaam walioletwa Tanzania kutoka nchini Saud Arabia kupitia Baraza Kuu la Waislam Tanzania (Bakwata) kama Sadaka kwa Waislamu mara baada ya kukamilika kwa ibada ya Hijja iliyopita.

Mbuzi hao ambao tayari wameshachinjwa na kuhifadhiwa katika kontena maalum la kuhifadhia nyama inasemekana waliwasili katika Bandari ya Dar es Salaam Januari mwaka huu kama Swadaqa kwa Waislaam.

Akizungumza na Mwananchi Ofisini kwake Bakwata makao makuu, Naibu Mufti wa Tanzania Sheikh Suleiman Gorogosi alisema, jambo lililokwamisha kutolewa kwa nyama hiyo bandarini Dar es Salaam ni ukubwa wa gharama ya kugombolea bandarini hapo.

''Zamani vitu vya taasisi za kidini vilikuwa vikipita bure bandarini lakini sasa kila kitu kimebinafsishwa na tunatakiwa tulipe fedha nyingi ili tuweze kupata mbuzi hao,'' alisema Sheikh Gorogosi.

Alifafanuwa kwamba kuna kipindi fedha iliyohitajika ilifikia Dola za Kimarekani 10,000 kugombolea mbuzi hao, lakini sasa inaweza kuzidi kwa sababu kadiri kontena linavyoendelea kukaa bandarini na ndio gharama inaongezeka.

Aliwataka Waislaam kuwa na subira na kwamba juhudi za kuutoa mzigo huo zinaendelea na kwa sasa maafisa wa Bakwata wanajaribu kuongea na wahusika ili waweze kupunguziwa gharama hiyo.

Alibainisha kwamba suala la kuharibika kwa mbuzi hao kama inavyodaiwa na baadhi ya watu halipo kwani wamehifadhiwa katika mazingira mazuri na kwamba kama kuna muislaam anayeweza kujitolea kutoa hiyo fedha basi muda wowote watatolewa na kufikishwa kwa wahusika.

Kwa Mujibu wa Sheikh Gorogosi, mbuzi hao waliotolewa bure kama Sadaka ni vigumu kutumia fedha nyingi kama hiyo kwa ajili ya kuwagomboa wakati kuna misikiti, madrasa na visima vinahitajika kwa Waislam vijijini.

''Mbuzi wenyewe wametolewa bure, sasa kwa nini sisi tutumie fedha nyingi kuwatoa bandarini. Si afadhali tu fedha hiyo itumike kujenga madrasa, misikiti na kuchimba visima kwa Waislaam,'' alihoji Sheikh Gorogosi.

Alifafanua kwamba walipoingia madarakani miezi miwili ilyopita tayari mbuzi hao wameshakaa bandarini kwa takriban miezi mitano na wao si wa kulaumiwa kwani hata hao walioondoka walishindwa kuwagomboa kwa sababu ya ukubwa wa gharama yake.

Awali Sheikh Gorogosi alianza kwa kusema wao hawazungumzii chochote kwa sasa kuhusu mbuzi hao kwa kuwa suala hilo limeshaandikwa na kutangazwa sana katika baadhi ya vyombo vya habari lakini baadaye alithibitisha kuwepo kwa mbuzi hao na kwamba tatizo ni fedha ya kugombolea.

Aidha sheikh Gorogosi alisema Waislamu wasitegemee kuwa mbuzi hao watagaiwa misikini kama ilivyozoeleka badala yake watagaiwa katika vituo vya kulelea mayatima, wajane, mafukara na masikini ambao ndio walengwa.

Sheikh Gorogosi alitoa wito kwa Waislamu kwamba wanapokuwa na hoja yeyote kuhusu Baraza Kuu la Waislaam Tanzania ni vyema wakaenda ofisini makao Makuu na kupatiwa data kamili kuliko kukaa katika vyombo vya habari na kutoa shutuma.

Hata hivyo Sheikh Gorogosi hakutoa muda maalum wa kutolewa kwa mbuzi hao bandarini lakini alisema kuwa muda wowote itakapopatikana fedha ya kuwagomboa watatolewa na kufikishwa kwa walengwa ambao ni mayatima, wajane, mafukara na masikini.

Wiki iliyopita Mnajimu maarufu nchini Sheikh Yahya Hussein kupitia kituo cha televisheni cha 'Channel Ten' alimtaka Mufti awatoe mbuzi hao na kuwagawa kwa Waislamu.

Sheikh Yahya pia alisema Mufti kama hatogawa mbuzi hao basi ajitokeze mbele ya Umma na kuuomba radhi kabla ya kwenda Hijjah kutokana kuchelewa kutolewa na kugaiwa mbuzi hao kwa Waislaam.

My take

Simo.....
 
teh teh teh
ni yale yale tu hakuna tofauti.

Mfano sisi tunapotambua ugonjwa kwa vibuyu nakutumia komputa ya maji na karai wenzetu kwa kutumia computa ya skrini.

Ama tunapotumia mzizi na wenzetu kutumia vidonge

ama tunapotumia ungo na wenzetu kutumia ndege.

ama tunapotumia fisi na wenzetu kutumia farasi.

ama tunapotumia dini zetu kwa matambiko na kuomba tukitakacho kwa miungu wetu na wenzetu kutumia dini zao kuomba waombako.

kifupi sisi tunatatizo la kihistoria wala hakuna MZUNGU/MWARABU aliyetuletea utaahira wetu.

WAZUNGU wanatuita sisi ma nyani si kwa sababu tunafanana na nyani ILA maisha waliyotukuta tunaishi yalikua na utofauti mdogo sana na maisha ya kila siku ya NYANI.
 
Ama tunapotumia mzizi na wenzetu kutumia vidonge

.

