Juu ya OIC na Mahakama ya Kadhi

Juu ya OIC na Mahakama ya Kadhi

Ni bora ukakaa pembeni na kuacha kuwagawa Watanzania kwa misingi ya dini.

Acha uchizi,

OIC unawatambua members wake kwa misingi ya dini,inataka nchi wanachama wawe waislamu.Tanzania sio nchi ya kiislamu,lakini kuna waislamu wanataka kuwa ndani ya OIC,unaonaje wangetengeza bendera+nembo,itakayowatambulisha wao ndani ya OIC.

Binafsi siko tayari kutazama bendera ya Tanzania ikipepea ndani ya Umoja wenye kutambua wanachama wake kwa kitambulisho cha uislamu tuu.

Huoni uwepo wa Tz ndani ya OIC ni sawa kabisa na kuwabatiza non-muslims wa tanzania kama wapangaji ndani ya Tanzania?

Ni nini hasa kinachowazuia ninyi waislamu kuingia ndani ya umoja huo bila ya kutumia bendera ya Tanzania?jina la Tanzania?n.k.

Hamuoni kwa kulazimisha watz wote tuwe ndani ya OIC ni sawa na kutusilimisha watz wote?

Tupo makini sana,....Mwinyi alitaka kuibadili Tz kuwa nchi ya kiislamu,wakati wa uongozi wake....

Sasa tunapohoji,tumefikiri mbali,huenda ndio trick mnayoitumia sasa ya uanachama,then baadae mtuambie mlikubali kuibadili nchi yenu kuwa ya kiislamu,na hata mlikubali kujiunga na umoja wa nchi za kiislamu..


Wabunge acheni woga,maslah yenu yapo palepale,waamabieni ukweli,wanaolazimisha mambo.
 
Shedafa,
Nimerudi kwa sababu yako na nadhani maelezo yangu hayakuanzia kurasa hizi za mwisho..
Ni hivi, nilisema toka mwanzo kuwa Waislaam hawana chombo cha wao kujiunga na vyombo kama hivi vya kimataifa tofauti na Wakristu. sasa mathlan kule nyuma Rev. Kishoka ali suggest Bakwata. Nikamwambia kuwa Bakwata ni chombo cha serikali kwa waislaam kinapata ruzuku zake toka serikalini hivyo Bakwata haiwezi kujingia Uanachama wa OIC bila mkono wa serikali...

Tunarudi pale pale kuwa hoja nzima ya Wakristu kuhusiana na OIC ni kwa sababu hawataki serikali itumie fedha zake au pengine kuingiza katiba ktk jumuiya za kidini lakini ajabu ni kwamba Bakwata imeundwa kutokana na sheria sijui kama ilikuwa fadhila ya Nyerere kwa Waislaam baada ya kuivunja EAMWS....Kama utakumbuka kuna mada moja nimekuwa nikipinga kuwepo kwa Bakwata na kwamba serikali inaweka mkono wake ktk maswala ya Waislaam kwa nini waislaam wasiwe na chombo chao wenyewe ili wapate kuamua maswala yao wao wenyewe bila kuingilia na wanasiasa...
Kama Waislaam Tanzania wangekuwa na chombo mkuu hapa wazi kungekuwa hakuna haja ya NCHI kuingias OIC lakini kutokana na Usalama wa nchi yetu hasa ktk wakati huu binmafsi sioni ubaya wa serikali kulipitisha swala hili maanake sasa hivi dini imekuwa nyenzo kubwa ya watu kuendesha siasa zao.
Mkuu sisi Waislaam hatukujipanga kabisa, Hata kwenda Hijja Macca tunategemea mfuko wa serikali tofauti na Wakristu ambao nakumbjka Papa Paul alikuja hapa mwaka 2002, walikuja vijana toka kila nchi bila kuwa sponsered na serikali.. Kama ingekuwa sisi Waislaam ingekuwa pata shika..
Kwa hiyo swlaa kubwa bado lipo pale pale, Waislaam wanatakiwa kupata chombo chao na wakati huo huo serikali haitaki kuachia Bakwata..waaanzie wapi?.
Nikirudi ktk swala la wakristu kujiunga na vyombo vya kimataifa mkuu mpangilio wkati ya waislaam na Wakristu ni tofauti kabilsa na ndio maana noikaonyesha mifano mingi sana tofauti kati ya Saudia na Vatican, OIC na WWC yote hii ni ktk kuonyesha kwamba ktk Uislaam hakuna mtu wala chombo kinachosimama mbele ya maslahi ya Waislaam labda tu katika maswala ya Ibada. Hatuna makanisa yanayojiendesha na kushirikiana na kanisa mama. Sisi waislaam Sunni anaweza kusali msikiti wa Shia, msikiti unajegwa na mtu yeyote, Hata Nyerere alijenga. Misaada inatoka kila kona Shia wanatoa misaada misikiti ya Sunni na kadhalika hali Wakatoliki wanajitegemea kutokana na kuwa na chombo chao.

Mwisho, what is the big picture ya haya yote?... swala ni kujiunga kwa Waislaam na OIC je tuwasaidie vipi?..haiwezekani watu binafsi kujiunga na hakuna chombo cha kiislaam ambacho kinawakilisha waislaam bila mkono wa serikali...Nimeomba wanipe njia ya kusaidia lakini wote wanazunguka mbuyu mara hivi ama vile hakuna solution zaidi ya kusema Tanzania isijiunge na OIC.. hali hayo makanisa kwa wiongi wake yanatengeneza jina la Wakristu na hawakujiunga WWC kwa hiari yao bila baraka za serikali. WWC imetupokea sisi kama Wakristu pamoja na tofauti zetu lakini waislaam wanapokwenda OIC hakuna madhehebu na hata siku moja madhehebu ya kiislaam haijawa ktk mfumo kama wa Wakristu na ndio maana tunapokwenda Hijja utakuta makanisa yote yapo pamoja. Hakuna Sunni wala Shia au Ayatollah kuongoza waislaam wote.

Kama watanielewa hapo basi hoja hii imekwisha!
 
Mkamap,
Rev. Kishoka hakuzungumzia Constitution... ama kuuliza kama Saudia ni nchi ya kiislaam. Mkuu nchi zote zinazojiita za kiislaam zinafuata Quran as its Constitution na ndipo unakuta Sharia law inachukua nafasi. hata Israel ni nchi ya Wayahudi lakini haiongozwi na Rabai..jaribu kujenga hoja baada ya kuelewa kilichoandikwa.
Na kwa kumalizia unakumbuka Rev. Kishoka aliuliza kuhusiana na World Council of Churches?.... well Tanzania ni member! http://www.oikoumene.org/en/member-churches/regions/africa/oaic.html

tume Google..shukran kwa kunishtua... je ulisikia muislaam akipiga kelele?

Mkandara,

Je Tanzania kama nchi na Serikali yake ni wanachama wa WCC?

Maana hiyo linki uliyoweka inataja Makanisa kutoka Tanzania na nchi zingine ambayo ni wanachama na si Serikali ya Tanzania. Hapa mkubwa umecheza double engine na six meno ukagusa nyasi!
 
Shedafa,
Nimerudi kwa sababu yako na nadhani maelezo yangu hayakuanzia kurasa hizi za mwisho..
Ni hivi, nilisema toka mwanzo kuwa Waislaam hawana chombo cha wao kujiunga na vyombo kama hivi vya kimataifa tofauti na Wakristu. sasa mathlan kule nyuma Rev. Kishoka ali suggest Bakwata. Nikamwambia kuwa Bakwata ni chombo cha serikali kwa waislaam kinapata ruzuku zake toka serikalini hivyo Bakwata haiwezi kujingia Uanachama wa OIC bila mkono wa serikali...

Tunarudi pale pale kuwa hoja nzima ya Wakristu kuhusiana na OIC ni kwa sababu hawataki serikali itumie fedha zake au pengine kuingiza katiba ktk jumuiya za kidini lakini ajabu ni kwamba Bakwata imeundwa kutokana na sheria sijui kama ilikuwa fadhila ya Nyerere kwa Waislaam baada ya kuivunja EAMWS....Kama utakumbuka kuna mada moja nimekuwa nikipinga kuwepo kwa Bakwata na kwamba serikali inaweka mkono wake ktk maswala ya Waislaam kwa nini waislaam wasiwe na chombo chao wenyewe ili wapate kuamua maswala yao wao wenyewe bila kuingilia na wanasiasa...
Kama Waislaam Tanzania wangekuwa na chombo mkuu hapa wazi kungekuwa hakuna haja ya NCHI kuingias OIC lakini kutokana na Usalama wa nchi yetu hasa ktk wakati huu binmafsi sioni ubaya wa serikali kulipitisha swala hili maanake sasa hivi dini imekuwa nyenzo kubwa ya watu kuendesha siasa zao.
Mkuu sisi Waislaam hatukujipanga kabisa, Hata kwenda Hijja Macca tunategemea mfuko wa serikali tofauti na Wakristu ambao nakumbjka Papa Paul alikuja hapa mwaka 2002, walikuja vijana toka kila nchi bila kuwa sponsered na serikali.. Kama ingekuwa sisi Waislaam ingekuwa pata shika..
Kwa hiyo swlaa kubwa bado lipo pale pale, Waislaam wanatakiwa kupata chombo chao na wakati huo huo serikali haitaki kuachia Bakwata..waaanzie wapi?.
Nikirudi ktk swala la wakristu kujiunga na vyombo vya kimataifa mkuu mpangilio wkati ya waislaam na Wakristu ni tofauti kabilsa na ndio maana noikaonyesha mifano mingi sana tofauti kati ya Saudia na Vatican, OIC na WWC yote hii ni ktk kuonyesha kwamba ktk Uislaam hakuna mtu wala chombo kinachosimama mbele ya maslahi ya Waislaam labda tu katika maswala ya Ibada. Hatuna makanisa yanayojiendesha na kushirikiana na kanisa mama. Sisi waislaam Sunni anaweza kusali msikiti wa Shia, msikiti unajegwa na mtu yeyote, Hata Nyerere alijenga. Misaada inatoka kila kona Shia wanatoa misaada misikiti ya Sunni na kadhalika hali Wakatoliki wanajitegemea kutokana na kuwa na chombo chao.

