Juu ya OIC na Mahakama ya Kadhi

Juu ya OIC na Mahakama ya Kadhi

Nziku,
Mkuu wangu weee! Ansaar Sunna ni NGO!... duh, ama kweli sasa namfukuza kichaa aliyeiba nguo zangu..
Kwa kheri!..

Mkuu inaonekana umeninukuu vibaya, ukisoma vizuri hapo juu nimesema kwamba Ansaar hawapo chini ya BAKWATA na wanazo NGOs nikataja moja ambayo ni Ansaar Youth Muslim. Mkuu, sijasema kwamba Ansaar Sunna ni NGOs! Ninavyojua mimi hapo awali misikiti yote ilikuwa chini ya BAKWATA lakini sasa misikiti mingine ipo china ya hawa Ansaar Sunna sasa nitasemaje tena kuwa ni NGO?

Na hiyo ya kufukuza kichaa aliyeiba nguo zako ndo nini? unamaanisha nini? Mkuu. Nadhani tunaheshimiana!
 
Bakwata inahusishwa na chama na si serikali. Hivi kuna sheria inayokataza aislamu kuunda chombo mbadala ya Bakwata? Waislamu wamefanya juhudi gani kuunda chombo chao baada ya EAMWS kupigwa marufuku mbali ya hiyo Bakwata? Au hata kufufua hiyo EAMWS? Ni nani katika serikali aliyewazuia? Sheikh Kassim alitaka kuunda chombo gani? Kilikuwa kiitwaje na kiliwaunganisha wakina nani? Aliitwa gaidi kwa kutaka kuanzisha chombo mbadala ya Bakwata au sababu nyingine?
 
wanachukua mfano wa Uganda wakati iliingizwa huko na utawala wa kidikteata wa Idd Amin
 
Alafu, iankuwaje tunakurupuka kusema tujiunge kabla ya kuona hiyo katiba yao inasemaje? Wabongo tu wavivu wa kufikiri. Ni lini ukakubali mkataba na kuukubali kabla ya kusoma terms zake.


ETI SERIKALI IMESEMA???? NI MARA NGAPI SERIKALI IMESEMA MKATABA WA RICHMOND HAUNA MATATIZO, BAADAYE IKAKUTWA NI UWENDAWAZIMU; NI MARA NGAPI IMETETEA PESA ZA EPA KIPINDI SLAA AMEONYESHA UBADHILIFU, NA BAADAYE IKAKIRI KUNA TATIZO?

BINAFSI SIKUBALI OIC MPAKA PALE NITAKAPODHIBITIWA TOFAUTI.
 
Shedafa,
Nimerudi kwa sababu yako na nadhani maelezo yangu hayakuanzia kurasa hizi za mwisho..
Ni hivi, nilisema toka mwanzo kuwa Waislaam hawana chombo cha wao kujiunga na vyombo kama hivi vya kimataifa tofauti na Wakristu. sasa mathlan kule nyuma Rev. Kishoka ali suggest Bakwata. Nikamwambia kuwa Bakwata ni chombo cha serikali kwa waislaam kinapata ruzuku zake toka serikalini hivyo Bakwata haiwezi kujingia Uanachama wa OIC bila mkono wa serikali...

Tunarudi pale pale kuwa hoja nzima ya Wakristu kuhusiana na OIC ni kwa sababu hawataki serikali itumie fedha zake au pengine kuingiza katiba ktk jumuiya za kidini lakini ajabu ni kwamba Bakwata imeundwa kutokana na sheria sijui kama ilikuwa fadhila ya Nyerere kwa Waislaam baada ya kuivunja EAMWS....Kama utakumbuka kuna mada moja nimekuwa nikipinga kuwepo kwa Bakwata na kwamba serikali inaweka mkono wake ktk maswala ya Waislaam kwa nini waislaam wasiwe na chombo chao wenyewe ili wapate kuamua maswala yao wao wenyewe bila kuingilia na wanasiasa...
Kama Waislaam Tanzania wangekuwa na chombo mkuu hapa wazi kungekuwa hakuna haja ya NCHI kuingias OIC lakini kutokana na Usalama wa nchi yetu hasa ktk wakati huu binmafsi sioni ubaya wa serikali kulipitisha swala hili maanake sasa hivi dini imekuwa nyenzo kubwa ya watu kuendesha siasa zao.
Mkuu sisi Waislaam hatukujipanga kabisa, Hata kwenda Hijja Macca tunategemea mfuko wa serikali tofauti na Wakristu ambao nakumbjka Papa Paul alikuja hapa mwaka 2002, walikuja vijana toka kila nchi bila kuwa sponsered na serikali.. Kama ingekuwa sisi Waislaam ingekuwa pata shika..
Kwa hiyo swlaa kubwa bado lipo pale pale, Waislaam wanatakiwa kupata chombo chao na wakati huo huo serikali haitaki kuachia Bakwata..waaanzie wapi?.
Nikirudi ktk swala la wakristu kujiunga na vyombo vya kimataifa mkuu mpangilio wkati ya waislaam na Wakristu ni tofauti kabilsa na ndio maana noikaonyesha mifano mingi sana tofauti kati ya Saudia na Vatican, OIC na WWC yote hii ni ktk kuonyesha kwamba ktk Uislaam hakuna mtu wala chombo kinachosimama mbele ya maslahi ya Waislaam labda tu katika maswala ya Ibada. Hatuna makanisa yanayojiendesha na kushirikiana na kanisa mama. Sisi waislaam Sunni anaweza kusali msikiti wa Shia, msikiti unajegwa na mtu yeyote, Hata Nyerere alijenga. Misaada inatoka kila kona Shia wanatoa misaada misikiti ya Sunni na kadhalika hali Wakatoliki wanajitegemea kutokana na kuwa na chombo chao.

