Juu ya OIC na Mahakama ya Kadhi

Juu ya OIC na Mahakama ya Kadhi

Kwa hiyo siku ukiundwa umoja wa nchi za kikristo duniani Tanzania itajiunga bila tatizo wala nini.
Isiwe ni kutamani faida kadhaa za kujiunga bila kuzingatia maana na matokeo ya ujumla ya kujiunga na umoja huo.

Iwapo kuna mikataba Feki kila kona ya nchi ambayo kisingizio chake ni kukosa utaalaamu wa kuchambua vifungu na kuweka maslahi ya taifa mbele, ni vipi leo serikali tusiitilie mashaka juu ya uamuzi wa kujiunga na jumuia ya kiislamu?

Kesho mambo yakienda kisengere nyuma watakuja twambia kwamba hawakusoma kanuni vizuri lakini nia ya kujiunga ilikuwa ni njema kabisa. Kisha Membe atamalizia kwa kusema alipigwa shinikizo kutoka juu.
 

That is radiculous, you can not join organizations without consulting the People.

Tanzania comprises of Christians, Islams, and others. The Citizens of TZ must be involved in such issues. I think it is unethical and unmerital doing what they are doing without consulting pioneers.

Who do they think they are?

According to our President we have our ways and culture in dealing with issues pertaining to Wananchi interests. As far as Tanzania concern we donot hold referendum to the exception of Serikali ya Mseto. We united our two countries without consult Wananchi and we were joining many international bodies without referendum. Even when Committees propose according to findings from Wananchi stands we do not have the tradition of abide to the findings. The three government proposal, independent contesters and many others were negleted to the expense of Wananchi opinions.

Then why this of OIC?
 
sidhani kama unaweza kunionyesha niliposema msijadili!! mie nasema mnajadili upuuzi na kisa cha kufanya hivyo ni "udini" uliojificha mioyoni mwenu.....

hizo ni two cents zangu, kama hutaki haya!!

Unajua mwelevu hawezi jadili upuuzi lazima mpuuzi atajadili upuuzi Haya mkuu,

Tatizo la wengi humu nikuona yeye anayofanya ama anachosema ndio sahihi na upande wapili lazima utakua sio sahihi tu kwa vyovyote vile ndio hua inafika hatua ya kuona anachosema yule tofauti na mimi ni upuuzi tu.

Na hii ndio inajenga mabavu ya hoja yasikubali challenge na hatimaye kuzaa ka dictator kadogo ka mawazo.
 
Uislamu ni Empire kisha ni Dini.

Baada ya kuanguka kwa Ottoman Islamic Empire Uislamu unajitahidhi kwa kila hali kushawishi nchi masikini kama Tanzania kuji aligne upande wake.

Kishawishi kikubwa sana kwa nchi masikini kujiunga ni fedha na nanchi tajiri za OIC hufaidika kwa ruksa ya nchi hizo kuwekeza bila mpaka katika nchi fukara hizo ikiwa ni pamoja na kununua maeneo na kuyafanya ni sehemu ya urithi wao wa asili milele kwa mfama kama ule wa Loliondo na kule kwa Wahadzabe.
 
Kama ni kutafuta bei rahisi ya mafuta basi mimi ningeishauri serikali ifanye kila iwezalo ,tujiunge na umoja wa ulaya na hatimaye shengeni ,maana tutaiingiza bidhaa nyingi bila ushuru.Na tutajipatia kubeba mabox bila viza wala kubugudhiwa.

HAYA MAWAZO ya Membe utafikiri alitoka kuota njozi bwana,hakuna kitu cha DEZO hapa duniani.mtu akikupa kitu ameshakupigia mahesabu ya mda mrefu.
 
Unajua mwelevu hawezi jadili upuuzi lazima mpuuzi atajadili upuuzi Haya mkuu,

Tatizo la wengi humu nikuona yeye anayofanya ama anachosema ndio sahihi na upande wapili lazima utakua sio sahihi tu kwa vyovyote vile ndio hua inafika hatua ya kuona anachosema yule tofauti na mimi ni upuuzi tu.