Mwisho, what is the big picture ya haya yote?... swala ni kujiunga kwa Waislaam na OIC je tuwasaidie vipi?..haiwezekani watu binafsi kujiunga na hakuna chombo cha kiislaam ambacho kinawakilisha waislaam bila mkono wa serikali...Nimeomba wanipe njia ya kusaidia lakini wote wanazunguka mbuyu mara hivi ama vile hakuna solution zaidi ya kusema Tanzania isijiunge na OIC.. hali hayo makanisa kwa wiongi wake yanatengeneza jina la Wakristu na hawakujiunga WWC kwa hiari yao bila baraka za serikali. WWC imetupokea sisi kama Wakristu pamoja na tofauti zetu lakini waislaam wanapokwenda OIC hakuna madhehebu na hata siku moja madhehebu ya kiislaam haijawa ktk mfumo kama wa Wakristu na ndio maana tunapokwenda Hijja utakuta makanisa yote yapo pamoja. Hakuna Sunni wala Shia au Ayatollah kuongoza waislaam wote.

Kama watanielewa hapo basi hoja hii imekwisha!


Legal/Policy Framework

The Constitution provides for freedom of religion; however, there were some limits on freedom of religion. The Constitution does not establish any official state religion.

The 2001 Mufti Law authorizes the President of Zanzibar to appoint an Islamic leader, or mufti. The mufti serves as a public employee of the Zanzibar Government. The mufti possesses the authority to settle all religious disputes involving Muslims, to approve any Islamic activities or gatherings on Zanzibar, supervise all Zanzibari mosques, and to approve religious lectures by foreign clergy or the importation of Islamic literature from outside Zanzibar.

On the mainland, mosques belonging to the National Muslim Council of Tanzania (BAKWATA) elect a mufti of their own. BAKWATA serves as a nongovernmental organization (NGO), and the mainland mufti is not a public employee. However, when it was first established in 1968, BAKWATA was widely considered to be an unofficial arm of the ruling party Chama Cha Mapinduzi (CCM); to date, public opinion still associates BAKWATA with the ruling CCM party. At the end of the period covered by this report, several Muslim organizations continued to criticize both Zanzibar’s Mufti law and the mainland’s practice of selecting a mufti through BAKWATA, perceiving them as efforts by the union Government to institutionalize government oversight of Islamic organizations. Many Muslim leaders, noting that there are no parallel structures for Christians, criticize the Government for disparate treatment of the country’s different religious communities.


Mkandara
Naomba utueleze BAKWATA ipo wizara gani na kitengo gani cha serikali?? na bajeti yao inapitishwa na nani?

Mimi nahisi kabisa ndg yangu Mkandara anashindwa kutofautisha Posho na RUSHWA.
Hao BAKWATA kama wanapewa posho na baadhi ya viongozi hiyo sio posho ni RUSHWA.ili muendelee kuwalinda hatimaye waendelee kubaki madarakani.

Hakuna posho inayotoka serikalini kwenda BAKWATA ila kama ni RUSHWA inatoka serikalini kwenda BAKWATA hapo tutakubaliana.
 
Nashangaa unafiki wa baadhi ya Watanzania. nchi km Uganda ambayo ina waislamu kiduchu imekubali kujiunga na OIC ili kuwanufaisha waislamu wananchi wachache wafaidike na manufaa kutoka taasisi hiyo, na hakuna hasara waipatayo kama nchi. Lakini hapa kwetu misaada ya kidini na kimaendeleo kutoka Vatican, marekani na kwingineko ni ruksa kuingizwa bila vikwazo vyovyote. Tabu inakuja wakati taasisi za kiislamu za ughaibuni zinapotaka kuleta misaada ya kimaendeleo...kila aina ya visingizio vitabuniwa..kuanzia al-kaeeda, magaidi na kila jina baya litaitwa ilmradi kuzuia wasilam wasipate support kutoka nje. Hata viongozi wa dini kutoka nje wanadhibitiwa wakati wachungaji kutoka nchi mbalimbali duniani ambao si raia wametapakaa hadi vijijini kabisa bila kunyanyaswa. Lakini hayo yana mwisho.
 
