JF Mwanza Wing mpo? Arusha Wing tunakuja kuwashikaaa...

JF Mwanza Wing mpo? Arusha Wing tunakuja kuwashikaaa...

Tha tha thi thi tuthio mabilionea itakuaje au teendelee kuthugua gaga hadi tuwe mabilionea😕


Hahahahahhahahahahahahahah....

Hujawahi kunywa hata bia moja mkuu??

Babu DC!!
 
Mimi mtanikuta...nina long vacation ya kuvumbua mambo mbali mbali huko usukumani....

Ila kuna neno umelitaja Preta na mimi silielewi ...

Umesema mtakula sato na nini vile??

Babu DC!!

Babuuuuu.... Vinaitwa Vi.nembe, vitamu niaje!!! Uliza watu wa Mwanza watakujuza...
 
Last edited by a moderator:
Mbado kuelewa....

Katika maisha yangu yote na uzee huu, najua kimoja tu....hivyo vingine ndo vinini??

Babu DC!!

Hahahaaaaa....... Babuuuu, hiyo ni aina ya samaki, kama hiko kimoja kilivyo kitamu ndivyo vilivyo vitamu hivyo visamaki....

Ukivionja hakika hutokaa uisahau Mwanza.....
 
halafu preta weka update mara kwa mara watu wanaoenda ili tufanyiane booking mapema! yasijekutokea ya tanga tunamgombania mtu mmoja cc@Arushaone

Haha ha ha ha ha ha haaaaaaa haaaa. Yaani nimecheka saaana saaana
 
Back
Top Bottom