Ntwa A. Katule
JF-Expert Member
- Jan 4, 2017
- 239
- 225
Ni rahisi sana kama unayo kadi ya benki inayoweza fanya mananuzi online. Na mzigo unafika kwa njia posta bila shida kuanzia wiki tatu.
Mkuu,vipi nikinunua mzigo ambao uzito wake haufiki hata 1 kg unachaji vipi? Na mfano nikihitaji kitu amazon wewe ndio inakuwa was kuship to Tz au?Ghalama zao ziko juu.
Mfano
- Kwa mzigo wa 1kg mimi natoza US $44, kwa mzigo utakao upata ndani ya siku 8-14
- Lakini kwa wao ghalama kwa hiyo 1kg inaanzia us $61.57
- Pia wakati wao wanashughulika na manunuzi ya CHINA na USA, Kwa mimi kupitia huduma ya BUY4ME ninafanya karibia mahara popote pale iwe ni Australia, Canada, Japan, China, Thailand, Dubai, Germany, Uk, US, South Africa, etl kwa zaidi ya mataifa 20 naweza kukununulia mzigo na ukakufikia nchini ndani ya muda husika kati ya siku 8 hadi 14tu.
Karibu: Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa - JamiiForums
View attachment 897602
Mkuu,vipi nikinunua mzigo ambao uzito wake haufiki hata 1 kg unachaji vipi?
Sahihi, mimi ndio nitawajibika kukusafirishiaNa mfano nikihitaji kitu amazon wewe ndio inakuwa was kuship to Tz au?
Hello....wakuu wangu poleni na majukumu ya kila siku .... IRINGA DECOR bado tunaendelea na ofa ya furniture mbalimbali katika msimu huu wa Xmas na mwaka mpya ....tutaendelea kutuma bei zetu rafiki kwa mtanzania wa kawaida .... Zifuatazo ni bei za makabati ya jikoni( kitchen cabinets) ,zikifuatiwa na bei za milango BEI ZA KITCHEN CABINET KWA MSIMU HUU WA XMAS NA MWAKA MPYA -Mbao aina ya mninga au mkongo 940,000/=Sahihi, mimi ndio nitawajibika kukusafirishia
Yaweza kuwa ni
- Amazon UK
- Amazon USA
- Amazon India (Souq.com )
Basi nitawajibika kukufikishia mzigo hapa nchini.
Kwa kutumia huduma yangu ya BUY4ME waweza kufanya manunuzi kutoka mataifa zaidi ya 20 ulaya/ asia & marekani
Karibu
unapokea malipo kwa paypalHello....wakuu wangu poleni na majukumu ya kila siku .... IRINGA DECOR bado tunaendelea na ofa ya furniture mbalimbali katika msimu huu wa Xmas na mwaka mpya ....tutaendelea kutuma bei zetu rafiki kwa mtanzania wa kawaida .... Zifuatazo ni bei za makabati ya jikoni( kitchen cabinets) ,zikifuatiwa na bei za milango BEI ZA KITCHEN CABINET KWA MSIMU HUU WA XMAS NA MWAKA MPYA -Mbao aina ya mninga au mkongo 940,000/=
BEI HII INAHUSISHA VITU VIFUATAVYO SIZE .Mita moja ya Kabati la chini na Kabati LA juu yote kwa pamoja , pamoja na marble **940,000/= kwa kila mita moja MDF PINE 525,000/= BEI HIYO INAhusisha mita moja Kabati LA chini na juu pamoja na marble MILANGO NA FREM ZAKE *MBAO ,MNINGA AU MKONGO 350,000/= *MBAO ..ZINGNEZO 265,000/= *JOINED BORD 325,000/= KWA HUDUMA ZA KITCHEN CABINETS TUNAKUFUATA MTEJA MPAKA ULIPO....milango tunafikisha mpaka ulipo kwa gharama zetu
KARIBUNI SANA KWA BIDHAA ZETU ZENYE UBORA WA HALI YA JUU Call/text/WhatsApp. 0657888724
Yess bossunapokea malipo kwa paypal
Salaam ndugu zangu wa Jf..
Kwa kitambo humu nimekuwa nikiona nyuzi zinazohusu manunuzi kwa njia ya mitandao(online shopping) kwa sites kama Amazon, eBay, alibaba n.k,na niseme tu sikuwa na wazo la kufanya manunuzi mtandaoni kwani kila ambacho ningekitaka kutoka nje ya nchi nakipata kwa urahisi tu bila hata hiyo online shopping, sasa kutokana na kusoma nyuzi mbalimbali humu namimi nikavutiwa kutaka kujua humo eBay na amazon kuna nini la ajabu si ndio nkadownload app ya ebay hili nipate kujua yaliyomo..sasa ile kuingia tu mtandaoni nakuta vitu vipo on sale kwa bei ya nyanya tu halafu vitu vya ukweli hadi roho inauma kwakweli(mifano mtaiona nimesreenshot baadhi ya bidhaa na bei zake muione) kwa mfano kuna simu inauzwa USD 38. Nyingine 12$ nkasema this is something amazing bei ya fungu la dagaa wanauza smartphone wana utani hawa..pia kuna nguo bei rahisi ambapo ni wazi kabisa kwa huku bongo ni ghali mno ..
Sasa swali langu ni kuwa hizi bei ni za kweli au wanatupunga tu watupige changa la macho? Na je kuna aliyefanikiwa kununua vitu hivyo kwa bei hiyo?
#N.B-Moderators samahani sana najua kuna nyuzi nyingi humu kuhusu hii topic lakini zimecontain mawazo tofauti mimi hapa nataka kujua jambo lililoelekezwa hapo kwahyo naomba msiunganishe na Uzi mwingine wapendwa asanteni
#Nayvadius Jeffrey Aweso
#TADPOLEView attachment 916797View attachment 916798View attachment 916799View attachment 916800View attachment 916801
Habari.Salaam ndugu zangu wa Jf..

Mkuu naitaji hii card but link uliyoweka haifunguki. Unaweza ukanisaidia niweze kupata website yao ili ni apply hyo card?Kupokea hela Tanzania lazima utumie US Mastercard Services ambazo ku sign up tu unapata 25$ lkn payout ni mpaka ifikie 100$
Na hela ya kutoa hela ATM za mastercard ni 1% ya hela unayo cashout
Na kwa mwaka unalipa 25$ za service kutumia service yao ambayo iko fair iwapo hiyo acct itakua inakuingiza hela nyingi
Maelezo zaidi angali Chati niloweka chini
Hiyo sio shida faida yao ni nn hawa jamaa?
1.Unafanya maombi ya BURE ya Master Card ambayo inakua ya US kupitia hapa US Mastercard Services
2.Maombi yanachukua mda kidogo lazima uwe mpole kabla hawajakukubalia
3.Wakiyakubali maombi yako utatumiwa Master card yako kupitia FEDEX/DHL
4.Hatua ya pili uta activate card kwenye website yao
5.Baada ya hapo fungua PayPal account kisha weka details za Master card uliyotumiwa
6.Kishautakua unalipwa na kupokea malipo bila shida yoyote
5.Lakini bei zao kutoa hela katika ATM yoyote e.g NBC,CRDB,BARCKLAYS,STANBIC e.t.c makato yao ni kama ifatavyo
Item Price (USD) Unit How Applied Card Account Annual Account Maintenance $29.95 Per year From available balance - each year Card Replacement $12.95 Per card One Time - when issuing a replacement card ATM/Cash Withdrawals or Transactions * ATM Withdrawal or POS/Bank Teller Cash Disbursement $3.15 Per Trx When withdrawal or disbursement is requested
(*surcharge may also be applied by your ATM/POS service provider)ATM Decline Fee $1.00 Per Trx When withdrawal request is declined
(*surcharge may also be applied by your ATM service provider)ATM Balance Inquiry Fee $1.00 Per Trx When ATM balance inquiry is made
(*surcharge may also be applied by your ATM service provider)
umeagiza kupitia njia gani mkuuUmeona kitu eBay hufahamu utakipataje na umekipenda nitumie link kwenye person meseji ya jamii forum pamoja na namba yako nikusaudie kwa gharama nafuu kabisa.
Mimi nimeshanunua simu na vifaa kibao vimefika.
Mfano ni simu unayoiona hapo.View attachment 969412
duh noma sana, bei ya kusafisha inaingia Mara 11 ya bei ya bidhaaDu mkuu nimesurrender yani nimenunua spare part flani kwa 6.07 usd halafu shipping wananiambia 67.34 hahaha huu utani bora niwaachie hicho kitu
Angalia shipping cost ,utakimbia. Unaweza ukaambiwa $ 200+Asee nimeingia ebay nimekuta photocopping machine inauzwa £20 nazani nikama sawa tsh 40 000. du nimeogopa. unaweza lipia ngoma isitumwe
hamna unafuu wowote bora nunua hapa bongo ili ikiharibika inakua rahisi ku solve shida
Tofauti ipo ila ukiweka hela ya kusafirisha utakuta ume save 50,000/= ambayo kwangu mm ni ndogo maana simu ikiharibika au ikipatwa tatizo itakugharimu hela nyingine kuirudish mwisho wa siku ni mule mule
Vipi simu ilipo fika hukulipia kodi wakati wa kuchukuaUmeona kitu eBay hufahamu utakipataje na umekipenda nitumie link kwenye person meseji ya jamii forum pamoja na namba yako nikusaudie kwa gharama nafuu kabisa.
Mimi nimeshanunua simu na vifaa kibao vimefika.
Mfano ni simu unayoiona hapo.View attachment 969412