Tanzania
African Brotherhood Church

Africa Faith Mission

Church of Christ in Africa

Free Church of Africa

Four Square Gospel Church of Tanzania

Immanuel Church of Africa

Kerubi Church

Last Church of God

Nomiya Church

Nomiya Sabato

Onyal Nyuol Roho Church

The Gospel for All Nation Church

Tanganyika Sabato Church

Volunteers of Salvation

Kanisa la Pentecosti

Maranatha Christian Centre

Siloam Tabernacle Assembly

Roho Nyota

The Holy Baptist Church

Holy Ghost Sabbath

Wakuu nimerudi uwanjani,

Kuna kiumbe kinalalamika kuwa wakristo wa Tz wamejiunga na Umoja wa kikristo ujulikanao kwa jina la OAIC(Organization of African Instituted Churches ),lakini waislamu hawajapiga kelele.

Naomba ieleweke kuwa wanachama ktk umoja huo,hawatambuliki kama nchi,wanatambulika kama MAKANISA WANACHAMA(member churches) na nchi wanazotoka,ukitazama kwa makini hapo juu,utaona wameorodhesha majina ya makanisa wanachama.

Kama hiyo ndio hoja walionayo waislamu wengi,tunashauri nanyi mfuateni utaratibu huo,au vinginevyo,na si kutulazimisha tusio waislamu tuwe wanachama wa umoja wa nchi za kiislamu.

Hata kidogo sikubali.
 
VATICAN INA MJI MKUU UNAITWA VATICAN CITY....!
MJI MKUU WA OIC UNAITWAJE......?
du....!
 
Kama waislamu ni part ya watanzania, na kama kujiunga kwa Tz kutanufaisha waislamu bila kuwaumiza wananchi wa madhehebu mengine, OIC ruksa. Wachumi wa uchumi wakimataifa wanaita hali hii NASH EQUILIBRIUM.

Wala hatuhitaji maoni ya wananchi kwa hili kama wanavyodai maaskofu. Maoni ya wananchi yangeitajika tu endapo watu wa dini moja wataumia kutokana na Tz kujiunga na OIC. In that case faida ndio zingekuwa weighed against hasara (kuumia kwa watu wa dini moja).

Kupinga Tz kujiunga na OIC wakati kwa kufanya hivyo hakuna anayeumia ni kuchochea udini. Maaskofu wamekosea, I hope watatubu kwa hili.
 
Nashangaa unafiki wa baadhi ya Watanzania. nchi km Uganda ambayo ina waislamu kiduchu imekubali kujiunga na OIC ili kuwanufaisha waislamu wananchi wachache wafaidike na manufaa kutoka taasisi hiyo, na hakuna hasara waipatayo kama nchi. Lakini hapa kwetu misaada ya kidini na kimaendeleo kutoka Vatican, marekani na kwingineko ni ruksa kuingizwa bila vikwazo vyovyote. Tabu inakuja wakati taasisi za kiislamu za ughaibuni zinapotaka kuleta misaada ya kimaendeleo...kila aina ya visingizio vitabuniwa..kuanzia al-kaeeda, magaidi na kila jina baya litaitwa ilmradi kuzuia wasilam wasipate support kutoka nje. Hata viongozi wa dini kutoka nje wanadhibitiwa wakati wachungaji kutoka nchi mbalimbali duniani ambao si raia wametapakaa hadi vijijini kabisa bila kunyanyaswa. Lakini hayo yana mwisho.

Tuletee Katiba ya Uganda tuone inasema nini kuhusu dini,kwanini watu wanapenda kutumia vigezo vya nchi nyingine kutatua matatizo ya nchi yetu??

Hapa nchi kama nchi inatakiwa kuongozwa kwa misingi ya katiba yake na sheria zake iliyojitungia yenyewe na si vigezo vya nchi nyingine kuja kwetu.

Je unapenda URA ya Bakari na sisi tunawanayo?
 
Ubalozi si sawa na kujiunga na shirikisho. Hatuna sheria za Vatican au Iran lakini kujiunga na shirikisho inamaana unakubaliana na sheria zao. Hili ni shirikisho la nchi za na Tanzania si nchi ya Kislaam hivyo Tanzania haiwezi kujiunga na sherikisho ambalo haliendani na katiba yetu!!


Organisation of the Islamic Conference
From Wikipedia, the free encyclopedia
(Redirected from Organization of the Islamic Conference)
Jump to: navigation, search
This article or section is missing citations or needs footnotes.
Using inline citations helps guard against copyright violations and factual inaccuracies. (August 2008)

"OIC" redirects here. For other uses, see OIC (disambiguation).
Organisation of the Islamic Conference
[show]
منظمة المؤتمر الإسلامي (Arabic)
Organisation de la Conférence Islamique (French)

Flag


Map of OIC member states (green) and observers (blue).
Headquarters Jeddah, Saudi Arabia
Official languages Arabic, English, French
Membership 57 member states
Leaders
- Secretary-General Ekmeleddin İhsanoğlu
Website
http://www.oic-oci.org/
The Organisation of the Islamic Conference (OIC) is an international organization with a permanent delegation to the United Nations. It groups 57 member states, from the Middle East, Africa, Central Asia, Caucasus, Balkan, Southeast Asia, South Asia and South America. The official languages of the organization are Arabic, English and French.

Contents [hide]
1 History and goals
2 Recent issues
2.1 Ninth meeting of PUOICM
3 Structure and organization
3.1 The Islamic Summit
3.2 The Islamic Conference of Foreign Ministers
3.3 The Permanent Secretariat
3.4 Standing Committees
3.5 Subsidiary organs
3.6 Specialised institutions
3.7 Affiliated institutions
4 The Secretary General of the OIC
5 Members
5.1 Membership attempts
6 Past Islamic Summit Conferences
7 Economy
8 Criticism
9 References
10 Notes
11 See also
12 Further reading
13 External links



[edit] History and goals
Since the nineteenth century, Muslims had aspired ideas of uniting their community to serve their common political, economic, and social interests. Despite the presence of secularist, nationalist, and socialist ideologies, in modern Muslim states, King Faysal of Saudi Arabia cooperated with other Muslim leaders to form the Organization of Islamic Conference. The formation of the OIC happened in the backdrop of the loss of Muslim holy sites in Jerusalem. The final cause sufficiently compelled leaders of Muslim nations were to meet in Rabat to establish the OIC in May 1971.[1]

According to its charter, the OIC aims to preserve Islamic social and economic values; promote solidarity amongst member states; increase cooperation in social, economic, cultural, scientific, and political areas; uphold international peace and security; and advance education, particularly in the fields of science and technology.[1]

The flag of the OIC (shown above) has an overall green background (symbolic of Islam). In the center, there is an upward-facing red crescent enveloped in a white disc. On the disc the words "Allahu Akbar" are written in modern Arabic calligraphy.

On August 5, 1990, 45 foreign ministers of the OIC adopted the Cairo Declaration on Human Rights in Islam to serve as a guidance for the member states in the matters of human rights.


[edit] Recent issues
The Parliamentary Union of the OIC member states (PUOICM) was established in Iran in 1999 and its head office is situated in Tehran. Only OIC members are entitled to membership in the union.[2]

President George W. Bush announced on June 27, 2007 that the United States will establish an envoy to the OIC. Bush said of the envoy "Our special envoy will listen to and learn from representatives from Muslim states, and will share with them America's views and values."[3] Sada Cumber became the US representative on March 3, 2008.

The Organization of the Islamic Conference rejected [4] the Universal Declaration of Humans Rights [5] as not being consistent with Sharia Law. In its place, they supported the Cairo Declaration of Human Rights in Islam [6]. While many claim it is not an alternative to the UDHR, but rather complementary, Article 24 states "All the rights and freedoms stipulated in this Declaration are subject to the Islamic Shari'ah." and Article 25 follows that with "The Islamic Shari'ah is the only source of reference for the explanation or clarification of any of the articles of this Declaration."

The Organization of the Islamic Conference on March 28, 2008 added its voice to the growing criticism of the film 'Fitna' by Dutch lawmaker Geert Wilders, which features disturbing images of terrorist acts alleged to be superimposed over verses from the Quran.[7]


[edit] Ninth meeting of PUOICM
The ninth meeting of the Council of PUOICM was held on 15 and 16 Feb 2007 in Kuala Lumpur, Malaysia.[8]. Speaker of Malaysia's House of Representatives, Ramli bin Ngah Talib, delivered a speech at the beginning of the inaugural ceremony. OIC secretary-general Prof Dr Ekmeleddin Ihsanoglu said prior to the meeting that one main agenda item is stopping Israel from continuing its excavation at the Western Wall near the Al-Aqsa Mosque, Islam's third holiest shrine.[9] OIC is also discussing how it might send peacekeeping troops to Muslim states, as well as the possibility of a change in the name of the body and its charter.[10] Additionally, return of the sovereignty right to the Iraqi people along with withdrawal of foreign troops from Iraq is another one of the main issues on the agenda.[11]

