JK kaacha kishindo Dar? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

JK kaacha kishindo Dar?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Halisi, Mar 2, 2011.

 1. Halisi

  Halisi JF-Expert Member

  #1
  Mar 2, 2011
  Joined: Jan 16, 2007
  Messages: 2,810
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  Kuna taarifa kwamba Rais Kikwete ameacha kishindo ndani ya serikali kabla hajaondoka. Nalala usiku mwema kwa walio na usiku wengine hata sijui nisemeje, ila tukiamka tuttafuaatili, sitopokea simu hadi kesho saa 3 asubuhi
   
 2. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #2
  Mar 2, 2011
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Una mikwala kuliko ya Gaddafi!
   
 3. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #3
  Mar 2, 2011
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,360
  Likes Received: 6,377
  Trophy Points: 280
  Mkuu na mimi habari zinaanza kungia kutoka vyanzo mbalimbali.. tunajaribu kuthibitisha kama ni kweli....
   
 4. Babu Lao

  Babu Lao JF-Expert Member

  #4
  Mar 2, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 2,056
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Tupe habari mkuu, tujue!!!:A S 13:
   
 5. kilimasera

  kilimasera JF-Expert Member

  #5
  Mar 2, 2011
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 3,073
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Plz mwanakijiji si mzimwage hapa jamvini au hatutakiwi kuzisikia?maana mnatuweka roho juujuu hata tutashindwa kulala!kama mnaweza mtupe basi vidokezo na sisi tuzitafute katika vyanzo vyetu
   
 6. Kibunango

  Kibunango JF-Expert Member

  #6
  Mar 2, 2011
  Joined: Aug 29, 2006
  Messages: 7,635
  Likes Received: 180
  Trophy Points: 160
  Haaaa haaaa haaaa!
   
 7. kipipili

  kipipili JF-Expert Member

  #7
  Mar 2, 2011
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 1,499
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  wait and see
   
 8. Pakawa

  Pakawa JF-Expert Member

  #8
  Mar 2, 2011
  Joined: Mar 11, 2009
  Messages: 3,718
  Likes Received: 3,135
  Trophy Points: 280
  Whatever kitaeleweka tu. Kashindwa Gaddaffi na kashfa na vitisho vyoooote itakuja kuwa bongo. Give me a break. Anamtisha nani sasa? Aweke mambo sawa CHICHIEMU hahaha. Wajinga ndio waliwao.
   
 9. Wacha1

  Wacha1 JF-Expert Member

  #9
  Mar 2, 2011
  Joined: Dec 21, 2009
  Messages: 12,766
  Likes Received: 920
  Trophy Points: 280
  Kuti kavu .... ....
   
 10. Speaker

  Speaker JF-Expert Member

  #10
  Mar 2, 2011
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 6,357
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Kishindo kwa maana gani?
  kakomba hela zote au?
   
 11. kipipili

  kipipili JF-Expert Member

  #11
  Mar 2, 2011
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 1,499
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  kuna kitu hapa
   
 12. kilimasera

  kilimasera JF-Expert Member

  #12
  Mar 2, 2011
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 3,073
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  kitu gani tuambieni sasa!
   
 13. kipipili

  kipipili JF-Expert Member

  #13
  Mar 2, 2011
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 1,499
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  subiri
   
 14. Gang Chomba

  Gang Chomba JF-Expert Member

  #14
  Mar 2, 2011
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 8,790
  Likes Received: 810
  Trophy Points: 280
  Data found
   
 15. kilimasera

  kilimasera JF-Expert Member

  #15
  Mar 2, 2011
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 3,073
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  ninyi bwana mnatuzunguuka mpaka tunajiuliza mna ukweli na hayo mnayoyasema au ni siri si mtuambie tu hicho kishindo ni kipi??
   
 16. Invisible

  Invisible Admin Staff Member

  #16
  Mar 2, 2011
  Joined: Feb 11, 2006
  Messages: 9,090
  Likes Received: 235
  Trophy Points: 160
  Shimboni...?
   
 17. Kichuguu

  Kichuguu Platinum Member

  #17
  Mar 2, 2011
  Joined: Oct 11, 2006
  Messages: 7,202
  Likes Received: 863
  Trophy Points: 280
  JK hana kishindo chochote; ni mkwara tu.

  Wakati wa marehemu Amina (AC), JK alisikika kuwa ataangusha kishindo kwa wauza unga, lakini wapi. Hadi leo hakuna lolote.

  Wakati aliponyimwa hela na wafadhili kwa ajili ya rushwa, aliahidi kuwa masifadi sasa wataipata. Akaunda TAKUKURU badala ya TAKURU na sheria mpya za kuwashughulikia; tangu hilo takola mkulu lianze, hatujaona lolote. Mafisadi wanayeya tu

  JK hawezi kufanya lolote

  JK ni kilaza asiyejua wajibu wa majukumu yake.

  JK ni mtafuta sifa na ni mbinafsi sana. Kwake yeye urais wa nchi ni mradi wa ukoo wake wala haangalii maslahi ya nchi.


  Hakuna cha kishindo wala cha nini kutoka kwa JK.

  Nimesema!!!!!!


  @#$@#$$%^&#^%%(*(&Y&*$&^*!!!!
   
 18. Pakawa

  Pakawa JF-Expert Member

  #18
  Mar 2, 2011
  Joined: Mar 11, 2009
  Messages: 3,718
  Likes Received: 3,135
  Trophy Points: 280
  shafoo Invisible, nimesoma haraka nikijua kuna attachment kumbe ni salamu tu. Kichwa kinaanza kuspin sijui niseme kwa raha au kwa kusubiri kilio. Najipa moyo kwa raha.. Tunasubiri
   
 19. P

  PapoKwaPapo JF-Expert Member

  #19
  Mar 2, 2011
  Joined: Jun 5, 2008
  Messages: 380
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  nasicha saaaaa
   
 20. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #20
  Mar 2, 2011
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,360
  Likes Received: 6,377
  Trophy Points: 280
  tusubiri tu jamani... na sisi tuna beep vile vile.. ila kwa wale ambao tunafahamu mazingaombwe tunajua wakati mwingine hata kitu kikibadilishwa mbele ya macho yako haina maana ni kweli kimebadilika kwani mazingaombwe ni sanaa ya kudanganya macho.
   
Loading...