JK kaacha kishindo Dar?

JK kaacha kishindo Dar?

Mwiba,
kwa uliyoandika hapo juu, umedhihirishia umma ya kuwa wewe ni sawa na gadafi.
 
kishindo ni kuwa:
-othman rashid amestaafishwa kwa manufaa ya umma
-lawrance masha ateuliwa kuwa balozi nchini Switzerland (JK analipa fadhila za IMMA kumwajiri riz1) - balozi wa sasa ana staafu
-richard kasesera awa balozi nchini msumbiji (JK analipa fadhila za richard kuwa mpiga debe hodari) - balozi wa sasa ana staafu
-joseph kahama awa balozi nchini china (JK analipa fadhila za sinclair kuwasaidia na membe) - balozi wa sasa ana staafu

source: chanzo cha kuaminika ofisi ya Katibu Kiongozi

KWA HAPO ATAKUWA AMEMSAIDIA SANA, Mhe. Masha kwani nilikutana naye pale airport amechoka na kuwa mtu wa kawaida kabisa, hata kupitia kwa watu maarufu kulikuwa kumekwisha tulikuwa naye kwenye joto tukisubiri mizigo pamoja, nusu niulize kwa sauti WEWE SIYO MHE. MASHA, lakini niliweza kujiuzia, na alikuwa anaongea kama chiriku huku akilaumu hali ya uwanja,,,,,,,,,,haha ahah ahaha siasa kweli si hasa.
 
Tumeenda hadi pg ya 7 kwa speculations tu. Duh!

kama kawaida...niko home nakunywa kahawa..window moja nasikiliza mahojiano ya mwanakijiji na Mh.Rais Dr w.Slaa

na window nyingine niko kwenye hii pagenafatilia tetesi hizi..
 
Mkuu baada ya kusomaa baadhi ya post nimepata kigugumizi, nasubiri taarifa rasmi ili nitegue kitendawili, maana ni utata mtupu na ndio maana si Breaking News ni "tetesi" na tunachotafuta ni uthibitisho japo hadi sasa taarifa hazijasema ni "uongo" ama "ukweli".... Kila anayesema anazungumza kimaslahi zaidi.

Kuna mtu amezungumzia Watanzania hawahitaji kujua kuhusu mtendaji wa serikali anayeteuliwa ama kustaafu..Nikamsikia mtu mmoja akijibu;

"Mwaka 1995 kabla ya uchaguzi, Marehemu Jaji Mkuu Mstaafu, Francis Nyalali, alisema (tafsiri yangu ya Kiswahili), Mtendaji fisadi anafasidi mtu mmoja mmoja ama kikundi kidogo cha watu lakini fisadi mwanasiasa anafasidi jamii nzima. Mwaka huu (1995)tujihadhari na na ufisadi (rushwa) katika kuwania madaraka katika uchaguzi mkuu na tunaelekea kuwa na mamluki wa kisiasa katika mfumo wa siasa za nchi hii maana tutakua na wanasiasa wanaotoa na kula rushwa (mafisadi) ambao hawatajali wapiga kura isipokuwa fedha zao na waliowafadhili."

Kwa maelezo hayo, mtendaji ambaye jukumu lake ni kuhakikisha hayo hayatokei, ambaye anapaswa kuhakikisha tunakua na viongozi safi wasio na doa, akiwa yeye anashiriki kuandaa viongozi wala rushwa wenye rekodi chafu, basi yeye ndiye wa kuanza kudhibitiwa (kama kweli) na baadae hao wanaoohofiwa sasa nao washughulikiwe, kinyume chake ni kwamba hata akiletwa malaika hao wanaohofiwa wataendeleza mikakati yao na kumuingia huyo mpya na zaidi katika mfumo mchafu kama huu wetu hatuna mtendaji ambaye hajapitiwa na harufu mbaya na kama wapo ni wachache ambao nao wamekuwa wakitengwa na kupigwa vita kila kukicha.

Mungu atupe subira na atuepushe na balaa maana dalili si nzuri hata kidogo tusipokua makini
Tegua kitendawili mkuu, watu tunaifuatilia hii thread toka alfajiri lakini hatuelewi lolote.
 
kama kawaida...niko home nakunywa kahawa..window moja nasikiliza mahojiano ya mwanakijiji na Mh.Rais Dr w.Slaa

na window nyingine niko kwenye hii pagenafatilia tetesi hizi..

Tupopamoja Mkuu!! Keep the Vigil; hatoki mtu mpaka kieleweka.....mfano wa Tahir Square!!
There are currently 138 users browsing this thread. (43 members and 95 guests)

Jf ina vimbwanga!hebu wekeni hiyo mnayohisi ni tetesi au kishindo.ili wenye uwezo wa ku-comfirm tufanye hivyo!otherwise hii ni cra...
 
KWA HAPO ATAKUWA AMEMSAIDIA SANA, Mhe. Masha kwani nilikutana naye pale airport amechoka na kuwa mtu wa kawaida kabisa, hata kupitia kwa watu maarufu kulikuwa kumekwisha tulikuwa naye kwenye joto tukisubiri mizigo pamoja, nusu niulize kwa sauti WEWE SIYO MHE. MASHA, lakini niliweza kujiuzia, na alikuwa anaongea kama chiriku huku akilaumu hali ya uwanja,,,,,,,,,,haha ahah ahaha siasa kweli si hasa.

