Juu ya OIC na Mahakama ya Kadhi

Juu ya OIC na Mahakama ya Kadhi

nimekupata lakini kuna kipande hiki naona umekisahau:

In short BAKWATA iliasisiwa kwa shinikizo la serikali mwaka 1968 baada ya kuivunja jumuiya ya East African Muslim Welfare Society iliyoundwa na Waislamu wenyewe kwa ridhaa yao. Jumuiya hiyo ilikuwa na mali, majumba, shule na Misikiti.

Vyote vikaporwa na kukabidhiwa BAKWATA. Waislamu walizipinga hatua hizo na ndiyo maana hadi leo BAKWATA haina ridhaa ya Waislamu ila wachache tu wanaolindwa na katiba ya kidikteta iliyompa mamlaka makubwa Mufti wao. Lakini pamoja na uchache wao, BAKWATA hao hao bado hawaelewani hata juzi mmeona yule shee mkuu wao alipotoka India alifanya nini

Je unao ushahidi utakao onyesha tofauti na yaliyoandikwa hao juu?

yawezekana serikali kufanya hivyo ilikua na nia nzuri kabisa kuwapa bakwata shule ili waislamu wantanzania wajiendeleze kilimu zaidi.

mfano iliyokua shule ya secondari ya ufundi MAZENGO kama sijakosea sana wamepewa KKKT na wamejenga chuo kikuu chao,Hapo kwa akili nyepesi kabisa hutoweza nishawishi kua CCM ndio inawateua maaskofu wa KKKT ama CCM ndio ina i control KKT.

Hapa ni wazi tu kua ndani ya uislamu haswa kwa BAKWATA kuna ka kundi ambako kana wivu na kuona viongozi wakuu wa BAKWATA wanaochanguliwa na waislamu wenyewe wanafaidika sana hivyo kuamua kueneza mambo yasiyo na msingi.

Huwezi nishawishi ya kwamba CCM ndio inawatuma kakikundi haka kuteka misikiti.
Mimi niliwahi kushuhudia pale IGOGO mwanza hpo kakikundi haka kalipojaribu kuteka msikiti na ngumi za kufa mtu zikatupwa vibaya sana badala ya swala,huwezi shawishi ktk hilo.

Hapa ni kakikundi ka kiislamu ambako kameibuka ndani ya uislamu ambako hakana misikiti sasa kanaeneza chuki zisizo na misingi kujaribu kujitwalia misikiti na malengo yao binafsi kwa visingizio eti waislamu wanaoneo
 
sasa
GT unanichanganya
kama serikali hii ya CCM haikufanyii mema ndani ya BAKWATA je ni serikali hiyohiyo itakufanyia mema nje yani ktk OIC.
Hapa ndipo utatambua kuna walalamishi tu kwa vile ni wakulalama siku zote.
 
Sijasema mimi ni BAKWATA na kama utasoma post zangu za nyuma kuhusu misimamo yangu on mambo ya dini utaona napinga sana dini kuingizwa kwenye serikali

Hapa nishawahi kuanzisha thread ambayo ililenga kuondoa unafiki uliowajaa watu humu kujidai ohhh serikali haona dini lakini raia wake wanayo haki ya kuwa na dini

sasa swali kwa nini TUNAKUBALI NYIMBO YA TAIFA iliyojaa kuwabagua wasio na dini?

surely unapokuwa na nyimbo ya taifa inayosema MUNGU IBARIKI TANZANIA ...maana yake ni nini haswa kama si maombi?

Je watu wako tayari kujadili hayo? HAKUNA

on a flip side sikuzote huwa nasema udini uliiingizwa na Nyerere enzi za utawala wake na ni kweli hata serikali ilikubali kuwa waislam walikuwa wanakandamizwa na hilo halina mjadala ...na ni kweli walikuwa wanakandamizwa na CCM hilo nalo halina mjadala

Kama mnakubali kuwa CCM imerudisha nyuma nchi whats so difficult kukubali kuwa CCM hiyo hiyo ya akina MALECELA na kundi lake ilikuwa inawakandamiza waislam?

Kila kukicha tunambiwa na viongozi pamoja na watawala wetu kuwa Tanzania ni yetu sote, Tanzania ni nchi inayoongozwa kwa misingi ya haki na usawa kwa wote, Tanzania ni nchi inayothamini haki za binadamu, Tanzania ni nchi ambvayo haina dini, Tanzania ni nchi ambayo katiba yake ndiyo sheria mama n.k.

Lakini jambo la kushangaza ni kule kuwaona wale wanaotukumbusha kila siku juu ya sifa hizi za Tanzania wakienda kinyume na maneno yao wenyewe pale wanapotakiwa kutekeleza jambo. Na hapo ndipo decree ya kuwa wao ni wanafiki inapokuwa wazi na bayana kabisa. Wanakuwa ni wanafiki kwa vile kusema uongo, hawatimizi ahadi na kuchezea dhamana tuliyowapa hasa ile ya kulinda katiba ya nchi.

Lakini usipotosheke kuna kundi la akina MALECELA lilifanikiwa kupanda megu mbaya ya Chuki ambayo inapandikizwa ili iwatenge Watanzania katika misingi ya dini zao.Its no brainer, huu mjadala wa OIC unaonyesha kuwa kuna watu wanaujadili si kwa lingine zaidi ya yale mawazo ya kizamani eti leo hii mtu mwenye elimu, madaraka, mali, hadhi n.k. anatarajiwa awe Mkristo. Na kinyume chake ni Muislamu. Kiasi kwamba hashangai mtu kuiona hali hii bali mtu atashangaa sana anapoona kinyume chake.

Hali hii imeasisiwa, imelelewa, imekuwa na kukomaa na Nyerere na kundi lake na mifano ipo kusupport hoja hiyo hapo juu itakayoonyesha kuwa kuwa kuna watanzania wanataka kuwafanya wenzao kama vile wale jamaa kule Yugoslavia ya zamani walivyowafanya wenzao wa Bosnia.

Kwanza kabisa:
ni kwamba Tanzania imefika mahali kwamba watu wengine wamejichukulia madaraka yanayowawezesha kuwapa Watanzania wenzi wao wa dini nyingine tafsiri ya dini yao na namna ya kuifuata. Waislam walipoanza kuquestion mamabo ya OIC walijibiwa na maneno ya kuchonga kama Mujahidina, msimamo mkali, siasa kali na mengine ambayo yaliibuka kwa msingi huu wenye lengo la kuwagawa na kuwakandamiza Waislamu wa Tanzania, watawala wa CCM hilo wanalijua fika

Nakumbuka hali hii in 1990's ilitufikisha mahali kuwa mwalimu wa shule ya serikali anaingia hofu na kutumia nguvu nyingi sana kupinga mwanafunzi Muislamu Mtanzania kuvaa vazi la dini yake....mpaka Rais akaliingilia

Pia nakumbuka back in 90's tulifika mahali maafisa wa Manispaa kubwa kama ya Dar es Salaam chini ya uongozi wa Tume ya Jiji walijipa mamlaka ya kutoa aina ya hijab anayopaswa kuvaa binti Muislamu shuleni! Mind you hapa siongelei NIQAB au lile vazi la ninja bali nazungumzia Hijab

Nakumbuka issue ilifikia mahala iliandikwa barua na Tume ya Jiji kwa Maafisa Elimu wa Kanda mwaka 1999 mabinti wanatakiwa wavae mashati maupe ya mikono mifupi! Je, uamuzi huu ulionyesha ujinga (kutojua) kwa watu wa Tume? Jibu ni hapana kwani walikuwa na nafasi ya kutosha kutaka ushauri kwa viongozi wa dini na hawakuona haja....

Kwanini basi walifanya hivyo? Jibu lake ni ule U MILOSOVICH niliosema mwanzo. Umilisovich huu humfanya mtu aone kuwa yeye anayo mamlaka ya kuamua ni sehemu gani ya Uislamu ifuatwe na sehemu gani isifuatwe. Wala hana wasiwasi kuwa anaweza akatokea Muislamu yeyote kumhoji. Na ikiwa atatokea basi ule mtandao wao utamtafutia moja ya yale majina niliyoyataja hapo juu na dola itashughulika naye....the same applies na marehemu kada mkubwa wa CCM DR OMAR ALI JUMA kuwapiga mkwara wale Ansar Sunna kuswali Iddi pale Jangwani kisa? BAKWATA hawakutangaza kuonekana kwa mwezi!!

PILI
Rais MKAPA enzi hizo alitembelea Chuo Kikuu cha Dar es Salam sehemu ya Mlimani. Katika ziara yake Rais alijionea mwenyewe UMILOSOVICH uliopo Mlimani.Hali ilijitokeza pale mmoja wa wanafunzi alipouliza swali kuhusu matumizi ya nguvu ya polisi yaliyopelekea kuuliwa Waislamu Mwembechai 1998.

Kilichojitokeza ni kuwa 'WAMILOSOVICH 'sikuhizi nawaita waliomeza BLUE PILL hao ndani ya ukumbi wa Nkrumah hawakuweza kusubiri muulizaji amalize swali lake bali walianza kuzomea hadi Rais alipoingilia kati na kuwatuliza hao. The same attitude si kazi sana kuona katika posters walipost humu kwenye issue ya OIC maana majibu yao hayakulenga kutaka watu wajadiliane bali ni kukandia all the way wakiongozwa na MCHUNGAJI KISHOKA. Anyway back to ziara ya BEN pale Mlimani....baada ya swali Rais alijibu kuwa suala la Mwembechai lipo mahakamani.

Japo siyo kweli kuwa wale polisi walioua Waislamu pale Mwembechai wameshakamatwa na kufunguliwa mashitaka na japo ni kweli kuwa wasomi wa Chuo Kikuu wanaufahamu ukweli huu, jibu la BEN lilishangiliwa sana!!

Kisha BEN akaombwa amfukuze kazi mara moja aliyekuwa Katibu wa Wizara ya Sayansi, Teknolojia na Elimu ya Juu kwa kile walichokiita kutowajibika kwa Katibu huyo. Waziri ambaye ni Mkristo katika Wizara hizo, kama ilivyokwishajengeka yeye hana tatizo. Kinachofanya yote haya kutokea ni UMILOSOVICH uliopo miongoni mwa Watanzania hakuna cha zaidi.

TATU, hali katika mashule ya sekondari na vyuo vingine nchini ni hiyo hiyo. Ni aghalabu mwanachuo/mwanafunzi Muislamu kupigiwa kura ya kuwa kiongozi katika ngazi ya shule au chuo. Matangazo yote yanayohusiana na mambo ya Waislamu hayadumu katika mbao za matangazo vyuoni. Kila linapowekwa 'WAMILOSOCHICH' hulibandua. Haya mtu yeyote anaweza kuyathibitisha. Nenda Mlimani, nenda Chang'ombe T.T.C., nenda IFM n.k...kama kna members wa MSAUD humu ndani ya JF watakuelezeni zaidi

Hivi unahabari kuwa miezi 14 baada ya mauaji ya Mwembechai leo agenda kubwa ilikuwa ni kumsaka na kumkamata Ponda (dead or live)! Kwa hiyo its quite obvious kuwa lengo hapa lilikuwa ni kuwalinda wauaji; kufukia ukweli wa jambo na kumfanya Ponda ndio (issue) suala la kushughulikiwa...na serikali inshort ilikuwa so blinded na udini kiasi cha kwamba hata priority kwa vyombo vya usalama haukuwa kuwakamata wauaji wa Mwembechai na kuwafikisha mahakamani.

Wala hawafikirii kumkamata PADRI LWAMBANO ambaye alikuwa ni mzushi na mchochezi wa mauaji ya Mwembechai aliyeishinikiza serikali hadi ikapelekea kuua watu Mwembechai.

Ni kwa mtaji huu huu wale watu wanaghushi hati na kukabidhiwa nyumba za WAKFU zilizotolewa na waislam hulindwa na polisi na kuhatarisha usalama wao. Sasa leo hii hebu niambie hata kama kuna hoja za kujadili kuhusu OIC huwezi kuenda nazo mbele bila kuangalia hawa wanaodai kuwa wamekuwa wakionewa wanamawazo gani.Na hii issue ilikuwa polarized zaidi na akina Pengo kumpa directives rais afanyenini huku waislam wakiendelea kujenga hiyo siege mentality ya kuwa wanaonewa

Hujiulizi mbona wizara za serikali hazina bajeti ya kununua kadi za Ramadhani na Iddi lakini inazo za miti krismasi?
 
Hii ni Hatari sana tena sana........and it does take time for one to be built in these kind of unqualified thoughts from whoever...........

....i guess upbringing nayo inachangia sana....regardless ya kiwango cha elimu au uelewa wa mtu alionao.................

JF........where we dare to talk openly............kwa kumkoma nyani giladi.....I Love JF Wallah!
 
In every man’s past there are things which a man would not admit to anyone, except to his closest friends. There are things too which a man would not admit even to his friends, but only to himself, and that in strictest confidence. But there are other things which a man would not admit even to himself, and every decent man has quite an accumulation of such things...

-Notes from Underground
 
-Notes from Underground[/SIZE]

This last quality in you, puts you in a class of your own - way above average in abundance (sigh) but decent ? no, I dont think so.
 
GAME THEORY,

..kama hamuipendi BAKWATA kwanini hamuanzishi Jumuiya zenu wenyewe?

..au kama serikali inawapendelea BAKWATA kwanini hamjiungi nayo ili muweze kufaidika na upendeleo huo?

..zaidi kama mnalalamika kwamba serikali iliwaanzishia BAKWATA na "kuwateulia" Mufti-Mkuu, kwanini mnarudi hukohuko kuitaka serikali iwaanzishie MAHAKAMA YA KADHI na kuwateulia Kadhi Mkuu?

..wakati mwingine nadhani huu upinzani dhidi ya Bakwata unatokana na machungu ya wale waliopigwa chini baada ya serikali kuvunja EAMWS.

..kama ni mali si zimekabidhiwa kwa Bakwata, au serikali ilichukua nyingine?

..na kama watu wana uchungu na mali[assets] zilizohamishiwa Bakwata basi wangejiunga huko kuhakikisha zinatunzwa na kuendelezwa.

NB:

..mimi nadhani haya malalamiko myawasilishe kwa namna ambayo Dini/Madhehebu mengine yataweza kuwaunga mkono na kushirikiana nanyi.

..kwa mfano: mimi hushangazwa sana kwamba watu wanapodai tujiunge na OIC, wanazua hoja ya kuwepo kwa ubalozi wa Vatican Tanzania. what if serikali ikisema inafunga ubalozi wa Vatican? je ina maana kutakuwa hakuna umuhimu tena wa Tanzania kujiunga na OIC?

..nadhani inatosha tu kusema kwamba OIC itatuletea misaada zaidi toka Islamic Republics. misaada hiyo itaipunguzia serikali mzigo wa kuhudumia huduma za jamii, na kila Mtanzania, nasisitiza kila Mtanzania, atafaidika.

..kwa upande mwingine napendekeza viongozi wa madhehebu ya Kikristo waache kujitumbukiza katika malumbano kati ya serikali na Waislamu.

..nadhani hii hoja ya KADHI waachiwe Waislamu waijadili na serikali yao. kama ni kuitolea maoni basi wawaachie Wabunge, waandishi wa habari, na taasisi nyingine za kiraia.

..Matamko yoyote yale yanayotolewa na viongozi wa Madhehebu ya Kikristo kupinga kuanzishwa kwa Mahakama ya Kadhi au Tanzania kujiunga na OIC, yanazidisha ile dhana kwamba Wakristo ndiyo kikwazo cha maendeleo ya Waislamu wa Tanzania.
 
Sijasema mimi ni BAKWATA na kama utasoma post zangu za nyuma kuhusu misimamo yangu on mambo ya dini utaona napinga sana dini kuingizwa kwenye serikali

Hapa nishawahi kuanzisha thread ambayo ililenga kuondoa unafiki uliowajaa watu humu kujidai ohhh serikali haona dini lakini raia wake wanayo haki ya kuwa na dini

sasa swali kwa nini TUNAKUBALI NYIMBO YA TAIFA iliyojaa kuwabagua wasio na dini?

surely unapokuwa na nyimbo ya taifa inayosema MUNGU IBARIKI TANZANIA ...maana yake ni nini haswa kama si maombi?

Je watu wako tayari kujadili hayo? HAKUNA

on a flip side sikuzote huwa nasema udini uliiingizwa na Nyerere enzi za utawala wake na ni kweli hata serikali ilikubali kuwa waislam walikuwa wanakandamizwa na hilo halina mjadala ...na ni kweli walikuwa wanakandamizwa na CCM hilo nalo halina mjadala

Kama mnakubali kuwa CCM imerudisha nyuma nchi whats so difficult kukubali kuwa CCM hiyo hiyo ya akina MALECELA na kundi lake ilikuwa inawakandamiza waislam?

Kila kukicha tunambiwa na viongozi pamoja na watawala wetu kuwa Tanzania ni yetu sote, Tanzania ni nchi inayoongozwa kwa misingi ya haki na usawa kwa wote, Tanzania ni nchi inayothamini haki za binadamu, Tanzania ni nchi ambvayo haina dini, Tanzania ni nchi ambayo katiba yake ndiyo sheria mama n.k.

Lakini jambo la kushangaza ni kule kuwaona wale wanaotukumbusha kila siku juu ya sifa hizi za Tanzania wakienda kinyume na maneno yao wenyewe pale wanapotakiwa kutekeleza jambo. Na hapo ndipo decree ya kuwa wao ni wanafiki inapokuwa wazi na bayana kabisa. Wanakuwa ni wanafiki kwa vile kusema uongo, hawatimizi ahadi na kuchezea dhamana tuliyowapa hasa ile ya kulinda katiba ya nchi.

Lakini usipotosheke kuna kundi la akina MALECELA lilifanikiwa kupanda megu mbaya ya Chuki ambayo inapandikizwa ili iwatenge Watanzania katika misingi ya dini zao.Its no brainer, huu mjadala wa OIC unaonyesha kuwa kuna watu wanaujadili si kwa lingine zaidi ya yale mawazo ya kizamani eti leo hii mtu mwenye elimu, madaraka, mali, hadhi n.k. anatarajiwa awe Mkristo. Na kinyume chake ni Muislamu. Kiasi kwamba hashangai mtu kuiona hali hii bali mtu atashangaa sana anapoona kinyume chake.

Hali hii imeasisiwa, imelelewa, imekuwa na kukomaa na Nyerere na kundi lake na mifano ipo kusupport hoja hiyo hapo juu itakayoonyesha kuwa kuwa kuna watanzania wanataka kuwafanya wenzao kama vile wale jamaa kule Yugoslavia ya zamani walivyowafanya wenzao wa Bosnia.

