Yegomasika
JF-Expert Member
- Mar 21, 2009
- 13,164
- 61,276
Habari ya jiwe kuongea niachie mie, ukija huku Ukerewe jiwe litakuongelesha bure!.Hivi lile jiwe bado linaongea??
Habari ya jiwe kuongea niachie mie, ukija huku Ukerewe jiwe litakuongelesha bure!.Hivi lile jiwe bado linaongea??
Nini mbaya FirstLady1?ooh Preta hii imenipita pembeni si unajua tena why ...
Count me in . I should be in A town by then .
Nini mbaya FirstLady1?
-Umesafiri?
-Unaumwa?
-Kakaangu mkorofi nini?
-au utakuwa umechoka kwaajili ya naniliu, si unajua kaka mtundu!
Hebu soma Pm kwanza.
Sis umeona eeehh.... Hope to see u soooon!!!!
ki ukweli sitaki uende........wewe subiri safari ya Bashnet.......
Habari ya jiwe kuongea niachie mie, ukija huku Ukerewe jiwe litakuongelesha bure!.
sasa nimejua kumbe hujui samaki...........nitakuonyesha aina zote......
Mulamukasi, mimi naomba niwe kwenye kamati ya kupokea wageni. Nina sifa na uzoefu wa kutosha kwenye hii nyanja, nipe hiyo kazi tafadhali!.Kutiki Muramu.... Haya ngoja nisubiri!!!
acha mkwara , utakuwepo weye?
Karibuni sana Rock City Wing..... Tupo tumejaa tele kama pishi la ubwabwa!!!
Ngoja niwaite wadau naona wanamalizia weekend...
Wapi Elizabeth Dominic, ThinkPad, kandukamo1, Home First, ram na wengine woooote walioko Rock City.....
Wageni haaaaoooooo..... Villa Park, Fusion, Malaika, Skylight, Lavenna zitahusika saaaaanaaaa.....
![]()
Nina nafuu 95%. Shukrani za pekee zimwendee Lady doctor na MUNGU.
Kazi ndio imeanza sasa!
Kama kawa nitakuwa na my wife wangu marejesho.
Tatizo Smile nae atakuwepo, sasa sijui ......... vivian usisahau tunaondoka ijumaa dear!!!! amu sasa ile hamu yetu vp!!!!!!!!!!!!!!!!!!!????
Arabela mpango wetu sasa tunaufanyia kazi vizuri eeeh!!!?
Aaaah, embu nitarudi baadae!
Network problem!!!
Elizabeth Dominic,Nipo wikendi ilikuwa ndefu kweli....
Mara moja Kamati ya makaribisho ikae kwa ajili ya ugeni huu mzito....
Nina hamuje?