Pakistani Foreign Minister Khurshid Mahmud Kasuri told reporters on 14 February 2007 that the Secretary General of OIC and foreign ministers of seven "like-minded Muslim countries" will meet in Islamabad on 25 February 2007 following meetings of President Musharraf with heads of key Muslim countries to discuss "a new initiative" for the resolution of the Israeli-Palestinian conflict. Kasuri said this will be a meeting of foreign ministers of key Muslim countries to discuss and prepare for a summit in Makkah Al Mukarramah to seek the resolution of the Arab-Israeli conflict.[12]
 
mwanangu changamoto mimi napenda watu kama wewe, watu wanaosema ukweli, watu wanaotaka maendeleo kwa wote. kama tutapata viongozi kama wewe nchi yetu itaendelea na hamna atakae muoneya mwenzie wivu.

mimi niliandika muda mchache tu kwa nini iran ifananishwe na vatican wakati vatican sio nchi, kwanini iran isifananishwe na uingereza inayosema katika katiba yake ni nchi ya kikristo, tuamke jamani, wasomi wetu wananishangaza
 
mahesabu unanishangaza kwanini uwatie watu wenye asili ya asia katika mazungumzo yako, hii inanionesha wewe ni mbaguzi wa rangi achilia mbali dini, pia nimegunduwa umezoeya kuona wazungu malaika na yesu mzungu na mtu mweusi ni shetani.
funua akili yako vizuri acha chuki za kijinga, mbona husemi wachaga ndio walivyo, wahaya ndio walivyo na kadhalika
bye
 
In France there is a phrase that says "Whenever you kiss too much you can not kiss quite well" yaani ukibusu warembo wengi hutawabusu vizuri. Waingereza watanisaidia hapa. A competence is speciality. Generosity is incompetency! At the end kote hatuko au siyo? Sasa hivi si unaona mwanzo wake? Ufisadi, uzembe kufanya uamuzi kwa manufaa ya taifa pale unpohitajika kufanya hivyo haswa kisheria. Adhibu sasa. Wapi?
 
mwanangu changamoto mimi napenda watu kama wewe, watu wanaosema ukweli, watu wanaotaka maendeleo kwa wote. kama tutapata viongozi kama wewe nchi yetu itaendelea na hamna atakae muoneya mwenzie wivu.

mimi niliandika muda mchache tu kwa nini iran ifananishwe na vatican wakati vatican sio nchi, kwanini iran isifananishwe na uingereza inayosema katika katiba yake ni nchi ya kikristo, tuamke jamani, wasomi wetu wananishangaza

Duu mimi sikuelewa kama uingereza katiba yake ni BIBLIA.kwi kwi kwi.

Hata hivyo uingereza haiwezi fananishwa na SAUDIA maana uingereza inaruhusu dini zote kuwepo na kuabudu.Kitu ambacho ni tofauti kabisa na SAUDIA.
wewe kama unataka uone moto unakuwakia kajifanye ushike BIBLIA SAUDIA uone motto wake. Au kajenge tu kijikanisa chako SAUDIA uone mshike mshike wake.

Vatican napo sizani kama utaruhusiwa kujenga msikiti pale hiizi nchi ndio maana zinafananishwa tofauti kabisa na UINGEREZA.
 
Katiba ya OIC ni lya kidini na katiba ya Tanzania si ya kidini swali ni kwamba katiba yetu inasemaje?. Kwenye hii OIC je watu wana nini in common zaidi ya dini???? eti tutapata mafuta ya bei rahisi kwasababu tumeingia kwenye chama cha nchi za kiislaam kama tunaamini nchi yetu si ya kidini ni kwanini tujiunge je tunamisimamo gani kama nchi??
 
Mkandara,
Hatimaye hapa umezungumza kama Mkandara ninayemjua, napenda nikupe taarifa kuwa wewe ni mmoja wa wachangiaji ninao waheshimu sana. Ninapoona mahali umechangia lazima nisome kuona umechangia nini, nimekuelewa. Ni swali gumu, jinsi jamii ya kiislamu inavyoweza kusaidiwa katika masuala kama haya. Nasema ni gumu kwa kuwa viongozi wa siasa wanataka au wanatumia udhaifu huu kutekeleza mafanikio yao ya kisiasa, inawezekana kabisa serikali kama serikali kusaidia na kuweza kuzifanya jumuia za kiislamu zikaweza kuwa na mahusiano na mashirika na taasisi za nje kwa faida kama itaamua. Kama iliweza kuamua kuanzisha Bakwata kama unavyosema inaweza hata kufanya makubwa zaidi, kifupi nimekuelewa mkuu. Asante sana!
 