Kwanza kabisa:
ni kwamba Tanzania imefika mahali kwamba watu wengine wamejichukulia madaraka yanayowawezesha kuwapa Watanzania wenzi wao wa dini nyingine tafsiri ya dini yao na namna ya kuifuata. Waislam walipoanza kuquestion mamabo ya OIC walijibiwa na maneno ya kuchonga kama Mujahidina, msimamo mkali, siasa kali na mengine ambayo yaliibuka kwa msingi huu wenye lengo la kuwagawa na kuwakandamiza Waislamu wa Tanzania, watawala wa CCM hilo wanalijua fika

Nakumbuka hali hii in 1990's ilitufikisha mahali kuwa mwalimu wa shule ya serikali anaingia hofu na kutumia nguvu nyingi sana kupinga mwanafunzi Muislamu Mtanzania kuvaa vazi la dini yake....mpaka Rais akaliingilia

Pia nakumbuka back in 90's tulifika mahali maafisa wa Manispaa kubwa kama ya Dar es Salaam chini ya uongozi wa Tume ya Jiji walijipa mamlaka ya kutoa aina ya hijab anayopaswa kuvaa binti Muislamu shuleni! Mind you hapa siongelei NIQAB au lile vazi la ninja bali nazungumzia Hijab

Nakumbuka issue ilifikia mahala iliandikwa barua na Tume ya Jiji kwa Maafisa Elimu wa Kanda mwaka 1999 mabinti wanatakiwa wavae mashati maupe ya mikono mifupi! Je, uamuzi huu ulionyesha ujinga (kutojua) kwa watu wa Tume? Jibu ni hapana kwani walikuwa na nafasi ya kutosha kutaka ushauri kwa viongozi wa dini na hawakuona haja....

Kwanini basi walifanya hivyo? Jibu lake ni ule U MILOSOVICH niliosema mwanzo. Umilisovich huu humfanya mtu aone kuwa yeye anayo mamlaka ya kuamua ni sehemu gani ya Uislamu ifuatwe na sehemu gani isifuatwe. Wala hana wasiwasi kuwa anaweza akatokea Muislamu yeyote kumhoji. Na ikiwa atatokea basi ule mtandao wao utamtafutia moja ya yale majina niliyoyataja hapo juu na dola itashughulika naye....the same applies na marehemu kada mkubwa wa CCM DR OMAR ALI JUMA kuwapiga mkwara wale Ansar Sunna kuswali Iddi pale Jangwani kisa? BAKWATA hawakutangaza kuonekana kwa mwezi!!

PILI
Rais MKAPA enzi hizo alitembelea Chuo Kikuu cha Dar es Salam sehemu ya Mlimani. Katika ziara yake Rais alijionea mwenyewe UMILOSOVICH uliopo Mlimani.Hali ilijitokeza pale mmoja wa wanafunzi alipouliza swali kuhusu matumizi ya nguvu ya polisi yaliyopelekea kuuliwa Waislamu Mwembechai 1998.

Kilichojitokeza ni kuwa 'WAMILOSOVICH 'sikuhizi nawaita waliomeza BLUE PILL hao ndani ya ukumbi wa Nkrumah hawakuweza kusubiri muulizaji amalize swali lake bali walianza kuzomea hadi Rais alipoingilia kati na kuwatuliza hao. The same attitude si kazi sana kuona katika posters walipost humu kwenye issue ya OIC maana majibu yao hayakulenga kutaka watu wajadiliane bali ni kukandia all the way wakiongozwa na MCHUNGAJI KISHOKA. Anyway back to ziara ya BEN pale Mlimani....baada ya swali Rais alijibu kuwa suala la Mwembechai lipo mahakamani.

Japo siyo kweli kuwa wale polisi walioua Waislamu pale Mwembechai wameshakamatwa na kufunguliwa mashitaka na japo ni kweli kuwa wasomi wa Chuo Kikuu wanaufahamu ukweli huu, jibu la BEN lilishangiliwa sana!!

Kisha BEN akaombwa amfukuze kazi mara moja aliyekuwa Katibu wa Wizara ya Sayansi, Teknolojia na Elimu ya Juu kwa kile walichokiita kutowajibika kwa Katibu huyo. Waziri ambaye ni Mkristo katika Wizara hizo, kama ilivyokwishajengeka yeye hana tatizo. Kinachofanya yote haya kutokea ni UMILOSOVICH uliopo miongoni mwa Watanzania hakuna cha zaidi.

TATU, hali katika mashule ya sekondari na vyuo vingine nchini ni hiyo hiyo. Ni aghalabu mwanachuo/mwanafunzi Muislamu kupigiwa kura ya kuwa kiongozi katika ngazi ya shule au chuo. Matangazo yote yanayohusiana na mambo ya Waislamu hayadumu katika mbao za matangazo vyuoni. Kila linapowekwa 'WAMILOSOCHICH' hulibandua. Haya mtu yeyote anaweza kuyathibitisha. Nenda Mlimani, nenda Chang'ombe T.T.C., nenda IFM n.k...kama kna members wa MSAUD humu ndani ya JF watakuelezeni zaidi

Hivi unahabari kuwa miezi 14 baada ya mauaji ya Mwembechai leo agenda kubwa ilikuwa ni kumsaka na kumkamata Ponda (dead or live)! Kwa hiyo its quite obvious kuwa lengo hapa lilikuwa ni kuwalinda wauaji; kufukia ukweli wa jambo na kumfanya Ponda ndio (issue) suala la kushughulikiwa...na serikali inshort ilikuwa so blinded na udini kiasi cha kwamba hata priority kwa vyombo vya usalama haukuwa kuwakamata wauaji wa Mwembechai na kuwafikisha mahakamani.

Wala hawafikirii kumkamata PADRI LWAMBANO ambaye alikuwa ni mzushi na mchochezi wa mauaji ya Mwembechai aliyeishinikiza serikali hadi ikapelekea kuua watu Mwembechai.

Ni kwa mtaji huu huu wale watu wanaghushi hati na kukabidhiwa nyumba za WAKFU zilizotolewa na waislam hulindwa na polisi na kuhatarisha usalama wao. Sasa leo hii hebu niambie hata kama kuna hoja za kujadili kuhusu OIC huwezi kuenda nazo mbele bila kuangalia hawa wanaodai kuwa wamekuwa wakionewa wanamawazo gani.Na hii issue ilikuwa polarized zaidi na akina Pengo kumpa directives rais afanyenini huku waislam wakiendelea kujenga hiyo siege mentality ya kuwa wanaonewa

Hujiulizi mbona wizara za serikali hazina bajeti ya kununua kadi za Ramadhani na Iddi lakini inazo za miti krismasi?

