Rev. Kishoka,
Mkuu wangu tafadhali kuwa mkweli hata kama unataka kutetea kitu. Ni makosa makubwa kwa mtu yeyote yule kufananisha Vatican na Saudia kwa malengo ya usawa..au Vatican na OIC na hata OIC na Saudia..Hivi vitu vyote ni tofauti kabisa na havilingani hata kidogo..
1. Vatican ni Nchi ya Kikatoliki na pia ni Taasisi ya Kikatoliki.
2. Saudia ni nchi ya kiislaam inayoongozwa na Sultan ambaye hawakilishi Taasisi yoyote ya kidini isipokuwa Ufalme wao. Unajua mwenyewe jinsi hawa jamaa (Prince) wanavyopiga maji na Umalaya...
3. OIC ni Taasisi ya kiislaam na sio nchi..Hivyo kuna tofauti kubwa sana ktk vitu hivi mnavyojaribu kuvifananisha ila tu kama swala hapa ni uhusiano wa nchi yetu Tanzania na Taasisi ya kidini bila shaka Vatican mbali na kuwa ni nchi nayo pia ni Taasisi ya kidini... nadhani ndipo swali la Mwiba linapoingia akiitazama Vatican kama taasisi ya kikatoliki..
Ni katika mfumo huo wa Taasisi ya Kikatoliki ambayo hata madhehebu mengine ya Kikristu hayakubaliani na Vatican.. Mfumo wa uongozi wa Vatican kama nchi haupo sehemu yoyote duniani isipokuwa Vatican..Hawana mfumo wa mawaziri na wizara kama wetu, mtu kama Kardilali Pengo pamoja na kwamba ni Mtanzania lakini anawajibika kwa Pope wakati sii balozi wa Vatican..kusema ukweli Pope ni zaidi ya Rais ama Waziri mkuu ni kama Mungu mtu..(Utanisamehe lakini) he above them all hata ukitazam kwa mtazamo wowote ule.
Kwa hiyo pamoja na kwamba Vatican ni nchi kwa tafsiri yoyote ile haiwezi kuwa sawa na Saudia kwani pamoja na kuwa saudia ni nchi ya kiislaam haiongozwi na Sheikh Mkuu wa saudia Mufti, Sheikh Abdul-Aziz Âlush kama Vatican inavyoongozwa na Pope ambaye pia ni mkulu wa dhehebu la katoliki.
Kama utakumbuka mwaka 1979, Sunni Muslim fundamentalists (Ansaar Sunni) wali seize Msikiti wa Makka wakitaka kuufanya uwe sehemu nzima independent kama ilivyo Vatican..Waliona hakuna sababu ya sehemu ile kuwa chini ya Utawala wa Saudia hali ile ni sehemu takatifu na ati ilitakiwa kuwa kama Vatican. Yaani Vatican inayojitegemea iko ndani ya Italy na Makka walitaka iwe ndani ya Saudia lakini inaongozwa na viongozi wa dini.. haikuwezekana wakapigwa kishenzi na Makka ikarudi chini ya Utawala wa Sultan. Hadi kesho hawa jamaa wanajribu kila siku kumwondoa King madarakani hasa yule marehemu baba yao ndiye alikutana na majaribio mengi sana..
Kwa hiyo unaweza kabisa kuona tofauti kaati ya Vatican na Saudia au Iran..Tofauti ya OIC na Vatican ni kuhusiana na nchi tu lakini malengo ya kitaasisi wote wanalenga watu wao ktk nchi nyinginezo hata kama kuna mchanganyiko wa imani..
Ubishi uliopo hapa hauwezi kuwa na mafanikio kwa sababu sisi wote tumeshindwa kuangalia nje ya imani zetu na kukubali ukweli kwamba OIC ni Taasisi kama zilivyo taasisi nyinginezo za kidini..na yeyote anayepinga kuwepo uhusiano kati ya nchi yetu na na Vatican kwa sababu ya kuwa ni taasisi ya kikatoliki, mimi nitamwita mdini kwa sababu kanisa la katoliki limeweza sana kuwasaidia wananchi wetu kwa kila hali kuliko hata nchi kubwa kama marekani ambazo zinataka kuijenga nchi yetu toka juu kwenda chini hali hawa Vatican wanalenga pale penye matatizo yaani wanaijenga jjamii yetu kutoka chini.
Na kama naweza kuwajibu watu hao wanaopinga Vatican kama taasisi kuwa na ushirikiano nasi nitawaambia na nyie anzisheni zenu..period..
Haya ndiyo majibu ambayo kila siku wamekuwa wakiambiwa watu wenye imani tofauti na Ukatoliki na ajabu ni kwamba pamoja na kwamba wakristu wenye madhehebu nje ya Ukatoliki pamoja na waislaam wanakubaliana na msingi wa uhusiano kati ya Tanzania na Vatican inanishangaza sana pale tunapoipinga OIC kwa sababu tu sio nchi ila ni taasisi ya kidni... malengo ya taasisi hizi hayana tofauti kabisa labda yanaziidiana tu.
Vatican mbali na kuwa nchi ni Taasisi ya kidini..na sii kweli kabisa kama unaweza kulinganisha Vatican na Saudia au OIC..
Vatican ni kitu kilichokamilika na hakuna mfano wake hapa duniani kama nchi au jumuiya ya kidini...