Lady doctor
JF-Expert Member
- Apr 13, 2013
- 8,756
- 7,005
Last edited by a moderator:
Haiyaaa haiyaaaaa........wale wazee wa kula bata......mabilionea wa Chugga.........kama ilivyo kawaida yetu.......December ndio hiyo......
Sasa basi.........mwaka huu upepo unaelekea kanda ya ziwa......MWANZA......yes..........Sato na Nembe hamna bahati.........
Ni tarehe 27th December 2013.........kurudi tarehe 29th Dec 2013..........
Wewe mdau wa JF......unayeelewa maana ya kupumzika baada ya mizunguko ya mwaka mzima.........unga bogi......haijalishi unatokea wapi.........wewe tukutane Mwanza tule raha........
Nia na dhumuni ni kusocialize kama kawaida.........na kutembelea vivutio vya upande huo......bila kusahau kisiwa cha Saanane (si tumeamua kutalii bana).........
kama utashiriki........itikia hapa......hii ni introduction peke yake......itineray na kiasi kitakachohusika........nitawaletea rasmi baada ya kufanyika uchunguzi yakinifu...............
Wenu mtiifu.....
Preta.....
Bata Eaters Logistic Manager.........
CC.... PakaJimmy... Mzee wa Rula...... Filipo..... marejesho..... Blaki Womani....@CANTALICIA....... Smile...... Madame B...... watu8....... Mwanyasi..... Dark City....... Arushaone....... Lily Flower........ KOKUTONA...... Erickb52...... LiverpoolFC.... IGWE........
Asante sana sis, natumai utaniandalia na malalo pia
Iandaliwe timu ya mapokezi! mimi kama vipi nitatoka dar kwa fastjet hadi mwanza kujiumnga katika matanuzi yenu.
pia iwepo sheria kwamba ni marufuku Ke kuja na Me wake au vice verse !
Huo usafiri bado haujaruhusiwa kupitia route hiyo mkuu, itabidi upande Precisionair tu mkuu.
Ila anza kupitisha roll call sasa mkuu, kujua ME na KE.
Nipo naendelea kuangalia nidhamu ya SIREDI YA STAREHE Kabla wachafuzi wa starehe hawavuka mstari
Shosti kwa kweli jeuri
tunayo........kina nani wengine Tanzania hii wanakula bata kama
sisi.........chezeiyaaaaa.......
Hapo sawa.... make nilianza kuandaa vitu vyenye ncha kali na kunoa mapanga!!!
Labda niwarudishe nyuma kidogo.Ha ha........hapo pa swaga hicho ni kitengo cha PakaJimmy.......ngoja aje.........
Mkubwa ShagigukuKwa kifupi tu napenda kusema KARIBUNI SANA, na hamtakula mapanki bali mtakula sato hadi muwakimbie.....!!!!
Labda niwarudishe nyuma kidogo.
-Mara ya kwanza kabisa Tulipokwenda Tarangire safari ile ilizaa matunda, asiejua kilichotokea aniandikie barua kuuliza!
Mara ya Pili, last Year tulienda Tanga, na kilichotokea wote mlisoma thread ya Mwanyasi jana!
December tunaenda Mwanza, na tayari tuna uhakika kuwa kuna jambo kubwa sana linaenda kutokea!, lakini ni jambo zuri sana, msiogope.
Hivyo safari yetu ya sasa imepewa swaga au kaulimbiu ya BIG RESULTS NOW...maana itatoa matokeo ya haraka, na wote mtayasikia!
Wana Mwanza tunakuja kuwapotezaaaa, kaeni mkaooo!
Tunakuja kuwafundisha kuwa huku Chuga Magugu-Maji ni Mboga!...chezeyaaa!!
Kwa jina lingine kauli mbiu yetu ni WEKA MBALI NA WATOTO!!
Weka mbali na U4 Saro!
Ha ha haaaa!...
Cantalisia,
Preta, Blaki Womani, Lily Flower YNNAH, Filipo, Arushaone, marejesho, Madame B, KOKUTONA, Arabela, Smile Erickb52
hahahah...tunawasubir kwa ham..tuone kama kuku wataona uwivu wakat wa bata kuliwa
Shosti kwa kweli jeuri tunayo........kina nani wengine Tanzania hii wanakula bata kama sisi.........chezeiyaaaaa.......