GT
Heshima yako.
Unajua kuna kitu hapa najaribu kuunganisha pointi zako naomba nieleweke ni pointi zako si za waislamu ya kua.

UISLAMU ili ukamilike lazima pia SERIKALI ya ki KAIZAR iwe na mhimili wa kiislamu.

Kwa mawazo yako unataka kutuambia kua WAISLAMU wana mgogoro na serikali ya ki KAIZAR kwa sababu wanataka SERIKALI ya KIKAIZAR ifuate misingi ya KIISLAMU.

Unapoongelea mavazi wakati SERIKALI ina mihimili yake una maana gani? mfano shule imeweka uniform zake sasa wewe ukija na uniform zako zingine kama shule hiyo haizitambui unategemea nini?

UNAPOFIKA kwa KAIZAR no way out kubali anavyotaka na uondoke zako na WAISLAMU wanaofuata mafundisho wanalitambua hilo.

Mfano WAISLAMU wanapokua sehemu kama ulaya hawali nyama kwa vile kuku hazichinjwi kuelekea kibla??

Ama mwanamke mwislamu anapokua jeshini hua wanavaa HIJAB ama vibaragashia na kushika silaha ktk jeshi letu JWTZ mbona hilo hau hoji??

Sare za shule ni sawa na sare za jeshi na unapokua darasani kwa KAIZAR lazima ufuate sare zake.
Na je wapagani nao wakiibuka mashuleni na vibuyu waruhusiwe?? ama WAHINDU wakiibuka darasani ni matumbo nje waruhusiwe??

Na kwa nini shuleni ziruhusiwe vazi za dini moja??

Hapo Nyerere mnamlaumu bure
yeye waliweka sare za aina moja ili yasiwepo mapengo ya wazi ya kuonekana huyu ni tajiri/masikini ama huyu ni mwislamu/mkristu ama huyu ni mdengereko/mmakonde/mmasai.

GT
Lazima utambue DINI ni MUNGU Serikali ni KAIZAR -hivyo Serikali hazitambui kanuni za dini kama ilivyo dini kutozitambua kanuni za serikali sasa kuzilazimisha taasisi hizi mbili kufanya mambo sawia ni kukoroga mambo.

Wakristu wanatambua linapofika swala la Kaizar unamkabidhi yaliyo yake ,kwendelea kubishana naye atakatiza mipango uliopangiwa kufanya hapa duniani bure.
 
Game Theory,

Unajua mkuu wangu hawa jamaa zangu humu hakika ni sawa na usemi ule usemao Manyani wasoona makalio yao...
Wanalalamika sana kuhusiana na OIC, kujaribu kujaza watu ujinga lakini wanajua fika jinsi Vatican inavyofanya kazi. Jinsi serikali yetu na wanasiasa walivyojengwa na kanisa...
Ebu rudi kule kwenye Mada ya Dr. Slaa - HUU NI UKWELI WA DR SLAA - inayohusiana na wizi wa fedha za kanisa kisha soma maelezo yao kuhusiana na viongozi wa kitaifa wanaotumikia kanisa Katoliki - Utaona kila sababu ya majibu ya mkato - Hili ni swala la Wakatoliki, haliwahusu watu wa nje.. Hata kama wahusika ni viongozi wa nchi yetu kitaifa.
Kuna mtu aliuliza kuhusiana na fedha alizopewa Lowassa na kanisa katoliki hapa Canada... duuuuh, wakuu walikuja na sababu nzito ambazo sizioni hapa ktk swala la OIC...
Nawaomba warudi kule wayasome maandishi yao wenyewe jinsi wanavyofunga milango usoni mwa watu wanaotaka kujua uhusiano wa serikali na kanisa Katoliki..Tena wanakuwa wakali ajabu.
Mkuu wangu Kitila na Mkamap, wepesi wa kujenga sababu na maelezo marefu kuhusiana na Vatican ambayo wanataka Waislaam ama watu wasiokuwa Katoliki wakubali hali ukweli ni kwamba Vatican sio sawa na nchi nyingne yoyote duniani..Wanalijua hilo lakini wameweka pamba masikioni, hata kudiriki kusema kuna Ubalozi wa Iran ndani ya Vatiican hali Balozi wa Iran huko Italy na Ubelgiji ndiye anashughulikia pia maswala ya Vatican, Iran hawana ofisi ya Ubalozi ndani ya Vatican..

Muda mrefu huko nyuma nimejaribu sana kutoingia ktk kabati la udini na nimejaribu sana kutohusisha Vatican kwa undani na hoja ya OIC, kwa sababu Vatican haikuwa issue isipokuwa tunaweza kuitumia kama kigezo cha kufikia maamuzi yanayohusiana na OIC. tatizo kubwa pamoja na maeleoz yote ndugu zangu kina Kitila wameshindwa hata Ku google kuangalia Vatican kama nchi inajiendesha vipi..
Vatican ni nchi lakini madaraka yote ya nchi hiyo yanaongozwa na Taasisi - The Holly See, balozi wote wako chini ya Taasisi hii na imeelezwa wazi ktk utawala wa Vatican....

Ambassadors are officially accredited not to the Vatican City State but to The Holy See, and papal representatives to states and international organizations are recognized as representing the Holy See, not the Vatican City State.

Sasa inashangaza sana kuona watu wakijaribu kupindisha pindisha vitu hali information vitu vyote vinavyohofiwa kuhusiana OIC vimo ndani ya Vatican na tumekuwa tukiiishi miaka yote na vatican lawama zilikuwa bado kwa Waislaam kuwa tunalalamika sana tutafute na sisi yetu.. kimepatika duuuuh - vioja vinajengewa hekalu toka kanisa katoliki vinaanza..
 
Jokakuu,
Kila siku mnauliza Waislaam kwa nini wasifungue chombo chao wenyewe hali nimekwisha wambie yaliyomkuta Sheikh Kassim bin Jumaa na kile chombo kilichokuwa kimeanzishwa na Waislaam, BALUKTA..wee mkongwe humu unauliza kitu ambacho tumekizungumza miaka mkuu wangu.

Mkuu haijawahi Kutokea DUNIANI, serikali yoyote kuunda chombo cha dini kwa ajili ya wafuasi wa dini ama dhehebu fulani ndani ya nchi hiyo isipokuwa Tanzania..Can't U just think of that?...uone kwamba kweli waislaam wa tanzania hawakuwahi kutendewa haki, then ufikirie how to help them badala yake unawalaumu wao kwa nini wasifanye hivi ama vile.. Wakifanya - Mnageuza swala zima kuwa la Taifa na sio la dini...Hivi mmesimama wapi haswa?
 
Jokakuu,
Kila siku mnauliza Waislaam kwa nini wasifungue chombo chao wenyewe hali nimekwisha wambie yaliyomkuta Sheikh Kassim bin Jumaa na kile chombo kilichokuwa kimeanzishwa na Waislaam, BALUKTA..wee mkongwe humu unauliza kitu ambacho tumekizungumza miaka mkuu wangu.

Mkuu haijawahi Kutokea DUNIANI, serikali kuunda chombo cha dini kwa ajili ya wafuasi wa dini ama dhehebu fulani isipokuwa Tanzania..Can't U just think of that?...uone kwamba kweli waislaam wa tanzania hawakuwahi kutendewa haki, then ufikirie how to help them badala yake unawalaumu wao kwa nini wasifanye hivi ama vile.. Wakifanya - Mnageuza swala zima kuwa la Taifa na sio la dini...Hivi mmesimama wapi haswa?

Mkandara.

Hebu tufahamishe vizuri.
Hivi WAIISLAMU wanaoonewa na BAKWATA wamepigwa kabisa marufuku na serikali kuanzisha jumuia nyingine??

Kama BAKWATA ni chombo cha Serikali mimi nawashauri ndugu zangu Waisilamu waanzishe jumuia yao nyingine.

Na tusiwe waongeaji tu kama ni kweli.
Basi watanzania wote bila kujali itikadi zetu tuji organise na tui hoji serikali ya kwamba kwa nini waiislamu wamezuiwa na serikali kuanzisha jumuia ndani ya uislamu na ni kifungu kipi cha sheria kinachowazuia watu kutengeneza jumuia yao ya kidini.
 
Wanaomzarau sheikh PONDA

Ni kutokana na waisilamu kuingiwa na taswira za kifisadi ndani ya uongozi wa shekih huyo
Haswa baada ya muislamu MANJI YUSUFU kukikwapua kiwanja cha waisiilamu wazake na akazunguka kwa akina Makamba yusufu na hatimaye kukipora kifisadi.Na wenda alifanikisha hilo kwa kushirikiana na mafisadi wezanke serikalini SASA WENZETU kuona FISADI anasaidiwa na FISADI mwezake kutoka serikalini basi BAKWATA ni ya SERIKALI.

Na viongozi wa BAKWATA wanawekwa na serikali kazi kweli kweli.

Hawa waislamu wachache wanachopigania humo na kukinzana kwingi ni MASLAHI tu .Waiislamu wenyewe halisi wapo pembeni kabisa wanapiga suala kama kawaida.
 
Mkandara,

..jenga hoja za Tanzania kujiunga na OIC bila kuhusisha mahusiano yetu na Vatican.

..hivi Tanzania leo hii Tanzania ikiamua kuvunja uhusiano na Vatican, ina maana kutakuwa hakuna ulazima na umuhimu wa kujiunga na OIC?

..vilevile lazima ukumbuke kwamba serikalini na bungeni kuna wakatoliki wengi tu ambao wanashiriki ktk mchakato wa Tanzania kujiunga na OIC. sasa kama kila kukicha mnau-demonize Ukatoliki na Vatican, hivi mnategemea mtapata ushirikiano mzuri tuko kwao?

..kuhusu BALUKTA tutarudi kulekule kwenye tabia ya ku-demonize na kukinzana na BAKWATA. kama BALUKTA wangejifanyia shughuli zao bila kuleta mogomvi na Bakwata nina hakika leo hii bado wangekuwepo.

NB:

Mkandara said:
Iran hawana ofisi ya Ubalozi ndani ya Vatican..

..hata Tanzania ofisi ya ubalozi ndani ya Vatican. Balozi wetu Italy[Bal.Karume] ndiye mwakilishi wetu Vatican. sasa huu mgogoro wote hata sielewi ni wa nini.
 
Mkamap,
tatizo lako ndugu yangu unazungumza kwa rangi zako yaani unashindwa kukaa nje ya kabati la udini ukayatazama maswala yote kwa fikra huru. Ukisoma maelezo yako hapo juu michango yote miwili inakueleza wazi unazungumzia kunyooshea kidole Waislaam tu. Waislaam vile ama hivi wakati wakifanya kitu ambacho ni bora kwao unaanzisha lawama nyingine.
Tumekwisha kwambia BAKWATA ilinanzishwa na serikali, ilikuwa registered na serikali na mengine yote utakayotaka kufikiria yalijengwa na serikali kwa ajili wa Waislaam jambo ambalo hakuna nchi wala Uongozi wowote duniani umewahi kufanya hivyo..Isipokuwa Tanzania... Hiyo ni point ya kwanza unayotakiwa kuitazama - where we come from!.
Pili waislaam wamekwisha kipiga vita chombo hiki mara nyingi wala sio moja tu toka enzi za Sheikh Kassim bin Jumaa lakini kila siku serikali na Uongozi wake hutafuta vipengele vya kubadilisha ktk katiba na Uongozi wa Bakwata..Vyombo vingine vya kidini kuwakilisha Waislaam wote wa Tanzania haviwezi kuundwa kwa sababu ambazo mimi siwezi kuzifahamu WHY waislaam hawatakiwi kuunda chombo chao.. Ukiniuliza mimi utakuwa unaweka pamba masikioni kwani nimekwisha kwamba Bakwata yenyewe ni mfano tosha kwamba imeundwa tofauti kabisa na taratibu za dunia nzima!..iweje leo ushindwe kuelewa waislaam hawaruhusiwi kuunda chombo cha kidini nje ya Bakwata.. sasa muhimu ni wewe kujiuliza WHY kama kweli unawatakia kheri waislaam sio kuwaambia wafanye nini hali unajua fika haiwezekani!.. Ni bora useme shauri yenu tujue sisi tujipange vipi lakini sio kutufanya watu wajinga kiasi hicho.
 
Jokakuu,

Muda wote huko nyuma tumekuwa tukijenga hoja zetu bila kuihusisha Vatican isipokuwa wao ndio wameivuta humu kwa kujaribu kutumia katiba na swala la Taasisi ya kidini kutoshirikiana na serikali yetu. Wametumia katiba za ndani na nje kuonyesha kwamba OIC ni chombo cha kidini hivyo hakifai kuhusiana nacho..Kisheria mkuuu wangu hata mahakamani hoja hujibiwa kwa hoja na mifano inayoruhusu katiba kisheria hutumika kuonyesha maamuzi yaliyotangulia ktk kuhalalisha kitu...huwa wana Quote kesi za zamani na maamuzi yaliyopitishwa...

Nitarudia kusema muda wote nilikuwa yanajua haya yote lakini nilitaka watu waitazame OIC nje ya sanduku la Udini, jinsi gani wanaweza kuwasaidia waislaam ndugu zao ambao kwa muda mrefu wamekuwa hawana maendeleo ktk sekta zote za kijamii.. badala yake tunakutana na wale wanaoitwa Walokole ambao hofu yao kubwa ni Uislaam kama dini kisha basi sijui kinachogombewa hapa ni kitu gani..kuwa Uislaam utawageuza watu dini?.. Hivi Uislaam una vutia kiasi gani inapofikia swala la OIC maanake hii ni sawa na mtu anayeogopa mtu fulani asiwe karibu na mkewe..
Mkuu umeuliza kuhusu kuvunja uhusiano na Vatican!... hiii ni shauri yenu wenyewe sisi waislaam hatuoni taabu kuwepo kwa uhusiano kati yetu na Vatican maadam na sisi tunapewa nafasi sawa ama uwezo wa kujiendeleza sisi wenyewe..Mkitaka kuvunja vunjeni lakini msitumie sababu ya OIC kuwa ni Taasisi ya idini ktk kuikataa OIC hali Vatican pia ni Taasisi ya kidini na imekubalika na watu wote waislaam, Wapagan, Wakristu na kadhalika..
Halafu mkuu wangu mifano kama hii ya kuvunja Uhusiano na Vatican ni mifano ambayo hutakiwi kabisa kuiweka hapa kwa sababu - HAIWEZEKANI.. haiwezekani Tanzania kuvunja Uhusiano na Vatican, iwe kwa sababu yoyote ile acha hii ya OIC - na haikubaliki kwa mtu yeyote yule hivyo usitake kunijaribu kwa hoja ambazo hazipo ktk reality..Tutaonekana hazitutoshi kufikiria tu kuvunja uhusiano na Vatica kitu ambacho hakiwezekani na kitakuwa na madhara makubwa zaidi ya mazungumzo ya JF..
Vatican imetumika tu kuonyesha hofu yenu kuhusiana na OIC kama chombo cha nje kuingia nchini. Majibu yenu mengi yamekuwa kuhusiana na Bakwata kama kinga ya OIC hali sioni mtu akitazama vatican kama chombo cha nje..Kwa hiyo imebidi tuweke record sawa pamoja na kwamba unapoingia sana ktk maswala ya Vatican unakuwa ktk hatari ya kuingia ktk UDINI..
Hofu ya OIC bila kuwa na ushahidi hata mdogo unaohusiana na shuku zenu zaidi ya why an Islamic Organisation kama vile nchi hii ni ya Wakristu tu wanaoruhusiwa kuunda organisation zao ndani na nje..

NB: Kuhusu Ubalozi mwambie huyo Mkamap.. aliyetaka kuudanganya Ummah akitumia Ubalozi kujenga hoja ambayo hata sikuelewa mwanzo wake.
 
Mkamap,
tatizo lako ndugu yangu unazungumza kwa rangi zako yaani unashindwa kukaa nje ya kabati la udini ukayatazama maswala yote kwa fikra huru. Ukisoma maelezo yako hapo juu michango yote miwili inakueleza wazi unazungumzia kunyooshea kidole Waislaam tu. Waislaam vile ama hivi wakati wakifanya kitu ambacho ni bora kwao unaanzisha lawama nyingine.
Tumekwisha kwambia BAKWATA ilinanzishwa na serikali, ilikuwa registered na serikali kwa mengine yote utakayotaka kufikiria kwa ajili wa Waislaam jambo ambalo hakuna nchi wala Uongozi wowote duniani umewahi kufanya hivyo..Isipokuwa Tanzania... Hiyo ni point ya kwanza unayotakiwa kuitazama.
Pili waislaam wamekwisha kipiga vita chombo hiki mara nyingi wala sio moja tu toka enzi za Sheikh Kassim bin Jumaa lakini kila siku serikali na Uongozi wake hutafuta vipengele vya kubadilisha ktk katiba na Uongozi wa Bakwata..Vyombo vingine vya kidini kuwakilisha Waislaam wote wa Tanzania haviwezi kuundwa kwa sababu ambazo mimi siwezi kuzifahamu WHY waislaam hawatakiwi kuunda chombo chao.. Ukiniuliza mimi utakuwa unaweka pamba masikioni kwani nimekwisha kwamba Bakwata yenyewe ni mfano tosha kwamba imeundwa tofauti kabisa na taratibu za dunia nzima!..iweje leo ushindwe kuelewa waislaam hawaruhusiwi kuunda chombo cha kidini nje ya Bakwata.. sasa muhimu ni wewe kujiuliza WHY kama kweli unawatakia kheri waislaam sio kuwaambia wafanye nini hali unajua fika haiwezekani!.. Ni bora useme shauri yenu tujue sisi tujipange vipi lakini sio kutufanya watu wajinga kiasi hicho.

Aha
basi tunachotakiwa sasa badala ya kubishana hapa
tumuombe mwanakijiji amhoji anghalabu YUSUFU MAKAMBA ya kwamba kwanini serikali hairuhusu waiislamu kuanzisha jumuia zao

Ama mwkjj tunakuomba sana umuhoji HAWA GHASIA kuhusu watumushi wa UMMA kutoka BAKWATA.

Pia tuwatume wabunge wetu wakahoji kwanini KATIBA na SHERIA inazuiia jumuia za kiislamu??
 
mkandara
mimi sipati picha kama hicho kiwanja alichokinunua Manji angekinunua MENGI ama Peter nini kingetokea.

