Utingo
JF-Expert Member
- Dec 15, 2009
- 10,265
- 8,094
Kishindo kwa maana gani?
kakomba hela zote au?
labda harudi tena, kabeba kila kitu. atawarudishia gulf yenu akikosa mteja wa kuinunua:A S 13:
Kishindo kwa maana gani?
kakomba hela zote au?
Wazalendo tufanye kazi! Threads ambazo zimejaa msamiati wa:
Inaaminika, inakisiwa, kuna tetesi, kutoka chanzo cha kuaminika, ilisikika na hata kichwa cha habari "....... kaacha kishindo" ni aina ya uandishi unaojengwa na misingi mikubwa miwili:
1. Kujadili mambo mepesi ya maisha ya watu binafsi
2. Kuibua mihimuko na hisia za watu (sensationalism)
Hii njemba kama kweli imestaafishwa basi ni uamuzi mzuri maana ilikuwa inafanya matanuzi kwa pesa za walipa kodi kwa fujo sana. Hivi karibuni alifanya kufuru katika harusi ya binti yake.
Mh!mkuu huyu Othman Rashid alikuwa ni nani na amefanya kosa gani ?
kishindo ni kuwa:
-othman rashid amestaafishwa kwa manufaa ya umma
-lawrance masha ateuliwa kuwa balozi nchini Switzerland (JK analipa fadhila za IMMA kumwajiri riz1) - balozi wa sasa ana staafu
-richard kasesera awa balozi nchini msumbiji (JK analipa fadhila za richard kuwa mpiga debe hodari) - balozi wa sasa ana staafu
-joseph kahama awa balozi nchini china (JK analipa fadhila za sinclair kuwasaidia na membe) - balozi wa sasa ana staafu
source: chanzo cha kuaminika ofisi ya Katibu Kiongozi
chadema ndicho chama tawala ndio maana vyama vingine vyote vinawapinga
Sijui CHADEMA wana nini hasa hadi wanaogopwa namna hiyo..
Walichonacho ni kile kilicho kuwa 'halisi' October 31, 2010. Kama hujui kamuulize Makame na TISS