Na hii ndio inajenga mabavu ya hoja yasikubali challenge na hatimaye kuzaa ka dictator kadogo ka mawazo.

Hili ni jamvi hadharani yeyote anapita hapa.
Kueleza upumbavu wa mtu kwa adabu ni kuchambua maneno yake kwa hoja.
Kutamka moja kwa moja kwamba hoja ya mtu fulani ni ya kipumbavu ni kukiri mapungufu binafsi bila hiari.
 
...msumbiji waliingia kipindi kile baada ya kutoka kwenye vita ..kwa hali ya uchumi waliyokuwa nayo walikubali ofa yeyote ambayo ingekuwa na masilahi kwao....lakini ni uganda na msumbiji tu ..ambazo sababu zilikuwa za udini wa amin na masilahi..kwa msumbiji.......kumbukeni juhudi za msumbiji kusaka maslahi baada ya vita ndefu zilifanya waombe pia uanachama wa COMMONWEALTH

Je, kuna sharti linalosema kwamba nchi inayojiunga na umoja huo ni lazima iwe 'nchi ya kiislamu'? Na wataitambuaje kama nchi ni ya Kiislamu au la? Hawa jamaa wanatoa sana mikopo na uzuri wa mikopo yao haina riba, ukikopa $100 unarudisha $100 hata kama ni baada ya miaka 10 au zaidi na nchi nyingi duniani zimefaidika na mikopo hiyo labda na sisi tufaidike na mikopo hiyo. Hmmm! Tanzania tukikopa huko pesa zote zitaishia mifukoni mwa mafisadi!!!!
 
wewe unaijua ama ni historia tuu mkuu wangu??

waiislamu nigeria wana nguvu sana ,hukumbuki hata mwaka jana ama juzi walihukumu mwanamama kupigwa mawe hadi kufa baada ya kuzini bila ndoa??

Mpaka haki za binadamu walipoingia kati?? kuiweka kiti moto serikali ya nigeria acha bwana.

Nchi karibia zote hapo ktk list ni waislamuu tu kwenda mbele

Kwamtaji huo Waislamu wa Tanzania wana haki kama sehemu ya jamii kujiunga. Huu mtindo wa kuwafanya kundi moja halina haki mpaka kundi jengine litake hautupeleki pahala. Unafikiri kuwepo uwakilishi wa Vatican kunawapendeza Waislamu ? tunatakiwa tuwe na kuvumiliana ili tupate marafiki kwa makundi yote mawili yaani Waislamu na Wakirsto.
 
Darwin kama jina langu

Pale Zanzibar ilipotaka kujiunga kwenye hii jumuia mbona Tanganyika walitaka hata kuvunja muungano na kuinyooshea kidole.
Haya sasa kumetokea nini mpaka sasa Tanganyika yenye wakiristo na sie kina Darwin kujiunga na hio jumuia?

Hii ndio inayoonyesha dhahiri kwamba wazanzibari hawawezi kuamua mambo yao wenyewe wanayoona yataifaa jamii ya waunguja na wapemba

Kwa hili nawaunga mkono wale waliopinga wakati ule kwani Watanzania tulikuwa hatujataalamka na mbinu za waandishi wa habari. Wakati ule uliandikwa waraka feki ndani ya gazeti uliokuwa ukionyesha kuwa OIC iliazimia kupambana na ukiristo. Kwa wakati huu wale waliofanya vile hawathubut kwa vile Watanzania tunafatilia Habari za ulimwengu na hivyo sioahisi sasa kudanganywa. Waliodanganyika ni pamoja na Wabunge wetu na nina uhakika sasa kuwa wanajiona vibaya kwa kukubali kudanganywa kipumbavu.
 
