JF Mwanza Wing mpo? Arusha Wing tunakuja kuwashikaaa...

JF Mwanza Wing mpo? Arusha Wing tunakuja kuwashikaaa...

Nipo naendelea kuangalia nidhamu ya SIREDI YA STAREHE Kabla wachafuzi wa starehe hawavuka mstari
 
Yeeeree,

Mimi ni mdau wa R-chuga ila mahudhurio yangu kwenye jf siyo ya kivile I guess ndiyo maana sijawahi kupata taarifa za mijumuiko. Kuna mtu anayeweza kunisaidia on how to join with Arusha wing?
 
naona mambo yameiva..ndio maana Nov na Dec ndio best months kwangu.
 
Back
Top Bottom