Mwisho, what is the big picture ya haya yote?... swala ni kujiunga kwa Waislaam na OIC je tuwasaidie vipi?..haiwezekani watu binafsi kujiunga na hakuna chombo cha kiislaam ambacho kinawakilisha waislaam bila mkono wa serikali...Nimeomba wanipe njia ya kusaidia lakini wote wanazunguka mbuyu mara hivi ama vile hakuna solution zaidi ya kusema Tanzania isijiunge na OIC.. hali hayo makanisa kwa wiongi wake yanatengeneza jina la Wakristu na hawakujiunga WWC kwa hiari yao bila baraka za serikali. WWC imetupokea sisi kama Wakristu pamoja na tofauti zetu lakini waislaam wanapokwenda OIC hakuna madhehebu na hata siku moja madhehebu ya kiislaam haijawa ktk mfumo kama wa Wakristu na ndio maana tunapokwenda Hijja utakuta makanisa yote yapo pamoja. Hakuna Sunni wala Shia au Ayatollah kuongoza waislaam wote.

Kama watanielewa hapo basi hoja hii imekwisha!

Mimi nashauri kuwa kama serikali yetu haina dini na inatoa uhuru wa kuabudu kwa wananchi wake basi ni jukumu la dini au madhehebu husika kuona jinsi gani zinajiunga na taasisi fulani na siyo serikali. Kama hilo haliwezekani kwa baadhi ya dini basi ichukuliwe kuwa haliwezekani na lisilazimishwe liwezekani.

Michango ya mawazo inayotolewa hapa inaonyesha kuna kitu fulani ambacho baadhi ya watu wana wasiwasi nacho. Na wasiwasi mkubwa unatokea wakati mambo yanaingizwa kijanjakijanja! Acha watu wajadili Mahakama ya Kadhi ili ufumbuzi upatikane. Tumeona jinsi tulivyoingizwa kwenye mikataba inayotughalimu lazima tuwe macho!
 
Sikubaliani nawe kuwa suala la kidini unaliogopa bali nahisi unalishabikia. Ivyo hujatafakari na kuona kuwa wanaopinga nao kwa upande mmoja ni tofauti na waislamu? Nawe kwa nini unapinga?
Kwani mwenzangu misingi ya dini zetu sote si Amani na manufaa ya binaadamu? sasa una wasi wasi gani na uislamu? Hivyo misaada inayoletwa na dini nyengine ikajenga Mahospital, mashule, na taasisi nyengine za Kijamii si hunufaisha Watanzania wote? Au kuna aina nyengine ya misaada ambayo haitokuwa kwa manufaa ya nchi ambayo itatolewa na OIC? Watanzania tuna utamaduni wa kufuata huduma bila ya kujali dini na hata kama huduma hizo ni za dini fulani si tutakuwa tumeshapiga hatuwa fulani kwa huduma hata kama wanaopata ni wananchi wa dini husika? Kwa mfano tunapotaja Vyuo vikuu si tunahesabu vyuo vya kikirsto na vya Kiislamu na kila mmoja anakuwa na uhuru wa kuchagua wapi apate huduma? Bado nafikiri jinamizi la udini na kuogopa kuwa dini fulani itapata maendeleo ndio inatawala majadiliano haya kwani suala la misaada na katiba hatujawahi kuijadili huko nyuma. Hata suwala la maoni ya mwananchi mmoja mmoja hayajawahi kutafutwa katika kuamuwa mambo yetu iweje kwa hili tu kunani?.




Suala hapa ni katiba na si tutafaidika vipi na misaada.Katiba yetu hairuhusi kujiunga na OIC,kwa nini tulazimishe?Misingi iliyojengwa hapo nyuma ni lazima tuiheshimu tusionyeshwe pelemende tu basi tunalegea. Kwani ni OIC tu ndio yenye kuleta maendeleo? mbona nchi yetu ni tajiri sana wa mali asili au ndio mawazo tu ya kutaka kila mara kusaidiwa saidiwa ndiyo yanatufikisha hapa?Sizani kama nchi nyingine ambazo zimepiga hatua kimaendeleo zilipitia OIC.kinacho kera ni ile hali ya kuonyesha kuwa ni muungano wa nchi za kiislam ambao Tanzania inataka kujiunga nao hatua ambayo inakiuka katiba ya nchi. Mashirika ya kidini kusaidia jamii si tatizo kwani mengi yamefanya hivyo, hapa nchi kwa mfano mashirika mengi ya kidini yakiwemo ya kiislam na kikristu yamekuwa yakisaidia jamii ambapo watanzania wamenufaika bila kujali dini (kama ulivyogusia katika hoja yako). Lakini hoja hapa ni kuwa katiba inataka kubadilishwa kwa sababu ya kujiunga na muungano wa nchi za kiislam kwa nini?wakati nchi yetu haina dini?suala la wananchi wake kuwa na dini si hoja kabisa kwani dini ni imani kwa hiyo suala la imani yako libaki ni imani yako lisisababishe nchi ikageuza mwelekeo wake. kuhusu serikali nyakati fulani kuwalinda waumini wa dini mbalimbali wakati wa kuendesha ibada zao hiyo pia si hoja kwani kinachofanyika ni kwa serikali kulinda wananchi wake na wala si kwa sababu ni wakristu au waislam.Mfano likianzishwa shirika la nchi za kikristu ambalo linatoa misaada kedekede lakini masharti yake ni kwa nchi wanachama kuwa na serikali ya kikristu je tutabadili katibayetu ili tuwe na nchi ya kikristu kwa ajili ya kupata misaada hiyo?Let us be serious jamani!!!
 
Kwa Wa TZ wasioujua ukweli kuhusu OIC (Organisation of the Islamic Conference) basi hapa mnaweza kupata habari muhimu na kisha kujua kama kweli umoja huu ni wa kisiasa/kijamii/kidini/kiuchumi n.k.

Kwa uchache:

1. About OIC

.....The organisation is the collective voice of the Muslim world and safeguard and protect the intrestes of the Muslim world in the spirit of promoting peace and harmony among various people of the world.

2. Under the charter:

....Protect and defend the true image of Islam, to combat defamation and encourage dialogue among civilizations and religion.

3. Objectives and Principles

...11. To disseminate, promote and preserve the Islamic teachings and values based on moderation and tolerance, promote Islamic culture and safeguard Islamic heritage[/COLOR]

....16. To safeguard the rights, dignity and religious and cultural identity of Muslim communities and minorities in non-Member States.

Please open attachment for more details.
 
Mtumie wale wakeleketwa kama akina Mkandara ili waje wafafanue walichokuwa wanakitetee kuhusu TZ kujiunga na IOC!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Wanatupeleka pabaya, mojawapo ya majukumu ni kueneza dini na maadili ya Kiislamu, hivyo naona hata hiyo mahakama ya Kadhi ni maandalizi ya OIC!!!
 
Viongozi wetu wameshindwa kufukiri, matokeo yake wanatuypeleka pabaya. Katiba inatamka wazi kabisa kuwa serikali haitajihusisha na masuala ya kidini, lakini kwa sababu wanazozijua wao, viongozi hawalioni suala hili kuwa la kidini
 
Wakuu,waislamu wajiunge na IOC kupitia taasisi zao,na sio jina la Tanzania kutumika ktk umoja huo.

Wakristo walio members wa jumuhiya za kidini,hawatambuliki kama Tanzania,bali hutambulika kama wanachama wakristo kutoka Tanzania.

Naomba nieleweke,wakristo hatuko tayari kupokea misaada ya waarabu,kwa migongo ya waislamu,lazima misaada hiyo iwafaidishe waislamu,kwani wao ni walengwa wakuu,ivo basi Membe+ waislamu acheni kukurupuka,tafuteni kitambulisho chenu mtakachotumia kujitambulisha ndani ya IOC.

Lazima mtambue kuwa,hatuko tayari kula hiyo misaada yenu,kama ni bei ya mafuta kushuka,munaweza kufanya utaratibu wa kuhakikisha dini nyinginezo hazifaidi hayo mafuta.

Sisi wakristo hatuchanganywi sana na hayo mafuta,neno linasema "Mtu haishi kwa mkate tuu,bali kwa kila neno litokalo ktk kichwa cha MUNGU",tunaamini ivo na MUNGU wetu anazo NGUVU za kutupa alternative.

Waislamu jiungeni kama waislamu,si kama nchi ya Tanzania,otherwise ombeni kuunda nchi yenu ndani ya Tanzania ili iwe rahisi kutimiza adhma yenu.

Nawakilisha.
Ni kitabu chako kipi kilichosema au kinachosema kama Mungu ana kichwa ? Huyo atakuwa amefanana na baguani.Au mwenzetu wewe ni baniani ?
 
Tanzania ivunje uhusiano na Vatican mara moja.

Haya maneno yananikumbusha mtu mmoja aliniambia siku ile JK akiapishwa kuwa Rais aliponiambia ukisikia Tanzania kuwa nchi ya kidini ndiyo wakati wake huu nadhani yale maneno yapo njiani kutimia!
 
Hivi kujiunga na organisations tunafaidika nini hasa? Maana mpaka sasa ni member wa organisation nyingi lakini hakuna cha zaidi tunachofaidika hivyo tusiwe wepesi wa kujiunga tu bila kufanya utafiti wa kina. Pia hizi organisation za kidini inabidi nchi zinazofuata dini husika ndiyo zijiunge. Maana hapa kwetu tuna dini nyingi tu je kila dini ikitaka tujiunge na organisation yake hiyo itawezekana? Maana kisingizio kipi! So we have to be very carefull otherwise tutaleta matatizo mengine wakati tunayo kibao.
 
Tanzania ivunje uhusiano na Vatican mara moja.

.....Vatican sio organization kama OIC,ni nchi ya kikristu kama Saudi Arabia ilivyo ya kiislam ambayo nayo tuna uhusiano wa kibalozi sawa na Vatican,jumuiya za kiislam au kikristu ziko huru kujiunga na org zozote za dini kama sheria ya nchi haivunjwi,acha spin za kuchanganya OIC na Vatican...Vatican ni nchi huru na haina agenda zozote na nchi nyingine zaidi ya ukatoliki wao na wafuasi wao
 
NINAMSHANGAA Askofu Kilaini kutoa haja ya Tanzania kutojiunga na na IOC eti kwa sababu ni suala la dini na sio kijamii na kiuchumi kwa faida angalau ya sehemu moja ya Watanzania.

Hili si kweli, maana wanaoomba Tanzania ijiunge na IOC ni wale wanaotaka kuona Watanzania wanafaidika na programu za shirika hilo ambalo ni mipango kabakaba ya kuwanufaisha watu kiuchumi na kijamii kupitia benki zake na taasisi zingine za kifedha.

Sisi Wakatoliki si haba tunanufaika na fedha za Vatican kila mwaka kiasi ambacho viongozi wetu wa dini wameanza kukufuru. Huu ni wivu tu toka kwa viongozi wetu kwa ndugu zetu Waislamu.

Kama ndivyo kwamba IOC ni dini basi serikali itakuwa inawadhulumu Waislamu kwa kuendelea kuwa na Ubalozi wa Vatican hapa nchini jambo ambalo dhahiri ni la kidini na sio la kisiasa.

Tusiwe wanafiki Watanzania ili tujenge udugu na amani ya kweli kati yetu sisi Wakatoliki, Waislamu na wenzetu wa madhehebu nyingine hapa nchini.

Mkatoliki anayekataa unafiki,

What you have said makes sense! Ila kwenye masuala ya dini / imani jamaa wengi huleta jazba zaidi na kuachana na mantiki, hivyo rahisi sana kutoelewana!
 
Charter of the
Organisation of the Islamic Conference
1
Charter of the
Organisation of the Islamic Conference
 ا   ا
ا 
In the name of Allah, the most Compassionate, the most Merciful
We the Member States of the Organisation of the Islamic
Conference, determined:
to acknowledge the Conference of Kings, Heads of State and Government of
the Member States convened in Rabat from 9 to 12 Rajab, 1389 H,
corresponding to 22 to 25 September 1969, as well as the Conference of
Foreign Ministers held in Jeddah from 14 to 18 Muharram 1392 H
corresponding to 29 February to 4 March 1972;
to be guided by the noble Islamic values of unity and fraternity, and affirming
the essentiality of promoting and consolidating the unity and solidarity among
the Member States in securing their common interests at the international
arena;
to adhere our commitment to the principles of the United Nations Charter, the
present Charter and International Law;
to preserve and promote the lofty Islamic values of peace, compassion,
tolerance, equality, justice and human dignity;
to endeavour to work for revitalizing Islam’s pioneering role in the world
while ensuring sustainable development, progress and prosperity for the
peoples of Member States;
to enhance and strengthen the bond of unity and solidarity among the Muslim
peoples and Member States;
to respect, safeguard and defend the national sovereignty, independence and
territorial integrity of all Member States;
to contribute to international peace and security, understanding and dialogue
among civilizations, cultures and religions and promote and encourage
friendly relations and good neighbourliness, mutual respect and cooperation;
to promote human rights and fundamental freedoms, good governance, rule of
law, democracy and accountability in Member States in accordance with their
constitutional and legal systems;
2
to promote confidence and encourage friendly relations, mutual respect and
cooperation between Member States and other States;
to foster noble Islamic values concerning moderation, tolerance, respect for
diversity, preservation of Islamic symbols and common heritage and to defend
the universality of Islamic religion;
to advance the acquisition and popularization of knowledge in consonance
with the lofty ideals of Islam to achieve intellectual excellence;
to promote cooperation among Member States to achieve sustained socioeconomic
development for effective integration in the global economy, in
conformity with the principles of partnership and equality;
to preserve and promote all aspects related to environment for present and
future generations;
to respect the right of self-determination and non-interference in the domestic
affairs and to respect sovereignty, independence and territorial integrity of
each Member State;
to support the struggle of the Palestinian people, who are presently under
foreign occupation, and to empower them to attain their inalienable rights,
including the right to self-determination, and to establish their sovereign state
with Al-Quds Al-Sharif as its capital, while safeguarding its historic and
Islamic character, and the holy places therein;
to safeguard and promote the rights of women and their participation in all
spheres of life, in accordance with the laws and legislation of Member States;
to create conducive conditions for sound upbringing of Muslim children and
youth, and to inculcate in them Islamic values through education for
strengthening their cultural, social, moral and ethical ideals;
to assist Muslim minorities and communities outside the Member States to
preserve their dignity, cultural and religious identity;
to uphold the objectives and principles of the present Charter, the Charter of
the United Nations and international law as well as international humanitarian
law while strictly adhering to the principle of non-interference in matters
which are essentially within the domestic jurisdiction of any State;
to strive to achieve good governance at the international level and the
democratization of the international relations based on the principles of
equality and mutual respect among States and non-interference in matters
which are within their domestic jurisdiction;
Have resolved to cooperate in achieving these goals and agreed to
the present amended Charter.
3
CHAPTER I
Objectives and Principles
Article 1
The objectives of the Organisation of the Islamic Conference shall be:
1. To enhance and consolidate the bonds of fraternity and solidarity among the
Member States;
2. To safeguard and protect the common interests and support the legitimate
causes of the Member States and coordinate and unify the efforts of the
Member States in view of the challenges faced by the Islamic world in
particular and the international community in general;
3. To respect the right of self-determination and non-interference in the domestic
affairs and to respect sovereignty, independence and territorial integrity of
each Member State;
4. To support the restoration of complete sovereignty and territorial integrity of
any Member State under occupation, as a result of aggression, on the basis of
international law and cooperation with the relevant international and regional
organisations;
5. To ensure active participation of the Member States in the global political,
economic and social decision-making processes to secure their common
interests;
6. To promote inter-state relations based on justice, mutual respect and good
neighbourliness to ensure global peace, security and harmony;
7. To reaffirm its support for the rights of peoples as stipulated in the UN Charter
and international law;
8. To support and empower the Palestinian people to exercise their right to selfdetermination
and establish their sovereign State with Al-Quds Al-Sharif as its
capital, while safeguarding its historic and Islamic character as well as the
Holy places therein;
9. To strengthen intra-Islamic economic and trade cooperation; in order to
achieve economic integration leading to the establishment of an Islamic
Common Market;
10. To exert efforts to achieve sustainable and comprehensive human
development and economic well-being in Member States;
11. To disseminate, promote and preserve the Islamic teachings and values based
on moderation and tolerance, promote Islamic culture and safeguard Islamic
heritage;
4
12. To protect and defend the true image of Islam, to combat defamation of Islam
and encourage dialogue among civilisations and religions;
13. To enhance and develop science and technology and encourage research and
cooperation among Member States in these fields;
14. To promote and to protect human rights and fundamental freedoms including
the rights of women, children, youth, elderly and people with special needs as
well as the preservation of Islamic family values;
15. To emphasize, protect and promote the role of the family as the natural and
fundamental unit of society;
16. To safeguard the rights, dignity and religious and cultural identity of Muslim
communities and minorities in non-Member States;
17. To promote and defend unified position on issues of common interest in the
international fora;
18. To cooperate in combating terrorism in all its forms and manifestations,
organised crime, illicit drug trafficking, corruption, money laundering and
human trafficking;
19. To cooperate and coordinate in humanitarian emergencies such as natural
disasters;
20. To promote cooperation in social, cultural and information fields among the
Member States.
Article 2
The Member States undertake that in order to realize the objectives in Article 1, they
shall be guided and inspired by the noble Islamic teachings and values and act in
accordance with the following principles:
1. All Member States commit themselves to the purposes and principles of the
United Nations Charter;
2. Member States are sovereign, independent and equal in rights and obligations;
3. All Member States shall settle their disputes through peaceful means and
refrain from use or threat of use of force in their relations;
4. All Member States undertake to respect national sovereignty, independence
and territorial integrity of other Member States and shall refrain from
interfering in the internal affairs of others;
5. All Member States undertake to contribute to the maintenance of international
peace and security and to refrain from interfering in each other’s internal
affairs as enshrined in the present Charter, the Charter of the United Nations,
international law and international humanitarian law;
5
6. As mentioned in the UN Charter, nothing contained in the present Charter
shall authorize the Organisation and its Organs to intervene in matters which
are essentially within the domestic jurisdiction of any State or related to it;
7. Member States shall uphold and promote, at the national and international
levels, good governance, democracy, human rights and fundamental freedoms,
and the rule of law;
8. Member States shall endeavour to protect and preserve the environment.
CHAPTER II
Membership
Article 3
1. The Organisation is made up of 57 States member of the Organisation of the
Islamic Conference and other States which may accede to this Charter in
accordance with Article 3 paragraph 2.
2. Any State, member of the United Nations, having Muslim majority and
abiding by the Charter, which submits an application for membership may
join the Organisation if approved by consensus only by the Council of Foreign
Ministers on the basis of the agreed criteria adopted by the Council of Foreign
Ministers.
3. Nothing in the present Charter shall undermine the present Member States’
rights or privileges relating to membership or any other issues.
Article 4
1. Decision on granting Observer status to a State, member of the United
Nations, will be taken by the Council of Foreign Ministers by consensus only
and on the basis of the agreed criteria by the Council of Foreign Ministers.
2. Decision on granting Observer status to an international organisation will be
taken by the Council of Foreign Ministers by consensus only and on the basis
of the agreed criteria by the Council of Foreign Ministers.
CHAPTER III
Organs
Article 5
The Organs of the Organisation of the Islamic Conference shall consist of:
1. Islamic Summit
2. Council of Foreign Ministers
3. Standing Committees
6
4. Executive Committee
5. International Islamic Court of Justice
6. Independent Permanent Commission of Human Rights
7. Committee of Permanent Representatives
8. General Secretariat
9. Subsidiary Organs
10. Specialized Institutions
11. Affiliated Institutions
CHAPTER IV
Islamic Summit
Article 6
The Islamic Summit is composed of Kings and Heads of State and Government of
Member States and is the supreme authority of the Organisation.
Article 7
The Islamic Summit shall deliberate, take policy decisions and provide guidance on
all issues pertaining to the realization of the objectives as provided for in the Charter
and consider other issues of concern to the Member States and the Ummah.
Article 8
1. The Islamic Summit shall convene every three years in one of the Member States.
2. The Preparation of the Agenda and all necessary arrangements for the convening
of the Summit will be done by the Council of Foreign Ministers with the
assistance of the General Secretariat.
Article 9
Extraordinary Sessions will be held, whenever the interests of Ummah warrant it, to
consider matters of vital importance to the Ummah and coordinate the policy of the
Organisation accordingly. An Extraordinary Session may be held at the
recommendation of the Council of Foreign Ministers or on the initiative of one of the
Member States or the Secretary-General, provided that such initiative obtains the
support of simple majority of the Member States.
CHAPTER V
Council of Foreign Ministers
Article 10
1. The Council of Foreign Ministers shall be convened once a year in one of the
Member States.
7
2. An Extraordinary Session of the Council of Foreign Ministers may be convened at
the initiative of any Member State or of the Secretary-General if such initiative is
approved by a simple majority of the Member States.
3. The Council of Foreign Ministers may recommend convening other sectorial
Ministerial meetings to deal with the specific issues of concern to the Ummah.
Such meetings shall submit their reports to the Islamic Summit and the Council of
Foreign Ministers.
4. The Council of Foreign Ministers shall consider the means for the implementation
of the general policy of the Organisation by:
a. Adopting decisions and resolutions on matters of common interest in
the implementation of the objectives and the general policy of the
Organisation;
b. Reviewing progress of the implementation of the decisions and
resolutions adopted at the previous Summits and Councils of Foreign
Ministers;
c. Considering and approving the programme, budget and other financial
and administrative reports of the General Secretariat and Subsidiary
Organs;
d. Considering any issue affecting one or more Member States whenever
a request to that effect by the Member State concerned is made with a
view to taking appropriate measures in that respect;
e. Recommending to establish any new organ or committee;
f. Electing the Secretary General and appointing the Assistant Secretaries
General in accordance with Articles 16 and 18 of the Charter
respectively;
g. Considering any other issue it deems fit.
CHAPTER VI
Standing Committees
Article 11
1. In order to advance issues of critical importance to the Organisation and its
Member States, the Organisation has formed the following Standing
Committees:
i. Al Quds Committee
ii. Standing Committee for Information and Cultural Affairs
(COMIAC)
iii. Standing Committee for Economic and Commercial
Cooperation (COMCEC)
8
iv. Standing Committee for Scientific and Technological
Cooperation (COMSTECH).
2. The Standing Committees are chaired by Kings and Heads of State and
Government and are established in accordance with decisions of the Summit
or upon the recommendation of the Council of Foreign Ministers and the
membership of such Committees.
CHAPTER VII
Executive Committee
Article 12
The Executive Committee is comprised of the Chairmen of the current, preceding and
succeeding Islamic Summits and Councils of Foreign Ministers, the host country of
the Headquarters of the General Secretariat as well as the Secretary-General as an exofficio
member. The Meetings of the Executive Committee shall be conducted
according to its Rules of Procedure.
CHAPTER VIII
Committee of Permanent Representatives
Article 13
The prerogatives and modes of operation of the Committee of Permanent
Representatives shall be defined by the Council of Foreign Ministers.
CHAPTER IX
International Islamic Court of Justice
Article 14
The International Islamic Court of Justice established in Kuwait in 1987 shall, upon
the entry into force of its Statute, be the principal judicial organ of the Organisation.
CHAPTER X
Independent Permanent Commission on Human Rights
Article 15
The Independent Permanent Commission on Human Rights shall promote the civil,
political, social and economic rights enshrined in the organisation’s covenants and
declarations and in universally agreed human rights instruments, in conformity with
Islamic values.
9
CHAPTER XI
General Secretariat
Article 16
The General Secretariat shall comprise a Secretary-General, who shall be the Chief
Administrative Officer of the Organisation and such staff as the Organisation requires.
The Secretary-General shall be elected by the Council of Foreign Ministers for a
period of five years, renewable once only. The Secretary-General shall be elected
from among nationals of the Member States in accordance with the principles of
equitable geographical distribution, rotation and equal opportunity for all Member
States with due consideration to competence, integrity and experience.
Article 17
The Secretary General shall assume the following responsibilities:
a. bring to the attention of the competent organs of the Organisation matters
which, in his opinion, may serve or impair the objectives of the Organisation;
b. follow-up the implementation of decisions, resolutions and recommendations
of the Islamic Summits, and Councils of Foreign Ministers and other
Ministerial meetings;
c. provide the Member States with working papers and memoranda, in
implementation of the decisions, resolutions and recommendations of the
Islamic Summits and the Councils of Foreign Ministers;
d. coordinate and harmonize, the work of the relevant Organs of the
Organisation;
e. prepare the programme and the budget of the General Secretariat;
f. promote communication among Member States and facilitate consultations
and exchange of views as well as the dissemination of information that could
be of importance to Member States;
g. perform such other functions as are entrusted to him by the Islamic Summit or
the Council of Foreign Ministers;
h. submit annual reports to the Council of Foreign Ministers on the work of the
Organisation.
Article 18
1. The Secretary-General shall submit nominations of Assistant Secretaries
General to the Council of Foreign Ministers, for appointment, for a period of
5 years in accordance with the principle of equitable geographical distribution
10
and with due regard to the competence, integrity and dedication to the
objectives of the Charter. One post of Assistant Secretary General shall be
devoted to the cause of Al-Quds Al-Sharif and Palestine with the
understanding that the State of Palestine shall designate its candidate.
2. The Secretary-General may, for the implementation of the resolutions and
decisions of the Islamic Summits and the Councils of Foreign Ministers,
appoint Special Representatives. Such appointments along with mandates of
the Special Representatives shall be made with the approval of the Council of
Foreign Ministers.
3. The Secretary-General shall appoint the staff of the General Secretariat from
among nationals of Member States, paying due regard to their competence,
eligibility, integrity and gender in accordance with the principle of equitable
geographical distribution. The Secretary-General may appoint experts and
consultants on temporary basis.
Article 19
In the performance of their duties, the Secretary-General, Assistant Secretaries
General and the staff of the General Secretariat shall not seek or accept instructions
from any government or authority other than the Organisation. They shall refrain from
taking any action that may be detrimental to their position as international officials
responsible only to the Organisation. Member States shall respect this exclusively
international character, and shall not seek to influence them in any way in the
discharge of their duties.
Article 20
The General Secretariat shall prepare the meetings of the Islamic Summits and the
Councils of Foreign Ministers in close cooperation with the host country insofar as
administrative and organizational matters are concerned.
Article 21
The Headquarters of the General Secretariat shall be in the city of Jeddah until the
liberation of the city of Al-Quds so that it will become the permanent Headquarters of
the Organisation.
CHAPTER XII
Article 22
The Organisation may establish Subsidiary Organs, Specialized Institutions and grant
affiliated status, after approval of the Council of Foreign Ministers, in accordance
with the Charter.
11
Subsidiary Organs
Article 23
Subsidiary organs are established within the framework of the Organisation in
accordance with the decisions taken by the Islamic Summit or Council of Foreign
Ministers and their budgets shall be approved by the Council of Foreign Ministers.
CHAPTER XIII
Specialized Institutions
Article 24
Specialized institutions of the Organisation are established within the framework of
the Organisation in accordance with the decisions of the Islamic Summit or Council
of Foreign Ministers. Membership of the specialized institutions shall be optional and
open to members of the Organisation. Their budgets are independent and are
approved by their respective legislative bodies stipulated in their Statute.
Affiliated Institutions
Article 25
Affiliated institutions are entities or bodies whose objectives are in line with the
objectives of this Charter, and are recognized as affiliated institutions by the Council
of Foreign Ministers. Membership of the institutions is optional and open to organs
and institutions of the Member States. Their budgets are independent of the budget of
the General Secretariat and those of subsidiary organs and specialized institutions.
Affiliated institutions may be granted observer status by virtue of a resolution of the
Council of Foreign Ministers. They may obtain voluntary assistance from the
subsidiary organs or specialized institutions as well as from Member States.
CHAPTER XIV
Cooperation with Islamic and other Organizations
Article 26
The Organisation will enhance its cooperation with the Islamic and other
Organizations in the service of the objectives embodied in the present Charter.
12
CHAPTER XV
Peaceful Settlement of Disputes
Article 27
The Member States, parties to any dispute, the continuance of which may be
detrimental to the interests of the Islamic Ummah or may endanger the maintenance
of international peace and security, shall, seek a solution by good offices, negotiation,
enquiry, mediation, conciliation, arbitration, judicial settlement or other peaceful
means of their own choice. In this context good offices may include consultation with
the Executive Committee and the Secretary-General.
Article 28
The Organisation may cooperate with other international and regional organisations
with the objective of preserving international peace and security, and settling disputes
through peaceful means.
CHAPTER XVI
Budget & Finance
Article 29
1. The budget of the General Secretariat and Subsidiary Organs shall be borne by
Member States proportionate to their national incomes.
2. The Organisation may, with the approval of the Islamic Summit or the Council
of Foreign Ministers, establish special funds and endowments (waqfs) on
voluntary basis as contributed by Member States, individuals and
Organisations.These funds and endowments shall be subjected to the
Organisation’s financial system and shall be audited by the Finance Control
Organ annually.
Article 30
The General Secretariat and subsidiary organs shall administer their financial affairs
according to the Financial Rules of Procedure approved by the Council of Foreign
Ministers.
Article 31
1. A Permanent Finance Committee shall be set up by the Council of Foreign
Ministers from the accredited representatives of the participating Member
States which shall meet at the Headquarters of the Organisation to finalize the
programme and budget of the General Secretariat and its subsidiary organs in
accordance with the rules approved by the Council of Foreign Ministers.
13
2. The Permanent Finance Committee shall present an annual report to the
Council of Foreign Ministers which shall consider and approve the programme
and budget.
3. The Finance Control Organ comprising financial/auditing experts from the
Member States shall undertake the audit of the General Secretariat and its
subsidiary organs in accordance with its internal rules and regulations.
CHAPTER XVII
Rules of Procedure and Voting
Article 32
1. The Council of Foreign Ministers shall adopt its own rules of procedure.
2. The Council of Foreign Ministers shall recommend the rules of procedures of
the Islamic Summit.
3. The Standing Committees shall establish their own respective rules of
procedure.
Article 33
1. Two-third of the Member States shall constitute the quorum for the meetings
of the Organisation of the Islamic Conference.
2. Decisions shall be taken by consensus. If consensus cannot be obtained,
decision shall be taken by a two-third majority of members present and voting
unless otherwise stipulated in this Charter.
CHAPTER XVIII
Final Provisions
Privileges and Immunities
Article 34
1. The Organisation shall enjoy in the Member States, immunities and privileges
as necessary for the exercise of its functions and the fulfilment of its
objectives.
2. Representatives of the Member States and officials of the Organisation shall
enjoy such privileges and immunities as stipulated in the Agreement on
Privileges and Immunities of 1976.
3. The staff of the General Secretariat, subsidiary organs and specialised
institutions shall enjoy privileges and immunities necessary for the
14
performance of their duties as may be agreed between the Organisation and
host countries.
4. A Member State which is in arrears in the payment of its financial
contributions to the Organization shall have no vote in the Council of Foreign
Ministers if the amount of its arrears equals or exceeds the amount of the
contributions due from it for the preceding two full years. The Council may,
nevertheless, permit such a Member to vote if it is satisfied that the failure to
pay is due to conditions beyond the control of the Member.
Withdrawal
Article 35
1. Any Member State may withdraw from the Organisation by notifying the
Secretary-General one year prior to its withdrawal. Such a notification shall be
communicated to all Member States.
2. The State applying for withdrawal shall be bound by its obligations until the
end of the fiscal year during which the application for withdrawal is
submitted. It shall also settle any other financial dues it owes to the
Organisation.
Amendments
Article 36
Amendments to the present Charter shall take place according to the following
procedure:
a. Any Member State may propose amendments to the present Charter to
the Council of Foreign Ministers;
b. When approved by two-third majority of the Council of Foreign
Ministers and ratified by a two-third majority of the Member States, it
shall come into force.
Interpretation
Article 37
1. Any dispute that may arise in the interpretation, application or implementation
of any Article in the present Charter shall be settled cordially, and in all cases
through consultation, negotiation, reconciliation or arbitration;
2. The provisions of this Charter shall be implemented by the Member States in
conformity with their constitutional requirements.
15
Article 38
Languages of the Organisation shall be Arabic, English and French.
Transitional Arrangement
RATIFICATION AND ENTRY INTO FORCE
Article 39
1. This Charter shall be adopted by the Council of Foreign Ministers by two-third
majority and shall be open for signature and ratification by Member States in
accordance with the constitutional procedures of each Member State.
2. The instruments of ratification shall be deposited with the Secretary General
of the Organisation.
3- This Charter replaces the Charter of the Organisation of the Islamic
Conference which was registered in conformity with Article 102 of the
Charter of the United Nations on February 1, 1974.
Done at the city of Dakar (Republic of Senegal), the Seventh day of Rabi Al-Awal,
One Thousand Four Hundred and Twenty-nine Hijra, corresponding to Fourteenth
day of March Two Thousand and Eight.
OIC-CHARTER-FINAL-miscdoc-ah-08
 
