JF Mwanza Wing mpo? Arusha Wing tunakuja kuwashikaaa...

JF Mwanza Wing mpo? Arusha Wing tunakuja kuwashikaaa...

Iandaliwe timu ya mapokezi! mimi kama vipi nitatoka dar kwa fastjet hadi mwanza kujiumnga katika matanuzi yenu.

pia iwepo sheria kwamba ni marufuku Ke kuja na Me wake au vice verse !
 
nakumbuka kabisa kuomba uanachama wa R chuga na kukubaliwa, imekuwaje kwenye mitoko nawekwa kando?
nimewamind mjue!

Hii ni trip ya mabilionea wa Arusha. Wewe una-exist hapa?

BTW twende sote kwani hata kwenye msafara wa mamba hata kenge wamo!!!! (joke)

Utakwenda my fellow TEJA? (serious)
 
Heheh...!!!

Jasiri huwa haachi asili kinachobadilika ni muda tu...

Duuuuuuuuuuhhhhhhhhhh,

Hivi hiyo michezo ya kung'atishwa mbu bado iko katika dunia hii ambayo kila mtu ni mjasiriamali??

Babu DC!!
 
Iandaliwe timu ya mapokezi! mimi kama vipi nitatoka dar kwa fastjet hadi mwanza kujiumnga katika matanuzi yenu.

pia iwepo sheria kwamba ni marufuku Ke kuja na Me wake au vice verse !

Huo usafiri bado haujaruhusiwa kupitia route hiyo mkuu, itabidi upande Precisionair tu mkuu.

Ila anza kupitisha roll call sasa mkuu, kujua ME na KE.
 
Hii ni trip ya mabilionea wa Arusha. Wewe una-exist hapa?

BTW twende sote kwani hata kwenye msafara wa mamba hata kenge wamo!!!! (joke)

Utakwenda my fellow TEJA? (serious)
yaani kweli mabilionea wa Arusha mna kiburi.....
ghafla hii mnaniona trilionea mimi nimekuwa kenge kwenye msafala wa mamba.... kisa natoka Peramiho..... sawa teja
 
Watu weweeeeeeee....Nikikosa hii safari mie ntaumwa....

Mimi na mume wangu tutakuwepo, hapa tunadiscuss kama turudi hii 2013 au tukae Mwanza mpaka 2014.......

Preta count us in na utupatie muongozo...
 
Last edited by a moderator:
Heheh...!!!

Jasiri huwa haachi asili kinachobadilika ni muda tu...

unajua Dr sikusomi.........?.....nimekufuatilia kote huko sioni uliposema unakuja.........unajua sitakuelewa..........

unajua Dr sikusomi.........?.....nimekufuatilia kote huko sioni uliposema unakuja.........unajua sitakuelewa..........

Hahaha....Dr miye na wewe hatujawahi angushana ila nitakutafuta tuongee....
 
usije ukanisababishia nikaahirisha safari ujue.............

Hahaha wala hautaahirisha hata kidogo Dr...au nikubuku wewe kabisa ndio mtima wako utulie heheh!!!
 
Back
Top Bottom