...........nimeangalia hiyo link kumbe zanzibar ..si tu kuwa ilijaribu bali ilijiunga kabisa..na someni maelezo waliyopeleka huko yanakatisha tamaa..

hizo uganda ilijiunga na OIC wakati wa IDDI amin DADA ambaye inajulikana dhahiri alitaka kuifanya uganda ISLAMIC REP.....NA moja ya strategy ya kwanza aliyoanza nayo ilikuwa OIC...mnajua kila kitu huanza kwa kuingiza kichwa....then unazama..."hata ngamia ukimruhusu aingize kichwa utamuona analazimisha kuingiza mwili mzima ..japo asilani hautaingia....."

Hii ni kuthibitisha tu kuwa si kweli kuwa Zanzibar ilifukuzwa kwa sababu si nchi bali iliamua kujitowa kwa ahadi ya kuwa tutaingia kama Tanzania wakati ukifika. Nakuhusu suala la Uganda , Uganda sio nchi pekee yenye wingi wa Wakristo bali Msumbiji is even more christianity nation kuliko Uganda na pia hiyo Uganda ingeweza kujitowa kama isineona faida ya OIC
 
watanzania hatuendelei kutokana na mawazo tegemezi.

watu tunapenda sana kufanya mambo kwa kufuata mkumbo eti fulani mbona kipo ama kafanya hivi.

Angalia na jenga hoja kulingana na mazingira yako sio kuangalia nani kivipi?

Mfano hatuwezi kufuata mfano URA wa uganda sisi tanzania kujitafutia demokrasia.

Kila kitu kinategemea mazingira ,
ndio maana wahenga wakasema ukiiga kwa tembo kunya kinyesi kikubwa utapasuka matako.

Nakubalina nawe kuwa tu wategemezi sana lakini katika ulimwengu wetu huu sisi Watanzania tunaweza kufanya jipya lipi ambalo wengine hawajafanya. Tulifanya ujamaa wa aina yetu tukashindwa , tumeunganisha nchi zetu kiaina yetu imekuwa matatizo matupu.
Mie ningeshauri wangeachiwa Zanzibar wakafufua uwanachama wao kwa vile wana sifa zinazotakiwa, Wao ni nchi ya Waislamu wengi na ni nchi iliyobobea katika kutegemea na kuachiwa Tanzania inayoogopa uislamu na haihitaji msaada kutoka kwa Waislamu labda kutoka kwa Papa Bush na Brouwn.
 
We're trying to tap as much help as we can. Oil is booming, Saudi's and his buddies gatta a lot of extra cash. I don't see any problem.
 
Na ukiangalia nchi hizo za waafrika weusi walio katika kundi hilo zaidi ya 80 % ndio wenye migogoro ya kivita.

Zifuatilieni tu hizo nchi za afrika ndio wanamigogoro ya kipigana pigana.

With due respect sikubalini nawe. Ivo ukiitowa Tanzania Bostwana, Lestho.Swaziland Zambia, hapa Afrika kuna nchi gani zilizokuwa hazina migogoro? Jee Zimbabwe, Ethiopia< Msumbiji, Angola, South Afrika na nyengine ni wanachama wa OIC, mbona walipita au wapo kwenye migogoro. Halafu nchi kama Ghana,na Senegal nazo zina migogoro? Bora utowe hoja nyengine kwa hii haina mshiko.
 
NI ZA WIKIPEDIA ..YES..LAKINI wikipedia hawajabuni hayo maelezo ..kuna ishara kuwa yamewasilishwa au kuwa updated na SMZ....UKISOMA HAYO MAELEZO ...YANASISITIZA KUWA ZANZIBAR ni nchi iliyokuwa kwenye jamhuri[hawajaweka neno ya muungano].....na zaidi...wameenda mbali zaidi kuiandikisha zanzibar kama nchi ..along with other 50 members[mashirikiano ya kimataifa ni masuala ya muungano]...sioni mantiki ya OIC kuitambua zanzibar kama nchi...unless wangeweza kuipa sifa ya ASSOCIATE MEMBERSHIP..au OBSERVERS....LAKINI wame ABUSE...JMT.....

