JF Mwanza Wing mpo? Arusha Wing tunakuja kuwashikaaa...

JF Mwanza Wing mpo? Arusha Wing tunakuja kuwashikaaa...

Last edited by a moderator:
sivunji kibubu mpaka tarehe tajwa hapo juuu.....kushiriki muhimu asante bata eater logistic manager..kuanzia leo naanza kutupia jero jero kwenye kibubu mambo ya deci noooo,..kibubu mbegu huota as you plant..welcomuni sana wadau:smiling:
 
usije na tindikali kamati ya ulinzi Arushaone na Mwanyasi kutoa ulinzi wa kutosha kwa kitu kipya Elizabeth Dominic


Bodybuilder_workouts.jpg

Nani ataleta mchezo nami baunsa niko hapa?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom