Mfamaji
JF-Expert Member
- Nov 6, 2007
- 6,629
- 1,950
Hah hah enter the tree! Enter the bush , vanish inti the bush ? Safi.Lakini angalau umetupa cha kujadili.. Akina MM na mwanzisha mada wame-enter the tree tangu jana..
Hah hah enter the tree! Enter the bush , vanish inti the bush ? Safi.Lakini angalau umetupa cha kujadili.. Akina MM na mwanzisha mada wame-enter the tree tangu jana..
Wandugu fanyeni kazi tujenge Taifa, acheni umbeya!
Jadi haiachwi ndugu....tunajenga taifa na tunatia umbea at the same time upo?
Huyo ni Mkuu wa Usalama wa Taifa
Colonel Gadafi bado hajashindwa na ameanza vitu vyake kwa kurudisha baadhi ya majimbo yaliyotekwa na jamaa wasio kuwa na dira,unajua hata maTaifa yanayotaka kusaidia wazalendo wamechanganyikiwa kwani hawajui nani yupo nyuma ya pata shika ya Libya ,Libya hakuna chama cha siasa,hivi sasa kuna mgenge kibao ,na Gadafi alivyokuwa mjanja aliwambia walinzi wa maghala ya silaha waondoke na wavae na kuchanganyika na raia au warejee Tripoli akijua kutatokea makundi na kuzitumia silaha hizo zaidi ya hayo kama ulisikiliza BBC na CNN leo ,wamesema wengi waliovamia maghala hawajawahi kuona hata bunduki kwa minajili ya kuitumia zaidi ya hivyo Gadafi karusha kombora kwa kusema waliofanya vitendo hivyo ni wafuasi wa Alkaeda sasa wazungu wameshikwa na kizunguzungu hawajui wamsaidie nani ,mfungwa mmoja wa Libya ameachiwa kutoka Guantanamo bay alipohojiwa kasema kweli Libya wapo wafuasi wa Alkaeda yeye akiwa mmoja wao.Whatever kitaeleweka tu. Kashindwa Gaddaffi na kashfa na vitisho vyoooote itakuja kuwa bongo. Give me a break. Anamtisha nani sasa? Aweke mambo sawa CHICHIEMU hahaha. Wajinga ndio waliwao.
du mr / mis I love you..thank you.
kwa kiasi kikubwa nimehisi kitahusiana na idara ya uaslama wa taifa...maana nilisiki kwenye vyombo vya habari kuwa watafanya mkutano..sijui leo?
kampeleka masha kwa mabibi wazuri wa kizungu na makasino siriasi....atakuwa akimpitia pale on transit wale kuku...akute jamaa kamwandalia kidenti!! inaonekana ile habari ya ze komedi kumuonyesha anang'ang'ania arudishiwe wekundu wake gesti ilimuuma..
fanyeni mfanyalo, wasomi hatudanganyikiiiiiiiiiiiiiiiiii!!! ndio vitu klina john mrema na kina silinde walivikataa walivyopewa kama rushwa!!
Colonel Gadafi bado hajashindwa na ameanza vitu vyake kwa kurudisha baadhi ya majimbo yaliyotekwa na jamaa wasio kuwa na dira,unajua hata maTaifa yanayotaka kusaidia wazalendo wamechanganyikiwa kwani hawajui nani yupo nyuma ya pata shika ya Libya ,Libya hakuna chama cha siasa,hivi sasa kuna mgenge kibao ,na Gadafi alivyokuwa mjanja aliwambia walinzi wa maghala ya silaha waondoke na wavae na kuchanganyika na raia au warejee Tripoli akijua kutatokea makundi na kuzitumia silaha hizo zaidi ya hayo kama ulisikiliza BBC na CNN leo ,wamesema wengi waliovamia maghala hawajawahi kuona hata bunduki kwa minajili ya kuitumia zaidi ya hivyo Gadafi karusha kombora kwa kusema waliofanya vitendo hivyo ni wafuasi wa Alkaeda sasa wazungu wameshikwa na kizunguzungu hawajui wamsaidie nani ,mfungwa mmoja wa Libya ameachiwa kutoka Guantanamo bay alipohojiwa kasema kweli Libya wapo wafuasi wa Alkaeda yeye akiwa mmoja wao.
Colonel Gadafi ni askari shujaa amekosea chupuchupu kufariki katika matokeo mbalimbali ,wazungu wanamwita Death survivor ,alianguka na ndege akapona alipigwa misile akapona ,mtoto wake alifariki. Na wanasema hao wazungu kuwa ipo kazi.
We Halisi, saa 3 asubuhi haijafika tu uwashe hiyo simu utoe taarifa ulizoahidi?
Ni marufuku CDM kufanya maandamano katika Jiji la DSM na Arusha. Jeshi la polisi limeagizwa kuzuia kwa gharama yoyote.
We Halisi, saa 3 asubuhi haijafika tu uwashe hiyo simu utoe taarifa ulizoahidi?