JF Mwanza Wing mpo? Arusha Wing tunakuja kuwashikaaa...

JF Mwanza Wing mpo? Arusha Wing tunakuja kuwashikaaa...

user-online.png
Dark City Hahahahahhahahahahahahahah....

Hujawahi kunywa hata bia moja mkuu??

Babu DC!!
Bia thio tatizo Babu, Tatizo watoto wakishua Hii nitawaachia wadhee wa wamujini labuda nitafute mfadhili..
 
Nakumbuka hata mwaka jana uliandika hivi hivi...ila hapo pa private jet ulitumia helicopter...

Mimi na paw ndani ya nyumba. Naona tutakuja na private jet. Fast jet wamekuwa wasumbufu kwa upande wa mizigo. Keep us abreast mamma sittah!
 
Na nilikuja kwa id ile ingine hehehe. Helcopter ilikuwa ya ofisi, hichi kindege tumenunua kwa shares za ccm walipotoa dividend.
mwaka huu nataka kuja na id hii na paw aje na yake, ama unaonaje?
Nakumbuka hata mwaka jana uliandika hivi hivi...ila hapo pa private jet ulitumia helicopter...
 
Hahahaaaaa....... Babuuuu, hiyo ni aina ya samaki, kama hiko kimoja kilivyo kitamu ndivyo vilivyo vitamu hivyo visamaki....

Ukivionja hakika hutokaa uisahau Mwanza.....


Kwani hilo ni jina jipya?

Kwa umri wangu huu wote na uzoefu wangu na maeneo yote ya Ng'wanza (Mwanza), hapa sikia hilo jinal...

Labda kama kuna watu wameamua kuvipa hivyo visamaki promo..

Babu DC!!
 
Back
Top Bottom