Hii itakufanya nawewe uonekane kwamba hukusoma, i,m sorry to tell you this

Vidonge vinatokana na mizizi, kwahio angalia hapo nani wa kwanza.
Na mpaka sasa japo zinatengenezwa kwa mifumo yao lakini ziligunduliwa na waafrika.

Antibiotiques nyingi tu zinatokana na mizizi na mpaka leo hii ukienda kwa wamasai unazipata na zinasaidia.

Waafrika walibadilishwa kimawazo baada yakuja wazungu na waarabu sio kwamba hawana akili kwani wale ambao wana msimamo wa mambo yao ya kiafrika huwa hata wengine ni bora kushinda hao wazungu na waarabu.
 
Hii itakufanya nawewe uonekane kwamba hukusoma, i,m sorry for this

Vidonge vinatokana na mizizi, kwahio angalia hapo nani wa kwanza.
Na mpaka sasa japo zinatengenezwa kwa mifumo yao lakini ziligunduliwa na waafrika.

Antibiotiques nyingi tu zinatokana na mizizi na mpaka leo hii ukienda kwa wamasai unazipata na zinasaidia.

Waafrika walibadilishwa kimawazo baada yakuja wazungu na waarabu sio kwamba hawana akili kwani wale ambao wana msimamo wa mambo yao ya kiafrika huwa hata wengine ni bora kushinda hao wazungu na waarabu.

kwani mimi kuna sehemu nimekwambia nimesoma??

Ndio nakwambia sisi waafrika tuna tatizo la kihistoria.

kila mmoja anatambua miziz ndio vidonge na ndio nikakwambia hakuna tofauti baada ya wewe kuikimbia mizizi live na kukimbilia kwenye vidonge na sindano.

ni wewe unayelalamika dini kwanini hulalamiki kuikacha mizizi live.Ama kwenda kupigiwa lamli na kwenda kupigwa x-ray ama nayo x-ray imetokana na mizizi.

kazi kweli kweli .
 
Sitaki kubishana sana kana unavyosema mwenyewe.

kuna lamli lakini kama iko x-ray basi lazima iwe na basic

Kuna vingi tu ambavyo asili yake imetokana na vitu simple tu [mizizi] ambavyo waafrika walikwama kuviendeleza kutokana na kwamba wazungu na waarabu walipokuja wakabadilisha mfumo ili waonekane kwamba wao ndio bora.

Sisi dawa za wamasai tumebakia pale pale tu tulipogundua hatukuendeleza.

Mwisho silalamikii dini kwani sijui kama kuna kitu kinaitwa dini.
 
mkamap,
Mkuu jaribu sana kuelewa mtu anazungumza vitu gani?...Jokakuu kaniomba nizungumzie OIC bila kuihusisha Vatican...sidhani kama unaelewa kwa nini ameniomba hivyo ... Sasa ktk spin yako, kuepuka maswali niliyokuwekea hapo juu umeibuka na kioja kingine, unaweka madai kwamba ni Waislaam sijui kule Bungeni!... nani anazungumzia Bungeni! nani anazungumzia maswala ya mahakama za kadhi ndani ya mada hii kama sio sisi wenyewe hao Wabunge wametoka wapi?...
nambie ni wapi ktk mada hii tumezungumzia hoja za Wabunge wetu na Vatican!.. Ukweli ni kwamba hata hotuba ya Membe haikugusia kabisa Vatican wala mahakama ya Kadhi na nitarudia kusema nyie ndio mnaotaka kukuza vitu hivi. Unaweza kugusia tu kuhusu Mahakama ya Kadhi ikiwa kuna hoja inayohusiana na mahakama lakini wajomba mnavuta kila kitu cha Waislaam ndani ya hoja moja tena mnaifanya kuwa mada nyingine ndani yake... Na kama kawaida yenu kisizungumzwe kitu chochote cha Wakatoliki ni makosa na hata kama hoja iliyopo inahusiana na kitu hicho....

Mkuu mlikataa kuitambua OIC kwa sababu ni Taasisi ya kidini, na mliulizwa swali kuhusiana na Vatican kama Taasisi ya kidini... right on the money!.
Kama mngekuwa na ufahamu mzuri msingeanzisha kubisha na kujaribu kuipamba Vatican hali inajulikana ni chombo cha aina gani. Kilichotakiwa kufanyika ni nyie kutazama upya OIC kama chombo cha Waislaam na kwa nini tumekubali kujiunga nao.
Sisi sio nchi za Kiislaam ambazo zimekataa uhusiano na Vatican kwa sababu ya imani yao kidini au Uarabu wao...na wala hatuwezi kujifananisha na Batswana ambayo pia haina Uhusiano na Vatican pamoja na kwamba kanisa katoliki lipo nchini humo..
Tanzania tunatazama maswala yetu kama Tanzania, kwa mchanganyiko wetu tunapokea na kutoa uhuru sio kukataza na kubana Waumini wake ktk kuendesha haki na usawa wa nchi yetu kutokuwa na dini...Kwa hiyo tumeweza kuona umuhimu wa Vatican kwa Wakristu wa dhehebu la Katoliki ambao ni sehemu ya wananchi wa Tanzania..
Hatufanyi vitu kwa kuiga ama kutazama rangi za dini laa tunatazama mahitaji ya waanchi wake kwa rangi zao, tunatazama matakwa ya wananchi, serikali ni watu na watu wake wana dini zao hivyo ni lazima kuwepo na mfumo wazi kwa dini zote kuweza kujiendeleza na sio kubanwa kwa sababu ati dini nyingine hazina uwezo ama nafasi ya kuanzisha vitu kama hivyo.
Nafasi inawekwa wazi kwa wote mwenye uwezo afanywe na kama huwezi leo kesho ukiwa tayari fanya, na kama kunakibano basi kila dini inatakiwa kubanwa.
Navyofahamu mimi haikatazwi kabisa kwa madhehebu mengine kujiunga na taasisi za kidini ikiwa support ya serikali itatakiwa wapewe maadam ni ktk malengo endelevu kwa wananchi wake.
 
Bakwata: Mambo magumu kwa mbuzi wa sadaka toka Saudia
Na Salim Said Ali

ZAIDI ya Dola 10,000 za Kimarekani zinahitajika kwa ajili ya kugombolea mbuzi wa sadaka waliokwama kwa takriban miezi nane sasa katika bandari kuu ya Dar es Salaam walioletwa Tanzania kutoka nchini Saud Arabia kupitia Baraza Kuu la Waislam Tanzania (Bakwata) kama Sadaka kwa Waislamu mara baada ya kukamilika kwa ibada ya Hijja iliyopita.

Mbuzi hao ambao tayari wameshachinjwa na kuhifadhiwa katika kontena maalum la kuhifadhia nyama inasemekana waliwasili katika Bandari ya Dar es Salaam Januari mwaka huu kama Swadaqa kwa Waislaam.

Akizungumza na Mwananchi Ofisini kwake Bakwata makao makuu, Naibu Mufti wa Tanzania Sheikh Suleiman Gorogosi alisema, jambo lililokwamisha kutolewa kwa nyama hiyo bandarini Dar es Salaam ni ukubwa wa gharama ya kugombolea bandarini hapo.

''Zamani vitu vya taasisi za kidini vilikuwa vikipita bure bandarini lakini sasa kila kitu kimebinafsishwa na tunatakiwa tulipe fedha nyingi ili tuweze kupata mbuzi hao,'' alisema Sheikh Gorogosi.

Alifafanuwa kwamba kuna kipindi fedha iliyohitajika ilifikia Dola za Kimarekani 10,000 kugombolea mbuzi hao, lakini sasa inaweza kuzidi kwa sababu kadiri kontena linavyoendelea kukaa bandarini na ndio gharama inaongezeka.

Aliwataka Waislaam kuwa na subira na kwamba juhudi za kuutoa mzigo huo zinaendelea na kwa sasa maafisa wa Bakwata wanajaribu kuongea na wahusika ili waweze kupunguziwa gharama hiyo.

Alibainisha kwamba suala la kuharibika kwa mbuzi hao kama inavyodaiwa na baadhi ya watu halipo kwani wamehifadhiwa katika mazingira mazuri na kwamba kama kuna muislaam anayeweza kujitolea kutoa hiyo fedha basi muda wowote watatolewa na kufikishwa kwa wahusika.

Kwa Mujibu wa Sheikh Gorogosi, mbuzi hao waliotolewa bure kama Sadaka ni vigumu kutumia fedha nyingi kama hiyo kwa ajili ya kuwagomboa wakati kuna misikiti, madrasa na visima vinahitajika kwa Waislam vijijini.

''Mbuzi wenyewe wametolewa bure, sasa kwa nini sisi tutumie fedha nyingi kuwatoa bandarini. Si afadhali tu fedha hiyo itumike kujenga madrasa, misikiti na kuchimba visima kwa Waislaam,'' alihoji Sheikh Gorogosi.

Alifafanua kwamba walipoingia madarakani miezi miwili ilyopita tayari mbuzi hao wameshakaa bandarini kwa takriban miezi mitano na wao si wa kulaumiwa kwani hata hao walioondoka walishindwa kuwagomboa kwa sababu ya ukubwa wa gharama yake.

Awali Sheikh Gorogosi alianza kwa kusema wao hawazungumzii chochote kwa sasa kuhusu mbuzi hao kwa kuwa suala hilo limeshaandikwa na kutangazwa sana katika baadhi ya vyombo vya habari lakini baadaye alithibitisha kuwepo kwa mbuzi hao na kwamba tatizo ni fedha ya kugombolea.

Aidha sheikh Gorogosi alisema Waislamu wasitegemee kuwa mbuzi hao watagaiwa misikini kama ilivyozoeleka badala yake watagaiwa katika vituo vya kulelea mayatima, wajane, mafukara na masikini ambao ndio walengwa.

Sheikh Gorogosi alitoa wito kwa Waislamu kwamba wanapokuwa na hoja yeyote kuhusu Baraza Kuu la Waislaam Tanzania ni vyema wakaenda ofisini makao Makuu na kupatiwa data kamili kuliko kukaa katika vyombo vya habari na kutoa shutuma.

Hata hivyo Sheikh Gorogosi hakutoa muda maalum wa kutolewa kwa mbuzi hao bandarini lakini alisema kuwa muda wowote itakapopatikana fedha ya kuwagomboa watatolewa na kufikishwa kwa walengwa ambao ni mayatima, wajane, mafukara na masikini.

Wiki iliyopita Mnajimu maarufu nchini Sheikh Yahya Hussein kupitia kituo cha televisheni cha 'Channel Ten' alimtaka Mufti awatoe mbuzi hao na kuwagawa kwa Waislamu.

Sheikh Yahya pia alisema Mufti kama hatogawa mbuzi hao basi ajitokeze mbele ya Umma na kuuomba radhi kabla ya kwenda Hijjah kutokana kuchelewa kutolewa na kugaiwa mbuzi hao kwa Waislaam.

My take

Simo.....

Tukijiunga na OIC, tutalipiwa hata gharama za kutoa hao mbuzi. Dola 10,000 ingenunua mbuzi wangapi vingunguti? Umefika wakati wa ndugu zangu kukataa kuletewa hao mbuzi. Ni kujidhalilisha hasa tukiwa moja ya nchi yenye mifugo mingi duniani.

Leo mbuzi wanleta tafrani. Je hapo itakapoletwa misaada ya maana?
 
