JF Mwanza Wing mpo? Arusha Wing tunakuja kuwashikaaa...

JF Mwanza Wing mpo? Arusha Wing tunakuja kuwashikaaa...

KOKUTONA shosh angu... Tutashare vyote ila si mumee eeee!!!!!

Taratibuuuu bibi weeeee.......
 
Last edited by a moderator:
KOKUTONA shosh angu... Tutashare vyote ila si mumee eeee!!!!!

Taratibuuuu bibi weeeee.......

Ha ha ha aaa i was just joking my dear.

Hapa my husband wangu alishapita akachungulia, nishalambwa makofi ma2, ana wivu jee??
Nitakuja nae shemejiyo full full

cc Smile

Last edited by a moderator:
Ha ha ha aaa i was just joking my dear.

Hapa my husband wangu alishapita akachungulia, nishalambwa makofi ma2, ana wivu jee??
Nitakuja nae shemejiyo full full

cc Smile

Hapo sawa.... make nilianza kuandaa vitu vyenye ncha kali na kunoa mapanga!!!
 
Last edited by a moderator:
Naingoja kwa hamu sana...afu kuna kitu Madame B alinifundisha eti mtalaka hatongozwi nadhani ni wakati muafaka wa mimi nawe kujikumbushia ya zamani tukiwa MZA.

Hapa asipasome Lady doctor.

nami kwa utii sijapasoma kabisa.

Preta Jumapili nitakutafuta uje unipe mchakato kamili sitakosa hii safari ya Mwanza atii.

My sisy charminglady nindalie makazi maalum kabisa maana miguu inaniwasha natamani kutangulia kabla ya siku yenyewe.
 
Last edited by a moderator:
nami kwa utii sijapasoma kabisa.

Preta Jumapili nitakutafuta uje unipe mchakato kamili sitakosa hii safari ya Mwanza atii.

My sisy charminglady nindalie makazi maalum kabisa maana miguu inaniwasha natamani kutangulia kabla ya siku yenyewe.

Sis wewe tena.... Yaaan shaka ondoa tena utafikia kwanngu!!!!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom