toplemon
JF-Expert Member
- Mar 26, 2017
- 4,581
- 4,631
ulitumiwa kwa njia IPI???Nimenunua fast charge tangu 26/3/2018. Mpaka leo hakuna taarifa
Bila utakua ushafika
ulitumiwa kwa njia IPI???Nimenunua fast charge tangu 26/3/2018. Mpaka leo hakuna taarifa
Kwa njia ya posta. Mwanzo kabisa niliagiza earphone, zikafika ndani ya muda. Nikaridhishwa na huduma. Ila hii, imekua too muchulitumiwa kwa njia gani???huo ushafika mkuu
bado ni changamoto at least imepungua nowwadau vp kuhusu wizi wa posta zetu? Bd upo?
kweli ila cjawah kujaribuAlibaba pia wazuri, bei za jumla ni poa sana.
Nafikiri hakuzingatia muda, seller akiwa suspended wao eBay ndio wanakupa taarifa kuwa umenunua bidhaa kwa muuzaji aliekuwa suspended hivyo kama ametuma mzigo subiri mpaka expecfed delivery period na kama hautafika bsi wanakurefund muda tu utakaowaambia kuwa mzigo hujaupata..ila ndio inakupasa kuzingatia muda unaopewarefund jee?
Hamna kila nikihangaika waniambia ni contact na seller wakati wao wamemsuspendrefund jee?
OK mkuuNafikiri hakuzingatia muda, seller akiwa suspended wao eBay ndio wanakupa taarifa kuwa umenunua bidhaa kwa muuzaji aliekuwa suspended hivyo kama ametuma mzigo subiri mpaka expecfed delivery period na kama hautafika bsi wanakurefund muda tu utakaowaambia kuwa mzigo hujaupata..ila ndio inakupasa kuzingatia muda unaopewa
Weka postal code ya wilaya uliyopo.sasa lazima niweke postal code yangu au ata ya mtu tu, au shule au naweka postal code zipi apa?
Nafikiri huyu mkuu kakusudia Anuani ndio maana akauliza kama anaweza tumia ya mtu.Weka postal code ya wilaya uliyopo.
Download hii attachment kisha tafuta wilaya yako na chukua hiyo postal code husika.
View attachment 783256
Mfano
- Kwa mkazi wa kivukoni yeye atatumia Postcode hii: 11101
Asante sana bos ngoja nifanye hivyooWeka postal code ya wilaya uliyopo.
Download hii attachment kisha tafuta wilaya yako na chukua hiyo postal code husika.
View attachment 783256
Mfano
- Kwa mkazi wa kivukoni yeye atatumia Postcode hii: 11101
Kwa muda huu ninaandika kuna forwarding company ipi yenye gharama nafuu zaidi ya My US?# Kitu ambacho sikupenda upande wa myus ni kuwa hawana option ya kufanya malipo kwa njia ya Paypal, Makato yao huwa ni automatic toka kwenye kadi yako.
- Nimetumia huduma za kampuni zote mbili
- Nilianza na myus mwezi March na comgateway mwezi July [ screen shot zinajieleza ]
# Kama account yako haina fedha na huna mpango wa kuitumia tena waweza kuwaliza - Nadhani hiki ndicho kimekuvutia zaidi
>> Hilo ni kweli iwapo account yako hana kiasi cha fedha cha kutosha, ila ukiweka tu fedha wanachukuwa chao - Kama lengo ni kupata huduma bila ya kulipia basi kwa point hii myus inakufaa
# Kitu nilichopenda upande wa comgateway.
- Waweza tumia Paypal kufanya malipo
- Kwangu mimi - hupendelea kufanya malipo kwa paypal na si kwa kutumia kadi, Huwa naamini niko salama zaidi
- Mteja uamuzi ni wako ni wakati gani ufanye malipo ili mzigo wako utumwe
- Cost yao kidogo ni nafuu ukilinganisha na myus.
VS
- Hakuna, Zaidi ya huduma yangu: Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasaKwa muda huu ninaandika kuna forwarding company ipi yenye gharama nafuu zaidi ya My US?