JK kaacha kishindo Dar?

Tetesi ni kwaamba JK amemtema Rashid Othman wa TISS kabla ya kwenda Paris
 
Tetesi ni kwaamba JK amemtema Rashid Othman wa TISS kabla ya kwenda Paris

Huyo Rashidi Othmani ndio NINI??? na sitorudi tena kwenye thead hii naona waanzisha thread na wachangiaji wanapiga siasa. Inaboa kusoma kula mchango na hamna kinachoendelea.
 
Tetesi ni kwaamba JK amemtema Rashid Othman wa TISS kabla ya kwenda Paris

Kama ni kweli...ahsante kwa kutohoa.....

Ila kama kamwondoa Rashid TISS...kwa wananchi haina maslahi wala impact yoyote maana hayo yote ni maslahi yao...Umma haufaidiki lolote na kuwepo au kutokuwepo kwa TISS yenyewe sembuse na huyo mkuu wao...Taifa linahitaji ukombozi...na sio vishindo vya 'wafu wanaokimbizana kulindana'...!

Huko alikokimbilia...ni kutafuta sifa za nje wakati ndani hakukaliki...anaweweseka, anaogopa wananchi wake mwenyewe ambao wanapaaza tu sauti za haki bila kuwa na silaha...lakini woga unamjaa....! Kwa style yake hii, Tunamuomba Muumba aikamilishe kazi yake ya laana kwa inasema .."kila mkimbia asili (na shida za watu wake), kuzimu inamwita..." ....labda ndiyo 'blessed disguise' inakuja kwa taifa....NDIYO KISHINDO KINACHOWEZA KUTOKEA!...embu tusubirie...!
 
Lakini angalau umetupa cha kujadili.. Akina MM na mwanzisha mada wame-enter the tree tangu jana..

Nadhani kuna jambo zito la kujadili. Kama ni kweli why? Na je, amestaafu ama anapewa ulaji mwengine? Je, ni kuhussu 2015 politics ama siasa za Chadema? Ina uhusiano gani na speech yake ya last time? Je, ndio baada ya kuondoka amekamatwa Slaa?
 
I hope jamaa ataendelea ku-enjoy haki yake ya msingi: To live..
Kama kweli JK amemmwaga, kuna uhusiano mkubwa na ile habari iliyotoka wikileaks, na ilikuwa ni suala la kusubiri wakati ili waweze kumwondoa kwenye system.
 
Upelelezi my foot, wanashindwa kupeleleza mambo muhimu yatakayosaidia ukuaji wa uchumi wa nchi hii, wanashindwa kupeleka hao wapelelezi kwenye nchi nyingine ili wapeleleze na kuja kuleta information ambazo zitasaidia nchi yetu kukua kiuchumi wanakalia kuhangahika na mtu mmoja utafikiri wameambiwa labda yeye ataipindua hii nchi huo ni upunguani na ukosefu wa akili.
 
Back
Top Bottom