Baada ya kukosa ubunge ndio anajua hali ya uwanja ni ndovu eh!!!!!!???
 
183317_167577389959814_100001226616658_390549_699614_n.jpg
182629_163711583679728_100001226616658_365759_872974_n.jpg
 
Mkuu baada ya kusomaa baadhi ya post nimepata kigugumizi, nasubiri taarifa rasmi ili nitegue kitendawili, maana ni utata mtupu na ndio maana si Breaking News ni "tetesi" na tunachotafuta ni uthibitisho japo hadi sasa taarifa hazijasema ni "uongo" ama "ukweli".... Kila anayesema anazungumza kimaslahi zaidi.

Kuna mtu amezungumzia Watanzania hawahitaji kujua kuhusu mtendaji wa serikali anayeteuliwa ama kustaafu..Nikamsikia mtu mmoja akijibu;

"Mwaka 1995 kabla ya uchaguzi, Marehemu Jaji Mkuu Mstaafu, Francis Nyalali, alisema (tafsiri yangu ya Kiswahili), Mtendaji fisadi anafasidi mtu mmoja mmoja ama kikundi kidogo cha watu lakini fisadi mwanasiasa anafasidi jamii nzima. Mwaka huu (1995)tujihadhari na na ufisadi (rushwa) katika kuwania madaraka katika uchaguzi mkuu na tunaelekea kuwa na mamluki wa kisiasa katika mfumo wa siasa za nchi hii maana tutakua na wanasiasa wanaotoa na kula rushwa (mafisadi) ambao hawatajali wapiga kura isipokuwa fedha zao na waliowafadhili."

Kwa maelezo hayo, mtendaji ambaye jukumu lake ni kuhakikisha hayo hayatokei, ambaye anapaswa kuhakikisha tunakua na viongozi safi wasio na doa, akiwa yeye anashiriki kuandaa viongozi wala rushwa wenye rekodi chafu, basi yeye ndiye wa kuanza kudhibitiwa (kama kweli) na baadae hao wanaoohofiwa sasa nao washughulikiwe, kinyume chake ni kwamba hata akiletwa malaika hao wanaohofiwa wataendeleza mikakati yao na kumuingia huyo mpya na zaidi katika mfumo mchafu kama huu wetu hatuna mtendaji ambaye hajapitiwa na harufu mbaya na kama wapo ni wachache ambao nao wamekuwa wakitengwa na kupigwa vita kila kukicha.

Mungu atupe subira na atuepushe na balaa maana dalili si nzuri hata kidogo tusipokua makini

This is the long wait...... Kwanini usitoe kama tetesi tu baadaye uka-confirm???
 
Kamati ya nishati na madini yapendekeza pamoja na mengine mitambo ya dowans itumike.?!
 
KWA HAPO ATAKUWA AMEMSAIDIA SANA, Mhe. Masha kwani nilikutana naye pale airport amechoka na kuwa mtu wa kawaida kabisa, hata kupitia kwa watu maarufu kulikuwa kumekwisha tulikuwa naye kwenye joto tukisubiri mizigo pamoja, nusu niulize kwa sauti WEWE SIYO MHE. MASHA, lakini niliweza kujiuzia, na alikuwa anaongea kama chiriku huku akilaumu hali ya uwanja,,,,,,,,,,haha ahah ahaha siasa kweli si hasa.
tuache ushabiki, Masha hajachoka na hi law firm has started to show a positive curve since he went back... jamani pamoja na kwamba tunaweza kuchukia mtu, basi tuwe careful kuropoka
 
khaaa me mwenyewe nimeshangaaa mana...................huyu bwana(msanii) sikutegemea ka angefanya haya yote
 
KWA HAPO ATAKUWA AMEMSAIDIA SANA, Mhe. Masha kwani nilikutana naye pale airport amechoka na kuwa mtu wa kawaida kabisa, hata kupitia kwa watu maarufu kulikuwa kumekwisha tulikuwa naye kwenye joto tukisubiri mizigo pamoja, nusu niulize kwa sauti WEWE SIYO MHE. MASHA, lakini niliweza kujiuzia, na alikuwa anaongea kama chiriku huku akilaumu hali ya uwanja,,,,,,,,,,haha ahah ahaha siasa kweli si hasa.

Mkuu

Af nyie ndo mnaowafanya hawa watu waibe kwa kuhofia kuchekwa KACHOKA
 
Kuna taarifa kwamba Rais Kikwete ameacha kishindo ndani ya serikali kabla hajaondoka. Nalala usiku mwema kwa walio na usiku wengine hata sijui nisemeje, ila tukiamka tuttafuaatili, sitopokea simu hadi kesho saa 3 asubuhi

Please a self explanatory information!
this is a Great thinkers' forum!
thinkers does not have partial information nor do they gossip!!!
please improve my friend!! I care and respect you thats why am saying this!!
 
Back
Top Bottom