KIMSINGI HILI SUALA LA OIC LIPO WELL PUSHED NA NI STRATEGY..NI MATOKEO YA KAMPENI ZA URAIS ZA MTANDAO KUGHARAMIWA NA IRAN........[SENIOR MEMBER WA OIC].....NA HASA IKIZINGATIWA ASA SAID TUNAAMBIWA TUCHAGUE KATI YA KUVUNJA MUUNGANO AU KUJIUNGA NA OIC...I THINK WE ARE TARGETTED....LAKINI WE ARE SMART...

OIC SIO MUARUBAINI WA MATATIZO YETU,,..HATA HAO UGANDA NA OIC SIJAONA WAMEPATA NINI....ZAIDI YA KUJENGEWA CHUO KUKUU ..NA MSIKITI MKUBWA......ISLAMIC UNIVERSITIES HAZINA FAIDA KUBWA KWA WATU WOTE....

Kila jumuiya inakuwa na utratibu wake na ina hiari ya kutambuwa Nchi kwa kigezo ujmuiya inachokiamuwa. Huweji jua kuwa OIC waliikubali zanzibar kwa kigezo gani?
Hata hivyo hapajaharibika jambo. SEhemu moja ya Muungano isijiunge na iachie Zanzibar iendelee na uanachama wake. Katika kufanya hivyo hakutaondowa hadhi ya jina la Tanzania na pale jambo lisipokuumiza hakuna haja ya kumzuia mwengine asifanye analoliona lina faida nae.
 
Kwamtaji huo Waislamu wa Tanzania wana haki kama sehemu ya jamii kujiunga. Huu mtindo wa kuwafanya kundi moja halina haki mpaka kundi jengine litake hautupeleki pahala. Unafikiri kuwepo uwakilishi wa Vatican kunawapendeza Waislamu ? tunatakiwa tuwe na kuvumiliana ili tupate marafiki kwa makundi yote mawili yaani Waislamu na Wakirsto.


...jamani hadi lini mtaambiwa kuwa VATICAN IPO HAPA NA UBALOZI KAMA NCHI KAMILI...mwanachama wa UMOJA WA MATAIFA.....ni nchi yenye wakristo asilimia 99.9 kama saudi ilivyo na waislamu 99%.....nadhani mtakubali kuwa OIC siyo nchi......na mtaacha kuhalalisha pia mambo ya kadhi na TAIFA LA VATICAN.....kadhi inaweza kuanza hata kesho vile vile ..kwa gharama za waumini wake....

baada ya kila wakati ufafanuzi wa vatican kuwa nchi kutolewa ...na watu ..tena wasomi tu kujifanya hawauelewi...nadhani wanahitaji kupuuzwa!!!

...uganda na msumbiji ndio mataifa pekee circular au yenye population kubwa ya wakristo....yaliyoingia OIC...NARUDIA UGANDA ILIIINGIZWA NA DIKTETA IDDI AMIN akiwa na ambition za kuifanya uganda islamic..rep..mozambique walijiunga baada ya vita ya zaidi ya miaka 30 ...wakitaka masilahi kwa yeyote aliyewanyooshea mkono...ikiwemo kujiunga na commonwealth pamoja na kuwa walitawaliwa na ureno......je tuna mazingira ya hizi nchi mbili???>>>>naombeni mje na mfano wa nchi nyingine zaidi ya hizi mbili zenye population ya wakristo kama hapa kwetu zilizo wanachama...ndio tuanzie hapo.....

upande wa muungano wa zanzibar una waislamu asilimia 98%..lakini ikumbukwe kuwa thats make out of 1 million wananchi....when you bring that data to the union...its not convincing percentage as to allow our nation to either align itself with muslim or christian nations or allience or whatsoever..we are happy they way we are!!!
 

...NO WE TANZANIAN..OR SAY TANGANYIKAS ....AND I REPEAT OIC IS NOT MWARUBAINI OF OUR MATATIZO..IDDI AMIN ALIINGIZA UGANDA OIC..BUT HAKUNA FAIDA ..ZAIDI YA KUJENGEWA MSIKITI AMBAO HATA HAUKUISHA HADI LIBYA [OLD AMINS DUDES..ALIPOAMUA KUUMALIZIA]..NA ILE UNIVERSITY AMBAYO SIKUMBUKI HATA SERIOUS SCHOLAR MMOJA MAARUFU AMBAYE NI ALUMNI PALE]...................

..WANA MKAKATI WA OIC WAMEAMUA KURUSHA MISHALE MIWILI ILI TUKIKWEPA MMOJA MMOJA U HIT TARGET.....HATUTAKI HIYO OIC....NA MUUNGANO KUVUNJA HADI SISI TUAMUE .....SANA SANA ..SERIKALI MOJA!!

Wakati wa kutumia Muarubaini umekwisha na sasa tunatumia dawa mchanganyiko na OIC tukichanganya na Dolla za Papa Bush, misaada yakudhalilishwa ya EU, misaada ya wakwe zetu Arabuni na mabakuli mengine tutajitibu.
 
All this is ridiculous! Wanaacha kushughulikia mambo ya wananchi wanajiunga na OIC! Kuna ulazima gani, huku ni kuitafuta migogoro, au ni njia ya ku divert attention ya watu kutoka vita ya ufisadi na kuanza kelele ya OIC! Au wanataka watu wapige kelele halafu baadaye rais aseme ameamua kuachana na OIC ili apate credit kuwa anawasikiliza watu!! Matatizo ya nchi hii hayatatuliwa kwa kuislimisha nchi! Ni kupamabana na wahujumu uchumi na watu kufanya kazi, wala sion kujiunga na jumuiya za kikristo au kiislam!

Du mzee naona unajazba. Usiwe na wasi wasi wakitusilimisha tutawapigia kelele mpaka watusilimuwe.
 
Hapana mkuu
mtu ana uhuru wa kujadili anachotaka ndio maana tukapewa talanta tofauti na akili tofauti.

Mtu Mwingine anaondoa stress zake za umasikini kwa kuona mwingine ni masikini zaidi.

Mwingine anaona kujadili UFISADI bila kubadili mambo ya msingi ktk katiba pia ni upuuzi kwake na kupoteza mda.

Mwingine anaona kujadili mambo ya msingi ktk katiba ni upuuzi vilevile. Na kuzmzomea jamaa fulani kua fisadi ni mwafaka kwake.

Mwingine anaona Mbowe ndio suluhu,mwingine anaona maalimu Seif,mwingine Mrema ,Mwingine Mtikikila muingine ni upuuzi tu wote hao na kupoteza mda kujadili mambo hayo.

Hivyo mkuu mara nyingi unapoona jamaa fulani anafanya mambo ya kipuuzi vivyo hivyo huyo jamaa anavyokuana nawe wafanya mambo ya kipuuzi.suluhu ktk hilo ni kuvumiliana tu ktk upuuzi wetu wote.

Mzee tuko pamoja kwa hili....
 
Kila jumuiya inakuwa na utratibu wake na ina hiari ya kutambuwa Nchi kwa kigezo ujmuiya inachokiamuwa. Huweji jua kuwa OIC waliikubali zanzibar kwa kigezo gani?
Hata hivyo hapajaharibika jambo. SEhemu moja ya Muungano isijiunge na iachie Zanzibar iendelee na uanachama wake. Katika kufanya hivyo hakutaondowa hadhi ya jina la Tanzania na pale jambo lisipokuumiza hakuna haja ya kumzuia mwengine asifanye analoliona lina faida nae.


....kwa kuamua kujiunga na tanganyika ..both coutries surrendered there sorveinity..to form one ..tanzania nation ..which is responsible to all matters related to INTERNATIONAL COOPERATION INCLUDING MEMBERSHIP TO ORGANISATION OR RELEVANT...INTERNATIONAL RELATIONS...ZANZIBAR HAD NO MANDATE IN FIRST PLACE TO DISCUSS THAT DEAL..IMPLIFYING THAT ANY SUCH DISCUSSIONS WERE VOID AND ILLEGAL...AND SO FIT TO BE TERMED SUSPECIOUS..FOR THAT ORGANISATION WITH LEARNED PERSON OF SUCH AFFAIRS TO AGREE AND THERAFTER RECOGNISE PART OF OUR COUNTRY AS INDEPENDENT MEMBER..AND CONS THAT AMOUNT TO TREASON ..OR TRYING TO SEIZE THE POWER OF THE PRESIDENT OF THE UNION..THIS SIGNIFY THE HIDDEN AGENDA...IN OIC...walikuwa na haraka gani...?

so simply any move by sitting union president,gorvernment or constituitient of our state..to push tanzania in whole or part to this organisation without full consent of all wananchi will be useless and will be brought down...or if zanzibar deceides to rejoin by it self and the sitting president or gov..watches it will be regarded as failure of the former to SAFE GUARD OUR CONSTITUTION WHICH HE WAS SWORN TO PROTECT...And this may result to automatically resignation .impeachment or removal of the president by his own ......

hii kitu sio rahisi ati!!!!
 
Jamani, hebu naomba tuisome vizuri katiba yetu ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwenye Ibara ya 19(2), naomba ninukuu ibara yote ya 19 kwa manufaa ya wengi:

19(1)- Kila mtu anastahili kuwa uhuru wa mawazo, imani na uchaguzi katika mambo ya dini, pamoja na uhuru wa mtu kubadilisha dini au imani yake

19(2)- Kazi ya kutangaza dini, kufanya Ibada na kueneza dini itakua ni huru na jambo la hiari la mtu binafsi, na shughuli na uendeshaji wa jumuia za dini zitakuwa nje ya shughuli za mamlaka ya nchi.

19(3)- Hifadhi ya haki zilizotajwa katika ibara hii itakua chini ya taratibu zilizowekwa na sheria ambazo ni muhimu katika jamii ya kidemokrasia kwa ajili ya usalama wa jamii, amani katika jamii maadili ya jamii na umoja wa kitaifa.

19(4)- Kila palipotajwa neno "dini" katika ibara hii ifahamike kwamba maana yake ni pamoja na madhehebu ya dini, na maneno mengineyo yanayofanana ua kuambatana na neno hilo nayo yatatafsiriwa kwa maana hiyo.


Kutokana na maelezo ya ibara hiyo ya 19, Kwa uelewa wangu ni kwamba, serikali haipaswi kujihusisha kwa namna yoyote na masuala ya nayohusiana na dini kwa namna yoyote ile, hivyo kitendo cha serikali kufikiria/kuwaza kujiunga na OIC kitakua ni kunyume cha sheria tena kitakua ni uvunjaji wa katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Sambamba na hili, kitendo cha Serikali kujihusisha na mjadala wa mahakama ya Kadhi ni ukiukwaji wa Katiba ya Jamhuri wa Muungano wa Tanzania kwani, Katiba iko wazi wazi kabisa kwamba, suala la kueneza dini au uendeshaji wa jumuia za kidini ni swala la mtu binafsi, hivyo serikali kujihusisha na hii mijadala ya Mahakama za Kadhi na OIC ni kunyume cha sheria na ni uvunjaji wa Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977 (soma toleo la mwaka 2005 ukurasa wa 23)
 
Last edited:
Back
Top Bottom