Members of OIC

Note: The table can be sorted alphabetically or chronologically using the "><" icon.

Country Joined Notes
Afghanistan, Islamic Republic of 1969 Suspended 1980 - March 1989
Algeria, People's Democratic Republic of 1969
Chad, Republic of 1969
Egypt, Arab Republic of 1969 Suspended May 1979 - March 1984
Guinea, Republic of 1969
Indonesia, Republic of 1969
Iran, Islamic Republic of 1969
Jordan, Hashemite Kingdom of 1969
Kuwait, State of 1969
Lebanon, Republic of 1969
Libya, Socialist People's Libyan Arab Jamahiriya 1969
Malaysia 1969
Mali, Republic of 1969
Mauritania, Islamic Republic of 1969
Morocco, Kingdom of 1969
Niger, Republic of 1969
Pakistan, Islamic Republic of 1969
Palestine, represented by the Palestine Liberation Organization 1969
Saudi Arabia, Kingdom of 1969
Senegal, Republic of 1969
Sudan, Republic of the 1969
Somalia 1969
Tunisia, Republic of 1969
Turkey, Republic of 1969
Yemen Arab Republic 1969 From 1990 as Republic of Yemen united with People's Democratic Republic of Yemen
Bahrain, State of 1970 From 2003 as Kingdom of Bahrain
Oman, Sultanate of 1970
Qatar, State of 1970
Syrian Arab Republic 1970
United Arab Emirates, State of 1970
Sierra Leone, Republic of 1972
Bangladesh, People's Republic of 1974
Gabon, Republic of 1974
Gambia, Republic of the 1974
Guinea-Bissau, Republic of 1974
Uganda, Republic of 1974
Burkina Faso 1975
Cameroon, Republic of 1975
Comoros, Federal Islamic Republic of the 1976
Iraq, Republic of 1976
Maldives, Republic of 1976
Djibouti, Republic of 1978
Benin, Republic of 1982
Brunei Darussalam, Sultanate of 1984
Nigeria, Federal Republic of 1986
Azerbaijan, Republic of 1991
Albania, Republic of 1992
Kyrgyzstan, Republic of 1992
Tajikistan, Republic of 1992
Turkmenistan, Republic of 1992
Zanzibar January 1993 Withdrew August 1993
Mozambique, Republic of 1994
Kazakhstan, Republic of 1995
Uzbekistan, Republic of 1995
Suriname, Republic of 1996
Togo, Republic of 1997
Guyana, Republic of 1998
Côte d'Ivoire, Republic of 2001
Suspended or Withdrawn
Zanzibar Jan 1993 Withdrew August 1993
Observer States
Bosnia and Herzegovina 1994
Central African Republic 1997
Northern Cyprus (as 'Turkish Cypriot State' under sovereignty of Cyprus) 1979 Official 2004
Thailand, Kingdom of 1998
Russian Federation 2005
Observer Muslim Organizations and Communities
Moro National Liberation Front 1977
Observer Islamic institutions
Parliamentary Union of the OIC Member States 2000
Islamic Conference Youth Forum for Dialogue and Cooperation 2005
Observer International Organizations
League of Arab States 1975
United Nations 1976
Non-Aligned Movement 1977
Organization of African Unity 1977
Economic Cooperation Organization 1995


[edit] Membership attempts

--------------------------------------------------------------------------------

Membership in the OIC:

Member
Members once temporarily suspended
Withdrew
Observer
Attempted to join but blocked India - has the third largest (Behind Indonesia and Pakistan, respectively) Muslim population in the world and had shown its interest in joining the OIC, as an observer nation. While India's candidacy is supported by several OIC members including Saudi Arabia, Malaysia, Iran and Egypt,[13] some influential OIC members like Pakistan have blocked India's inclusion into the OIC. They argue that though India is home to more than 135 million Muslims, they form just over 13% of India's total population. (By comparison, Muslims form only 7.3% of Guyana's population, and no more than 10% of Russia's.)[citation needed]
Philippines - The Philippine government has made attempts to join the OIC, but was opposed by its Muslim minority of the state. Muslims make up only 5% (4.5 million) of the 90 million population in this predominantly Christian country (this estimate is disputed by the BangsaMoro people that put the Muslim population at 15 million) [14]
 
Back
Top Bottom