JF Mwanza Wing mpo? Arusha Wing tunakuja kuwashikaaa...

JF Mwanza Wing mpo? Arusha Wing tunakuja kuwashikaaa...

Karibuni sana Rock City Wing..... Tupo tumejaa tele kama pishi la ubwabwa!!!

Ngoja niwaite wadau naona wanamalizia weekend...

Wapi Elizabeth Dominic, ThinkPad, kandukamo1, Home First, ram na wengine woooote walioko Rock City.....

Wageni haaaaoooooo..... Villa Park, Fusion, Malaika, Skylight, Lavenna zitahusika saaaaanaaaa.....

2v9t2bn.jpg

Asante mwaya......hiyo Malaika hiyo nataka niione.......nimeisikia sana.........
 
Msikose kuja kuniona hapa Buzuruga Plaza. Mi ni meneja wa tawi la benki ya NMB hapa.

Mkifika tu ulizieni meneja wa tawi mtaletwa hadi ofisini kwangu.
 
Last edited by a moderator:
Heheh isijekuwa wewe ndiye uliyetupokea pale hotelini kwa ukarimu wote...

Nakumbuka Kongosho naye aliibuka kidizaini fulani hadi tunasepa hakuna aliyemjua...

Na nilikuja kwa id ile ingine hehehe. Helcopter ilikuwa ya ofisi, hichi kindege tumenunua kwa shares za ccm walipotoa dividend.
mwaka huu nataka kuja na id hii na paw aje na yake, ama unaonaje?
 
Last edited by a moderator:
Heeh kumbe uko hapo? kesho nitakuja kukuona hapo Buzuruga Plaza, tupange mikakati ya jinsi ya kuwapokea wageni. Arusha wing na wengine wote karibuni sana Mwanza
Msikose kuja kuniona hapa Buzuruga Plaza. Mi ni meneja wa tawi la benki ya NMB hapa.

Mkifika tu ulizieni meneja wa tawi mtaletwa hadi ofisini kwangu.
 
mtanikuta nimejaa tele, zamu yetu sasa watu wa mwanza.karibu sana wala bata tupo wengi huku..soon nitatoa idadi ya viwanja vya maana hapa mjini..mwabejha sana angu..
 
Namie nimo msinisahau booking
Haiyaaa haiyaaaaa........wale wazee wa kula bata......mabilionea wa Chugga.........kama ilivyo kawaida yetu.......December ndio hiyo......
Sasa basi.........mwaka huu upepo unaelekea kanda ya ziwa......MWANZA......yes..........Sato na Nembe hamna bahati.........

Ni tarehe 27th December 2013.........kurudi tarehe 29th Dec 2013..........
Wewe mdau wa JF......unayeelewa maana ya kupumzika baada ya mizunguko ya mwaka mzima.........unga bogi......haijalishi unatokea wapi.........wewe tukutane Mwanza tule raha........

Nia na dhumuni ni kusocialize kama kawaida.........na kutembelea vivutio vya upande huo......bila kusahau kisiwa cha Saanane (si tumeamua kutalii bana).........

kama utashiriki........itikia hapa......hii ni introduction peke yake......itineray na kiasi kitakachohusika........nitawaletea rasmi baada ya kufanyika uchunguzi yakinifu...............

Wenu mtiifu.....
Preta.....
Bata Eaters Logistic Manager.........

CC.... PakaJimmy... Mzee wa Rula...... Filipo..... marejesho..... Blaki Womani....@CANTALICIA....... Smile...... Madame B...... watu8....... Mwanyasi..... Dark City....... Arushaone....... Lily Flower........ KOKUTONA...... Erickb52...... LiverpoolFC.... IGWE........
 
Msikose kuja kuniona hapa Buzuruga Plaza. Mi ni meneja wa tawi la benki ya NMB hapa.

Mkifika tu ulizieni meneja wa tawi mtaletwa hadi ofisini kwangu.

halafu itabidi niombe mkopo nikifika........sawa meneja........
 
Mimi mtanikuta...nina long vacation ya kuvumbua mambo mbali mbali huko usukumani....

Ila kuna neno umelitaja Preta na mimi silielewi ...

Umesema mtakula sato na nini vile??

Babu DC!!

sasa nimejua kumbe hujui samaki...........nitakuonyesha aina zote......
 
Karibuni sana Rock City Wing..... Tupo tumejaa tele kama pishi la ubwabwa!!!

Ngoja niwaite wadau naona wanamalizia weekend...

Wapi Elizabeth Dominic, ThinkPad, kandukamo1, Home First, ram na wengine woooote walioko Rock City.....

Wageni haaaaoooooo..... Villa Park, Fusion, Malaika, Skylight, Lavenna zitahusika saaaaanaaaa.....

2v9t2bn.jpg
Daaaaah..........naunga mkono hoja. Kwa mikono miwili karibuni wapendwa. Samahani nimechelewa liona bandiko Charminglady.
 
Heeh kumbe uko hapo? kesho nitakuja kukuona hapo Buzuruga Plaza, tupange mikakati ya jinsi ya kuwapokea wageni. Arusha wing na wengine wote karibuni sana Mwanza
Kakupiga changa la macho huyo. wanamwita m-beba mabox State.
 
Nimuulize nani tena, si uniambie wewe Lily Flower.
Msalimie Preta, mwambie safari hii haponi, labda akimbie

halafu wewe umezidi kutukimbia.....hebu this time do the needful.........
 
Back
Top Bottom