Jibu la Aga Khan kipindi cha Rais Kikwete. Elimu kubwa ambayo ni fumbo sana

Kaka yake shetani

JF-Expert Member
Feb 1, 2023
3,997
9,576
Kipindi cha uongozi wa Rais Kikwete tulibahatika kupata ujio wa bwana Aga khan na familia yake kama ilivyo utaratibu wao wakutembelea nchi kwa nchi.

Kutokana na michango mingi ya Aga Khan kama hospital,benki na n.k inamfanya kuwa mtu mwenye ngazi kubwa ya kuangaliwa na nchi nyingi kwa viongozi wakubwa.

Kipindi anakuja tanzania ndipo watu wakajiuliza mbona familia yote imekuja na kila ndege yake wakati ilitakiwa waje na ndege moja.

Swali ili aliulizwa bwana Aga khana wakati wakiongea kama kubadilishana mawazo.Jibu lilokuja "Tukipanda ndege moja ikiwa mmoja anatakiwa kufa kupitia ndege hiyo si wote tutakuwa tumekufa na ndio mwisho wetu"

Ili swali limenikumbusha baada ya matukio ambayo watu wengi wakigombaniwa nafasi mfano nyazifa, utajiri, vikwazo na n.k.

Sababu ya kueleza ili tumeona mifano kama watu wakisindikiza msiba gari moja,harusi gari moja na n.k

Usilalamike kuona msafara mrefu wa kiongozi ukajua ni ubazilifu bali kuna elimu inatumika
Screenshot 2024-05-22 090401.png
 
Unakitu ila hujui namna ya kukiwasilisha Kwa jamii na sio makosa Yako na siwez kukulaumu
 
Back
Top Bottom