No BAKWATA ni chombo cha CCM na serikali iliopo madarakani sasa yenyewe itajua namna ya kutoa hao mbuzi bandarini

Sidhani kama waislam wengi watamiss sana hao mbuzi wa BAKWATA
 
GT
Heshima yako.
Unajua kuna kitu hapa najaribu kuunganisha pointi zako naomba nieleweke ni pointi zako si za waislamu ya kua.

UISLAMU ili ukamilike lazima pia SERIKALI ya ki KAIZAR iwe na mhimili wa kiislamu.

Kwa mawazo yako unataka kutuambia kua WAISLAMU wana mgogoro na serikali ya ki KAIZAR kwa sababu wanataka SERIKALI ya KIKAIZAR ifuate misingi ya KIISLAMU.

Unapoongelea mavazi wakati SERIKALI ina mihimili yake una maana gani? mfano shule imeweka uniform zake sasa wewe ukija na uniform zako zingine kama shule hiyo haizitambui unategemea nini?

UNAPOFIKA kwa KAIZAR no way out kubali anavyotaka na uondoke zako na WAISLAMU wanaofuata mafundisho wanalitambua hilo.

Mfano WAISLAMU wanapokua sehemu kama ulaya hawali nyama kwa vile kuku hazichinjwi kuelekea kibla??

Ama mwanamke mwislamu anapokua jeshini hua wanavaa HIJAB ama vibaragashia na kushika silaha ktk jeshi letu JWTZ mbona hilo hau hoji??

Sare za shule ni sawa na sare za jeshi na unapokua darasani kwa KAIZAR lazima ufuate sare zake.
Na je wapagani nao wakiibuka mashuleni na vibuyu waruhusiwe?? ama WAHINDU wakiibuka darasani ni matumbo nje waruhusiwe??

Na kwa nini shuleni ziruhusiwe vazi za dini moja??

Hapo Nyerere mnamlaumu bure
yeye waliweka sare za aina moja ili yasiwepo mapengo ya wazi ya kuonekana huyu ni tajiri/masikini ama huyu ni mwislamu/mkristu ama huyu ni mdengereko/mmakonde/mmasai.

GT
Lazima utambue DINI ni MUNGU Serikali ni KAIZAR -hivyo Serikali hazitambui kanuni za dini kama ilivyo dini kutozitambua kanuni za serikali sasa kuzilazimisha taasisi hizi mbili kufanya mambo sawia ni kukoroga mambo.

Wakristu wanatambua linapofika swala la Kaizar unamkabidhi yaliyo yake ,kwendelea kubishana naye atakatiza mipango uliopangiwa kufanya hapa duniani bure.

Game Theory,

Unajua mkuu wangu hawa jamaa zangu humu hakika ni sawa na usemi ule usemao Manyani wasoona makalio yao...
Wanalalamika sana kuhusiana na OIC, kujaribu kujaza watu ujinga lakini wanajua fika jinsi Vatican inavyofanya kazi. Jinsi serikali yetu na wanasiasa walivyojengwa na kanisa...
Ebu rudi kule kwenye Mada ya Dr. Slaa - HUU NI UKWELI WA DR SLAA - inayohusiana na wizi wa fedha za kanisa kisha soma maelezo yao kuhusiana na viongozi wa kitaifa wanaotumikia kanisa Katoliki - Utaona kila sababu ya majibu ya mkato - Hili ni swala la Wakatoliki, haliwahusu watu wa nje.. Hata kama wahusika ni viongozi wa nchi yetu kitaifa.
Kuna mtu aliuliza kuhusiana na fedha alizopewa Lowassa na kanisa katoliki hapa Canada... duuuuh, wakuu walikuja na sababu nzito ambazo sizioni hapa ktk swala la OIC...
Nawaomba warudi kule wayasome maandishi yao wenyewe jinsi wanavyofunga milango usoni mwa watu wanaotaka kujua uhusiano wa serikali na kanisa Katoliki..Tena wanakuwa wakali ajabu.
Mkuu wangu Kitila na Mkamap, wepesi wa kujenga sababu na maelezo marefu kuhusiana na Vatican ambayo wanataka Waislaam ama watu wasiokuwa Katoliki wakubali hali ukweli ni kwamba Vatican sio sawa na nchi nyingne yoyote duniani..Wanalijua hilo lakini wameweka pamba masikioni, hata kudiriki kusema kuna Ubalozi wa Iran ndani ya Vatiican hali Balozi wa Iran huko Italy na Ubelgiji ndiye anashughulikia pia maswala ya Vatican, Iran hawana ofisi ya Ubalozi ndani ya Vatican..

Muda mrefu huko nyuma nimejaribu sana kutoingia ktk kabati la udini na nimejaribu sana kutohusisha Vatican kwa undani na hoja ya OIC, kwa sababu Vatican haikuwa issue isipokuwa tunaweza kuitumia kama kigezo cha kufikia maamuzi yanayohusiana na OIC. tatizo kubwa pamoja na maeleoz yote ndugu zangu kina Kitila wameshindwa hata Ku google kuangalia Vatican kama nchi inajiendesha vipi..
Vatican ni nchi lakini madaraka yote ya nchi hiyo yanaongozwa na Taasisi - The Holly See, balozi wote wako chini ya Taasisi hii na imeelezwa wazi ktk utawala wa Vatican....

Ambassadors are officially accredited not to the Vatican City State but to The Holy See, and papal representatives to states and international organizations are recognized as representing the Holy See, not the Vatican City State.

Sasa inashangaza sana kuona watu wakijaribu kupindisha pindisha vitu hali information vitu vyote vinavyohofiwa kuhusiana OIC vimo ndani ya Vatican na tumekuwa tukiiishi miaka yote na vatican lawama zilikuwa bado kwa Waislaam kuwa tunalalamika sana tutafute na sisi yetu.. kimepatika duuuuh - vioja vinajengewa hekalu toka kanisa katoliki vinaanza..