Kama unakumbuka waislaam walipinga uuzwaji wa nguruwe ktk mabucha...Wakristu walikuja juu na kusema kwamba waislaam hawawezi kuwazuia wao kula kile wanachokitaka hata kama mapendekezo yalikuwa kufunguliwa mabucha maalum ya kuuza nguruwe. Serikali ilipoingilia na kuwakubalia mliona kuwa ni ushindi mkubwa dhidi ya waislaam!... DHIDI ya Waislaam!!!!
Mimi binafsi nilishindwa kuelewa na nikaanza kujiuliza hivi kama Tanzania itakuwa na WaPhilipino ambao mbwa ni chakula chao... na wakaweka madai yao kutaka nyama za mbwa ziwekwe ktk mabucha yetu... Mtakubali kwa misingi ile ile ambayo imewapa ushindi ktk nguruwe?...sidhani...

Mzee Mkandara,

Nadhani umechanganya vitu hapo , ishu ambayo waislamu walipinga ni kufunguliwa kwa mabucha ya nguruwe karibu na sehemu wanazoishi ....Tanzania nyama ya nguruwe na nyama zingine aziuzwi katika bucha moja
 
REv. Kishoka,
Je Tanzania kama nchi na Serikali yake ni wanachama wa WCC?
Shukran mkuu kwa kutoa swali rahisi kama hilo..BILA SHAKA - ikiwa masharti ya kujiunga WWC yanahusiana na NCHI sio taasisi..
Ingekuwa hakuna matatizo kabisa kama wameweza kujiunga kama makanisa sioni tofauti ikiwa malengo yake ni yale yale kudumisha Umoja wa wakristu.. na kama kibali cha orgs hizi za Kikristu kujiendesha nchini kama vyombo tofauti na vinavyojitegemea kusingekuwepo kama ilivyo kwa Waislaam. BILA SHAKA mnatakiwa kupea haki hiyo iwe kikatiba au njia yoyote ile... It's your right to join... sisi waislaam ni lazima serikali itazame mnajiunga na nani na who is who toka tupate Uhuru hadi mambo ya 9/11 yameingia.
Jambo moja ambalo mnashindwa kulielewa na limekuwa malalamiko ya waislaam wengi ni kwamba Waislaam wamebanwa na serikali. hawana chombo ama vyombo ambavyo vinaweza kuwapa UHURU mnaozungumzia kikatiba. badala yake serikali ilipiga marufuku chombo cha Waislaam EAMWS ambacho ndicho pekee kingeweza kuifanya kazi hii bila kuihusisha serikali..
Nitarudia kusema tena Bakwata inaendeshwa kwa kodi zenu, mapato na matumizi yake yanatazamwa na serikali, kama sikosei nadhani hata bejeti yake inapitishwa na serikali... sasa mkuu kweli mnategemea Bakwata kuweza kujiunga na OIC hali hiki chombo ni tofauti kabisa na vyombo vya Kikristu ambavyo vinajiendesha na kupanga mambo yao wenyewe bila kuingiliwa na Nyerere, Mwinyi, Mkapa na hadi leo Kikwete!...

Huo Uhuru wa kikatiba uko wapi hapa kwa Waislaam ikiwa wanakuwa controlled na chama CCM...
Hata uchaguzi wa Mufti iwe zanzibar au bara kuna mkono wa serikali.., kufunga mwezi mtukufu wa Ramadhani Bakwata has to endose kama vile wao ndio somekind of Rev...yote yanapangwa na watu ambao kama kweli elimu ya dini ingekuwa ndio CV basi hakuna hata mmoja wao angeshika madaraka kwa sababu hata huyo Mufti sielewi ni utaratibu gani kidini unaochagua Mufti ambao unafuatwa nchini..
Bakwata kwangu mimi ni matapeli kama baraza la Kikwete liliopita! kina Lowassa kibao huko Bakwata na waislaam hawawezi kuinua kidole, sasa kweli hiyo imekuwa chombo cha dini jamani?..Kila siku ufti kachagua viongozi wapya baada ya watu kunyonza mfuko.. yaani hata wewe hapo ebu nambie ni vitu gani hasa hawa Bakwata wamevifanya vya kuivunia?..Lile jengo lenyewe limekuwa kama vile gofu la Janjaweed kule Darfur..halitamaniki hata kwa kulitazama tu.
Wamejaribu kwa kila hali kuifanya ionekane kuwa ni NGO inayojitegemea lakini ukweli bado upo pale pale kuwa Bakwata ni chombo cha serikali huwezi kuona hata siku moja wakitetea Waislaam ktk maswala ambayo haki yao imepindwa kwa sababu serikali kwa kupitia Bakwata ndio wameamua kutembeza bakora... Lini NGO ikawa na influence kubwa na serikali inayoongoza ktk kuendesha shughuli zake unless nchi hii inaongozwa na dini hiyo. Lakini ajabu pamoja na ukaribu huo na Ikulu wao ndio wamebanwa...wanataka kujikata wanaambiwa hakuna sheria inayowaruhusu kujikata!...sheria... sheria ... sheria! leo kujiunga kwao mnasema sheria haitakiwi.