teh teh teh teh teh teh
 
Mkamap,
Aha
basi tunachotakiwa sasa badala ya kubishana hapa
tumuombe mwanakijiji amhoji anghalabu YUSUFU MAKAMBA ya kwamba kwanini serikali hairuhusu waiislamu kuanzisha jumuia zao
Ama mwkjj tunakuomba sana umuhoji HAWA GHASIA kuhusu watumushi wa UMMA kutoka BAKWATA.
Pia tuwatume wabunge wetu wakahoji kwanini KATIBA na SHERIA inazuiia jumuia za kiislamu??
Baada ya miaka 40 na ushee leo ndio unafikiria kumuuliza Yusuph Makamba na Hawa Ghasia ambao hawajui wala kuwepo ktk maamuzi ya kuundwa kwa Bakwata!..Mkuu unajua wazi kulingana na siasa za Bongo utapigwa panga za huku na kule kama EPA na imetoka.. Muhimu nakuomba wewe kama raia mwema elewa kwamba Waislaam ni dini ambayo iko controlled na serikali..nimekuapa mifano yote ya wazi, Ukiweza kuamini hilo tu nadhani tutakuwa tunapga hatua..
Hata kisiasa siku ambayo vyama vya Upinzani vitaweza kuangalia issues za Tanzania kwa kuzingatia imani, mrengo na tofauti zilizopo baina yao na jinsi gani tatizo la chama kimoja linaweza kubebwa na vyama vyote hata kama kwa maslahi ya chama kimoja, then itakuwa kazi rahisi sana kupata ushindi dhidi ya CCM..
Muhimu pia tuelewe kutafuta kuiondoa CCM madarakani haina maana CCM ni adui wa wananchi isipokuwa ni chama ambacho kimepoteza mrengo, kimepoteza heshima na mwenye mapenzi na chama ama nchi yetu ni lazima awe against utawala wa chama hiki...
mkandara
mimi sipati picha kama hicho kiwanja alichokinunua Manji angekinunua MENGI ama Peter nini kingetokea

Well U just said it mkuu.. mkuu kuyaweka majina haya hapa ni lazima umeipata picha na kujaribu kutofikiria hivyo! Nafsi zako mwenyewe zimepingana kisha ukatafuta jibu kabla hujaandika hapa..meaning picha ulikuwa nayo kichwani.
 
Jokakuu,

Muda wote huko nyuma tumekuwa tukijenga hoja zetu bila kuihusisha Vatican isipokuwa wao ndio wameivuta humu kwa kujaribu kutumia katiba na swala la Taasisi ya kidini kutoshirikiana na serikali yetu. Wametumia katiba za ndani na nje kuonyesha kwamba OIC ni chombo cha kidini hivyo hakifai kuhusiana nacho..Kisheria mkuuu wangu hata mahakamani hoja hujibiwa kwa hoja na mifano inayoruhusu katiba kisheria hutumika kuonyesha maamuzi yaliyotangulia ktk kuhalalisha kitu...huwa wana Quote kesi za zamani na maamuzi yaliyopitishwa...

Nitarudia kusema muda wote nilikuwa yanajua haya yote lakini nilitaka watu waitazame OIC nje ya sanduku la Udini, jinsi gani wanaweza kuwasaidia waislaam ndugu zao ambao kwa muda mrefu wamekuwa hawana maendeleo ktk sekta zote za kijamii.. badala yake tunakutana na wale wanaoitwa Walokole ambao hofu yao kubwa ni Uislaam kama dini kisha basi sijui kinachogombewa hapa ni kitu gani..kuwa Uislaam utawageuza watu dini?.. Hivi Uislaam una vutia kiasi gani inapofikia swala la OIC maanake hii ni sawa na mtu anayeogopa mtu fulani asiwe karibu na mkewe..
Mkuu umeuliza kuhusu kuvunja uhusiano na Vatican!... hiii ni shauri yenu wenyewe sisi waislaam hatuoni taabu kuwepo kwa uhusiano kati yetu na Vatican maadam na sisi tunapewa nafasi sawa ama uwezo wa kujiendeleza sisi wenyewe..Mkitaka kuvunja vunjeni lakini msitumie sababu ya OIC kuwa ni Taasisi ya idini ktk kuikataa OIC hali Vatican pia ni Taasisi ya kidini na imekubalika na watu wote waislaam, Wapagan, Wakristu na kadhalika..
Halafu mkuu wangu mifano kama hii ya kuvunja Uhusiano na Vatican ni mifano ambayo hutakiwi kabisa kuiweka hapa kwa sababu - HAIWEZEKANI.. haiwezekani Tanzania kuvunja Uhusiano na Vatican, iwe kwa sababu yoyote ile acha hii ya OIC - na haikubaliki kwa mtu yeyote yule hivyo usitake kunijaribu kwa hoja ambazo hazipo ktk reality..Tutaonekana hazitutoshi kufikiria tu kuvunja uhusiano na Vatica kitu ambacho hakiwezekani na kitakuwa na madhara makubwa zaidi ya mazungumzo ya JF..
Vatican imetumika tu kuonyesha hofu yenu kuhusiana na OIC kama chombo cha nje kuingia nchini. Majibu yenu mengi yamekuwa kuhusiana na Bakwata kama kinga ya OIC hali sioni mtu akitazama vatican kama chombo cha nje..Kwa hiyo imebidi tuweke record sawa pamoja na kwamba unapoingia sana ktk maswala ya Vatican unakuwa ktk hatari ya kuingia ktk UDINI..
Hofu ya OIC bila kuwa na ushahidi hata mdogo unaohusiana na shuku zenu zaidi ya why an Islamic Organisation kama vile nchi hii ni ya Wakristu tu wanaoruhusiwa kuunda organisation zao ndani na nje..

NB: Kuhusu Ubalozi mwambie huyo Mkamap.. aliyetaka kuudanganya Ummah akitumia Ubalozi kujenga hoja ambayo hata sikuelewa mwanzo wake.

mkandara
wewe kweli ni mzee wa kupindisha leo unasema swala la VATICAN tumelileta wenyewe duuuuuuuuuuuuuuuuu.

Watetezi wa kadhi na OIC bungeni ndio walileta hilo ya kwamba na walisema bungeni ya kwamba.

Wakristu tuvumiliene ktk kadhi na oic kama sisi yani wao waiislamu walivyvumilia ubalozi wa VATICAN.Na wakaendelea kusema mbona nchi za kikristu uganda na msumbunji wamo oic.

Ndio sisi tukahoji utafananisha vipi mambo ya nchi kana kwamba nchi hizo zinatumia katiba moja??

tukaendelea kuohoji mfanano wa kadhi ,oic na Vatican vinasharabiana vipi?

tukaendelea kuhoji je? VATICAN ni mahakama ? Na je VATICAN ni jumuia ya nchi za kikiristu??
Na mtu Huru bado ataendelea kuushangaa mfananisho huu .Mtu ambaye yuko nje ya boksi kamwe hawezi jenga hoja kwa mfananisho YATIMA kama huu.
Hapa simaanishi wewe Mkandara namaanisha wabunge walivyoshindwa kujenga hoja
 
Back
Top Bottom