Jokakuu,
Kila siku mnauliza Waislaam kwa nini wasifungue chombo chao wenyewe hali nimekwisha wambie yaliyomkuta Sheikh Kassim bin Jumaa na kile chombo kilichokuwa kimeanzishwa na Waislaam, BALUKTA..wee mkongwe humu unauliza kitu ambacho tumekizungumza miaka mkuu wangu.

Mkuu haijawahi Kutokea DUNIANI, serikali yoyote kuunda chombo cha dini kwa ajili ya wafuasi wa dini ama dhehebu fulani ndani ya nchi hiyo isipokuwa Tanzania..Can't U just think of that?...uone kwamba kweli waislaam wa tanzania hawakuwahi kutendewa haki, then ufikirie how to help them badala yake unawalaumu wao kwa nini wasifanye hivi ama vile.. Wakifanya - Mnageuza swala zima kuwa la Taifa na sio la dini...Hivi mmesimama wapi haswa?

Mkamap,
tatizo lako ndugu yangu unazungumza kwa rangi zako yaani unashindwa kukaa nje ya kabati la udini ukayatazama maswala yote kwa fikra huru. Ukisoma maelezo yako hapo juu michango yote miwili inakueleza wazi unazungumzia kunyooshea kidole Waislaam tu. Waislaam vile ama hivi wakati wakifanya kitu ambacho ni bora kwao unaanzisha lawama nyingine.
Tumekwisha kwambia BAKWATA ilinanzishwa na serikali, ilikuwa registered na serikali na mengine yote utakayotaka kufikiria yalijengwa na serikali kwa ajili wa Waislaam jambo ambalo hakuna nchi wala Uongozi wowote duniani umewahi kufanya hivyo..Isipokuwa Tanzania... Hiyo ni point ya kwanza unayotakiwa kuitazama - where we come from!.
Pili waislaam wamekwisha kipiga vita chombo hiki mara nyingi wala sio moja tu toka enzi za Sheikh Kassim bin Jumaa lakini kila siku serikali na Uongozi wake hutafuta vipengele vya kubadilisha ktk katiba na Uongozi wa Bakwata..Vyombo vingine vya kidini kuwakilisha Waislaam wote wa Tanzania haviwezi kuundwa kwa sababu ambazo mimi siwezi kuzifahamu WHY waislaam hawatakiwi kuunda chombo chao.. Ukiniuliza mimi utakuwa unaweka pamba masikioni kwani nimekwisha kwamba Bakwata yenyewe ni mfano tosha kwamba imeundwa tofauti kabisa na taratibu za dunia nzima!..iweje leo ushindwe kuelewa waislaam hawaruhusiwi kuunda chombo cha kidini nje ya Bakwata.. sasa muhimu ni wewe kujiuliza WHY kama kweli unawatakia kheri waislaam sio kuwaambia wafanye nini hali unajua fika haiwezekani!.. Ni bora useme shauri yenu tujue sisi tujipange vipi lakini sio kutufanya watu wajinga kiasi hicho.

Jokakuu,

Muda wote huko nyuma tumekuwa tukijenga hoja zetu bila kuihusisha Vatican isipokuwa wao ndio wameivuta humu kwa kujaribu kutumia katiba na swala la Taasisi ya kidini kutoshirikiana na serikali yetu. Wametumia katiba za ndani na nje kuonyesha kwamba OIC ni chombo cha kidini hivyo hakifai kuhusiana nacho..Kisheria mkuuu wangu hata mahakamani hoja hujibiwa kwa hoja na mifano inayoruhusu katiba kisheria hutumika kuonyesha maamuzi yaliyotangulia ktk kuhalalisha kitu...huwa wana Quote kesi za zamani na maamuzi yaliyopitishwa...

Nitarudia kusema muda wote nilikuwa yanajua haya yote lakini nilitaka watu waitazame OIC nje ya sanduku la Udini, jinsi gani wanaweza kuwasaidia waislaam ndugu zao ambao kwa muda mrefu wamekuwa hawana maendeleo ktk sekta zote za kijamii.. badala yake tunakutana na wale wanaoitwa Walokole ambao hofu yao kubwa ni Uislaam kama dini kisha basi sijui kinachogombewa hapa ni kitu gani..kuwa Uislaam utawageuza watu dini?.. Hivi Uislaam una vutia kiasi gani inapofikia swala la OIC maanake hii ni sawa na mtu anayeogopa mtu fulani asiwe karibu na mkewe..
Mkuu umeuliza kuhusu kuvunja uhusiano na Vatican!... hiii ni shauri yenu wenyewe sisi waislaam hatuoni taabu kuwepo kwa uhusiano kati yetu na Vatican maadam na sisi tunapewa nafasi sawa ama uwezo wa kujiendeleza sisi wenyewe..Mkitaka kuvunja vunjeni lakini msitumie sababu ya OIC kuwa ni Taasisi ya idini ktk kuikataa OIC hali Vatican pia ni Taasisi ya kidini na imekubalika na watu wote waislaam, Wapagan, Wakristu na kadhalika..
Halafu mkuu wangu mifano kama hii ya kuvunja Uhusiano na Vatican ni mifano ambayo hutakiwi kabisa kuiweka hapa kwa sababu - HAIWEZEKANI.. haiwezekani Tanzania kuvunja Uhusiano na Vatican, iwe kwa sababu yoyote ile acha hii ya OIC - na haikubaliki kwa mtu yeyote yule hivyo usitake kunijaribu kwa hoja ambazo hazipo ktk reality..Tutaonekana hazitutoshi kufikiria tu kuvunja uhusiano na Vatica kitu ambacho hakiwezekani na kitakuwa na madhara makubwa zaidi ya mazungumzo ya JF..
Vatican imetumika tu kuonyesha hofu yenu kuhusiana na OIC kama chombo cha nje kuingia nchini. Majibu yenu mengi yamekuwa kuhusiana na Bakwata kama kinga ya OIC hali sioni mtu akitazama vatican kama chombo cha nje..Kwa hiyo imebidi tuweke record sawa pamoja na kwamba unapoingia sana ktk maswala ya Vatican unakuwa ktk hatari ya kuingia ktk UDINI..
Hofu ya OIC bila kuwa na ushahidi hata mdogo unaohusiana na shuku zenu zaidi ya why an Islamic Organisation kama vile nchi hii ni ya Wakristu tu wanaoruhusiwa kuunda organisation zao ndani na nje..

NB: Kuhusu Ubalozi mwambie huyo Mkamap.. aliyetaka kuudanganya Ummah akitumia Ubalozi kujenga hoja ambayo hata sikuelewa mwanzo wake.

Mkamap,

Baada ya miaka 40 na ushee leo ndio unafikiria kumuuliza Yusuph Makamba na Hawa Ghasia ambao hawajui wala kuwepo ktk maamuzi ya kuundwa kwa Bakwata!..Mkuu unajua wazi kulingana na siasa za Bongo utapigwa panga za huku na kule kama EPA na imetoka.. Muhimu nakuomba wewe kama raia mwema elewa kwamba Waislaam ni dini ambayo iko controlled na serikali..nimekuapa mifano yote ya wazi, Ukiweza kuamini hilo tu nadhani tutakuwa tunapga hatua..
Hata kisiasa siku ambayo vyama vya Upinzani vitaweza kuangalia issues za Tanzania kwa kuzingatia imani, mrengo na tofauti zilizopo baina yao na jinsi gani tatizo la chama kimoja linaweza kubebwa na vyama vyote hata kama kwa maslahi ya chama kimoja, then itakuwa kazi rahisi sana kupata ushindi dhidi ya CCM..
Muhimu pia tuelewe kutafuta kuiondoa CCM madarakani haina maana CCM ni adui wa wananchi isipokuwa ni chama ambacho kimepoteza mrengo, kimepoteza heshima na mwenye mapenzi na chama ama nchi yetu ni lazima awe against utawala wa chama hiki...

Well U just said it mkuu.. mkuu kuyaweka majina haya hapa ni lazima umeipata picha na kujaribu kutofikiria hivyo! Nafsi zako mwenyewe zimepingana kisha ukatafuta jibu kabla hujaandika hapa..meaning picha ulikuwa nayo kichwani.

mkamap,
Mkuu jaribu sana kuelewa mtu anazungumza vitu gani?...Jokakuu kaniomba nizungumzie OIC bila kuihusisha Vatican...sidhani kama unaelewa kwa nini ameniomba hivyo ... Sasa ktk spin yako, kuepuka maswali niliyokuwekea hapo juu umeibuka na kioja kingine, unaweka madai kwamba ni Waislaam sijui kule Bungeni!... nani anazungumzia Bungeni! nani anazungumzia maswala ya mahakama za kadhi ndani ya mada hii kama sio sisi wenyewe hao Wabunge wametoka wapi?...
nambie ni wapi ktk mada hii tumezungumzia hoja za Wabunge wetu na Vatican!.. Ukweli ni kwamba hata hotuba ya Membe haikugusia kabisa Vatican wala mahakama ya Kadhi na nitarudia kusema nyie ndio mnaotaka kukuza vitu hivi. Unaweza kugusia tu kuhusu Mahakama ya Kadhi ikiwa kuna hoja inayohusiana na mahakama lakini wajomba mnavuta kila kitu cha Waislaam ndani ya hoja moja tena mnaifanya kuwa mada nyingine ndani yake... Na kama kawaida yenu kisizungumzwe kitu chochote cha Wakatoliki ni makosa na hata kama hoja iliyopo inahusiana na kitu hicho....

Mkuu mlikataa kuitambua OIC kwa sababu ni Taasisi ya kidini, na mliulizwa swali kuhusiana na Vatican kama Taasisi ya kidini... right on the money!.
Kama mngekuwa na ufahamu mzuri msingeanzisha kubisha na kujaribu kuipamba Vatican hali inajulikana ni chombo cha aina gani. Kilichotakiwa kufanyika ni nyie kutazama upya OIC kama chombo cha Waislaam na kwa nini tumekubali kujiunga nao.
Sisi sio nchi za Kiislaam ambazo zimekataa uhusiano na Vatican kwa sababu ya imani yao kidini au Uarabu wao...na wala hatuwezi kujifananisha na Batswana ambayo pia haina Uhusiano na Vatican pamoja na kwamba kanisa katoliki lipo nchini humo..
Tanzania tunatazama maswala yetu kama Tanzania, kwa mchanganyiko wetu tunapokea na kutoa uhuru sio kukataza na kubana Waumini wake ktk kuendesha haki na usawa wa nchi yetu kutokuwa na dini...Kwa hiyo tumeweza kuona umuhimu wa Vatican kwa Wakristu wa dhehebu la Katoliki ambao ni sehemu ya wananchi wa Tanzania..
Hatufanyi vitu kwa kuiga ama kutazama rangi za dini laa tunatazama mahitaji ya waanchi wake kwa rangi zao, tunatazama matakwa ya wananchi, serikali ni watu na watu wake wana dini zao hivyo ni lazima kuwepo na mfumo wazi kwa dini zote kuweza kujiendeleza na sio kubanwa kwa sababu ati dini nyingine hazina uwezo ama nafasi ya kuanzisha vitu kama hivyo.
Nafasi inawekwa wazi kwa wote mwenye uwezo afanywe na kama huwezi leo kesho ukiwa tayari fanya, na kama kunakibano basi kila dini inatakiwa kubanwa.
Navyofahamu mimi haikatazwi kabisa kwa madhehebu mengine kujiunga na taasisi za kidini ikiwa support ya serikali itatakiwa wapewe maadam ni ktk malengo endelevu kwa wananchi wake.