Sasa ukisha elewa nafasi ya Waislaam na Bakwata ndipo tunajenga hoja ya kujiunga na OIC, tuwasaidie vipi Waislaam. na laukama Wakristu pia wangekuwa hawana vyombo kama sisi na wananchi waumini wanataka kujiunga hali chombo walichokuwa nacho kipo chini ya serikali basi bila shaka tungeomba serikali iwakubalie kujiunga lakini kwa mfumo mliokuwa nao sidhani kama inawezekana kwa sababu mnajitenga tayari kwa madhehebu na kila dhehebu lina interest zake.. Ni sawa na kujaribu kuiunganisha Afrika nzima wakati sisi waislaam ni watu wasiokuwa na chombo kiasi kwamba hapa tunachotaka ni ukombozi wenu.
Kesho serikali ikiua Bakwata na kuwambia waislaam waunde chombo chao wao wenyewe na kuwapa uhuru wote wa kuendesha mambo yao, then tungekuwa na sababu ya kuwashutumu lakini serikali haitaki kuachia bakwata wala kuruhusu chombo cha kiislaam kiundwe...
Nitakukumbusha tena marehemu Sheikh Kassim bin Jumaa alitaka kuunda chombo cha kiislaam nje ya Bakwata au mkono wa serikali, akaitwa gaidi na kuwa WANTED number moja nchini.. dead or Alive mkuu wangu na hakika walimwondoa..Kama wangekubali ama kumsikiliza Sheikh Kassim siku hizo pengine leo tusingekuwa tunajadiliana haya yote...

Mkuu hoja zangu zote toka nimeanza kuandika nategemea sana mtakuwa na mbinu ya kuwawezesha waislaam kupata uhuru wao wa kuabudu na kujiendesha na kama Uhuru huo haupo basi ni jukumu letu kuwasaidia ktk njia nyinginezo badala ya kuweka chuki hali mnaona kabisa kuwa jamaa wanaendeshwa.....
 
Mkandara
Binafsi ninashindwa kukuunga mkono katika maelezo yako hapo juu. Hii inatokana na uelewa wangu juu ya BAKWATA na NGOs za Waislam.

Mimi natambua kwamba BAKWATA ni chombo cha Waislam na kinaendeshwa na Waislam na siyo kodi za wananchi. Hata hivyo huenda hakifanyi vizuri kutokana na sababu zingine kama vile incompetence ya viongozi wake.

Kuhusu NGOs, Mkuu zipo NGOs nyingi tu za Waislam tena hazipo chini ya BAKWATA. Kwa mfano kuna hawa jamaa wa Ansaar suna, hawa jamaa hawapo chini ya BAKWATA. Tena wanazo NGOs kama vile Ansaar Youth Muslim. Ingawaje wanapigwa vita sana na BAKWATA na kunamaeneo walisha pigana hata ngumi misikitini wakigombea misikiti lakini wapo na wanaushirikiano mkubwa na Waarabu. Ushirikiano huo umewezesha kujengwa kwa shule nyingi tu za Msingi na Sekondari (zingine bado zipo hatua mbalimbali za ujenzi). Pia wamejenga misikiti mingi tu, hata katika maeneo yasiyo na waumini.

Huu ndiyo utaratibu tunaoukubali kwani hauiingizi nchi. Taasisi fulani ya kidini inashirikiana na taasisi za nje kwa namna hiyo. Suala la OIC halipo hivyo, katiba ya OIC inasema mwanachama atakuwa ni nchi siyo taasisi fulani ya kidini. Hapo utaona namna ulivyo overlook kwamba Waislam wanahitaji uhuru kwani BAKWATA imewabana. Ni uhuni wa waarabu kutaka nchi zijiunge na nchi za kiislam kwa malengo ya kidini kupitia mgongo wa misaada.

Mkuu suala muhimu hapa ni kutoiingiza nchi katika masuala ya kidini. Vinginevyo OIC wabadilishe katiba yao ili iruhusu taasisi za kidini kuwa wanachama siyo nchi.

Mungu ibariki Tanzania.
 
Nziku,
Mkuu wangu weee! Ansaar Sunna ni NGO!... duh, ama kweli sasa namfukuza kichaa aliyeiba nguo zangu..
Kwa kheri!..
 
Back
Top Bottom