tusubiri tu jamani... na sisi tuna beep vile vile.. ila kwa wale ambao tunafahamu mazingaombwe tunajua wakati mwingine hata kitu kikibadilishwa mbele ya macho yako haina maana ni kweli kimebadilika kwani mazingaombwe ni sanaa ya kudanganya macho.
Kishindo kwa maana gani?
kakomba hela zote au?
Aiii semeni baas mnatuweka roho juu
We Maria Roza usijali...kalale ntakuamsha Mwanakijiji atakapo mwaga habari! :A S 13:
Where are they?Data found
Ahahahaaah! Eti zuga!!kuna zuga gani amefanya !!!??
Ni marufuku CDM kufanya maandamano katika Jiji la DSM na Arusha. Jeshi la polisi limeagizwa kuzuia kwa gharama yoyote.
JK amekimbia nchi??? maana ndio kishindo ninachoona he is capable of.
Ni marufuku CDM kufanya maandamano katika Jiji la DSM na Arusha. Jeshi la polisi limeagizwa kuzuia kwa gharama yoyote.