Shukran za dhati kwa jitihada zako sasa nakupa ushauri wa bure:Kama msomi nadhani bora ukafanye research na kasome article iliyoandikwa na JENERALI ULIMWENGU kwenye gazeti la RAI (September 3-9, 1998) kichwa cha ile article kilikuwa:Maswali magumu, Majibu Rahisi

Majibu ya maswali yako yote yako mle.
 
mkamap,
Mkuu jaribu sana kuelewa mtu anazungumza vitu gani?...Jokakuu kaniomba nizungumzie OIC bila kuihusisha Vatican...sidhani kama unaelewa kwa nini ameniomba hivyo ... Sasa ktk spin yako, kuepuka maswali niliyokuwekea hapo juu umeibuka na kioja kingine, unaweka madai kwamba ni Waislaam sijui kule Bungeni!... nani anazungumzia Bungeni! nani anazungumzia maswala ya mahakama za kadhi ndani ya mada hii kama sio sisi wenyewe hao Wabunge wametoka wapi?...
nambie ni wapi ktk mada hii tumezungumzia hoja za Wabunge wetu na Vatican!.. Ukweli ni kwamba hata hotuba ya Membe haikugusia kabisa Vatican wala mahakama ya Kadhi na nitarudia kusema nyie ndio mnaotaka kukuza vitu hivi. Unaweza kugusia tu kuhusu Mahakama ya Kadhi ikiwa kuna hoja inayohusiana na mahakama lakini wajomba mnavuta kila kitu cha Waislaam ndani ya hoja moja tena mnaifanya kuwa mada nyingine ndani yake... Na kama kawaida yenu kisizungumzwe kitu chochote cha Wakatoliki ni makosa na hata kama hoja iliyopo inahusiana na kitu hicho....

Mkuu mlikataa kuitambua OIC kwa sababu ni Taasisi ya kidini, na mliulizwa swali kuhusiana na Vatican kama Taasisi ya kidini... right on the money!.
Kama mngekuwa na ufahamu mzuri msingeanzisha kubisha na kujaribu kuipamba Vatican hali inajulikana ni chombo cha aina gani. Kilichotakiwa kufanyika ni nyie kutazama upya OIC kama chombo cha Waislaam na kwa nini tumekubali kujiunga nao.
Sisi sio nchi za Kiislaam ambazo zimekataa uhusiano na Vatican kwa sababu ya imani yao kidini au Uarabu wao...na wala hatuwezi kujifananisha na Batswana ambayo pia haina Uhusiano na Vatican pamoja na kwamba kanisa katoliki lipo nchini humo..
Tanzania tunatazama maswala yetu kama Tanzania, kwa mchanganyiko wetu tunapokea na kutoa uhuru sio kukataza na kubana Waumini wake ktk kuendesha haki na usawa wa nchi yetu kutokuwa na dini...Kwa hiyo tumeweza kuona umuhimu wa Vatican kwa Wakristu wa dhehebu la Katoliki ambao ni sehemu ya wananchi wa Tanzania..
Hatufanyi vitu kwa kuiga ama kutazama rangi za dini laa tunatazama mahitaji ya waanchi wake kwa rangi zao, tunatazama matakwa ya wananchi, serikali ni watu na watu wake wana dini zao hivyo ni lazima kuwepo na mfumo wazi kwa dini zote kuweza kujiendeleza na sio kubanwa kwa sababu ati dini nyingine hazina uwezo ama nafasi ya kuanzisha vitu kama hivyo.
Nafasi inawekwa wazi kwa wote mwenye uwezo afanywe na kama huwezi leo kesho ukiwa tayari fanya, na kama kunakibano basi kila dini inatakiwa kubanwa.
Navyofahamu mimi haikatazwi kabisa kwa madhehebu mengine kujiunga na taasisi za kidini ikiwa support ya serikali itatakiwa wapewe maadam ni ktk malengo endelevu kwa wananchi wake.

Karudie kusoma tena humuhumu JF mleta maada simkumbuki ila maada ilikua BUNGENI kwa waka moto.

Na aligawa makundi mawili A ikiwa watatetezi wa kadhi na B ikiwa wapingaji wa kadhi BUNGENI.
tutakukumbusha tu hata ukijifanya kusahau na ukibisha sana tuta copy na kupeste maada hiyo ilivyojadiliwa huko bungeni.

Waleleta vioja ni wale wanaoacha kujadili maada na kuanza kutukuna mfano -uko ndani ya box,uchizi n.k
 
European union ni wanaulaya, mmarekani kashindwa kuingia kaishia kuchungulia.
Africa union ni ya wafrica, wengine wanaishia kutugawa tu, hawawezi kuingia kama si waafrika.
Islamic communities ni ya jumuiya za waislam, iweje nchi ndio iingnie? hapo mimi ndio hainiingii. Labda nchi nzima ingekuwa ya waislamu.
Najua inasemwa inaruhusiwa, je serikali yetu inayoendeshwa na sera zinazobadilika kwa muda mfupi kuendana na alieko madarakani, au nani anataka kufurahishwa tutaweza kwa miaka mingapi?

Kuna fees?
Masharti mengine nini?
 
Mkamap,
Bado tuu...Ama kweli ndio maana huwezi kuelewa kitu..

Hii mada inatwa - Hatimaye Tanzania Yajiunga OIC...wapi mbunge (sijui nani) kaandika habari za kadhi?... mkuu elewa kwanza watu wameandika nini kabla hujakurupuka na khanga kiunoni wengine hawatakuelewa!

Ni wewe ulianzisha habari za Kadhi, ni wewe uliyaamzisha habari za Kikwete na Mwinyi kuwa viongozi waliotaka kuuleta uislaam na ni wewe uliyeandika kumshutumu zaidi Membe kama vile ni coward..(pengine kwa sababu ni mkristu) Hii haina maana zaidi ya kuwa umefunikwa blanketi zito la utumwa wa akili.
Wakristu na waislam na watu wa madhehebu mengine sio maadui hata kidogo, Kikwete ayafanya aloyafanya sio kwa sababu ni Muislaam, Mkapa vile vile sio kwa sababu ni mkristu ila wa kushutumiwa/kupongezwa ni wao kwa mabaya/mazuri yao bila kutazama dini zao....
Mkuu huko Finland mambo kama ndio hivi basi mmechelewa ile mbaya! duh....

Haika,
Mkuu hakuna masharti yoyote zaidi ya kujiunga kwa malengo ya kusaidia waislaam. Kuna vyombo vingi sana vyenye mwelekeo wa Kikristu na vimekubalika kimataifa ndio maana vimejiandikisha UN.. vitu kama Red Cross na kadhalika.. Waislaam hawawezi kuvikataa ama kupinga vitu kama hivi simply kwa sababu vimelenga dini fulani.

Yapo mataifa ambayo yange kuwa na mjadala mrefu kuhusu swala hili kuliko sisi lakini, kitu kimoja tu unachoshindwa kuelewa ni kwamba serikali inapotoa uhuru kwa dini na madhehebu yake kuwa huru ina maana vikwazo ni jambo la mwisho!.. ndio maana tumekuwa tofauti na nchi kama za Kiarabu ambazo zimekataa kujiunga ama ushirikiano na Vatican.. nchi nyingine zimekataa ushirikiano na nchi za kiarabu kwa sababu ya imani zao kwa ujumla kuhusiana na dini ama mfumo wa siasa wa nchi hiyo.

Kwa hiyo, sisi maadam tupo kati yaani sio nchi ya Waislaam au Wakristu. then tuna kila sababu ya kuwa na uhusiano na Vatican hata kama ni chombo cha kidini, tupo radhi kusimamia hata Ibada za kikristu ikiwa Pope ataamua kufanya ibada ya watoto duniani kwetu Tanzania...Na tunaweza kusimamia pia ibada za Mabudha kama wataichagua Tanzania, kwa sababu ndio uhuru wenyewe. na kama unakumbuka kuna Mapadre wasenge walikuja nchini na hata kwenda Zanzibar tena wakapewa heshma za kitaifa , ndio uhuru wenyewe....
Kwa hiyo isije fikia kuona Waislaam wakipewa uhuru huo mnaanza kutazama Uislaam kwa rangi zake hali kuna mengi yamekwisha pitishwa na kuamuliwa kwa ajili ya dini nyinginezo na haikuwa tatizo...
Jamani jamani kama vilivyo vyama vya kisiasa kuna vyama kibao vyenye sera tofauti lakini lengo lake ni moja..maendeleo ya wananchi wake hata kama wanasimamia mrengo fulani tofauti na ule unaoupenda ama kuuamini wewe. Tofauti zao haziwezi kutuvuruga na kujenga chuki baina yetu ati kwa sababu chama kimoja kinawakilisha kundi la Conservative...
Huu ndio mfumo uliopo sasa hivi, mfumo ambao CCM inautumia kuwabana vyama vya Upinzani wakati wana haki sawa na CCM kama chama..CCM wanachukua fedha benki kuu (mikopo ya kimataifa kwa nchi) na kuzitumia bila kuwajibika lakini Chadema wakipata msaada toka nje Uingereza inakuwa hoja nzito..
Kikwete anakwenda USA na kuweka mikataba na Busha lakini zanzibar wanapoulizia fedha hizo inakuwa matatizo kwa sababu tumeweka mipaka baina yetu badala ya kuwa kitu kimoja chenye chanya ndani yake kama vile chungwa ukilimenya..Hizo tabaka zisiwe sababu kabisa ya kuona tofauti zetu kama Watanzania bali ni baraka zaidi kwetu sisi.
 
Asante Mkandara kwa kuliona swali langu japo hujanishibisha umenisogeza karibu zaidi, kwamba nchi ambayo si ya dini yoyote inaweza kujiunga maadam kuna watu wanapenda haswa kuna waislam, ambao wapo kwa wingi sana tu.
naomba kuuliza tena swali la ziada, mikutano ya umoja wanaenda mawaziri, maraisi bila kutegemea pia dini zao au itabidi kila waizara ihakikishe kuna wa dini hiyo anayeenda kuwakulisha?
je inawezekana kuwa uhuru unafanisha uhuru wa kuingia nchini kushiriki na watu wa ndani, na kiongozi kuja kukusalimia (mwana umoja fulani wa kidini), na serikali kutoa fedha, wafanyakazi Raisi kuisimamia, kupangiwa bajeti, kujadiliwa bungeni kama SADC, au SADEC au AU.
Kumbuka jinsi BAKWATA usimamizi wake serikalini unavyokuwa shida.
Mimi naona haya mambo yenye interest za dini waachiwe wenye imani zao 100% serikali isiingilie, OIC imesikumwa kusaidia wenye shida kwaajili ya imani, ndio inayowaongoza, serikali yetu haina imani hiyo, wala haitaweza kuthamini msukumo unaowagusa hao wanachama.
Serikali kama ya Tanzania kuingia humo ni kudilute ule msukumo, mguso, uliosukumia kuanzishwa kwa umoja huo.
Lakini kwanini sheria ya nchi kuingia? Wangesema japo Bakwata jamani. Manake kinatambulika na nchi.
Au wanataka ruzuku wakiingiza misaada yao?
 
Back
Top Bottom