Jf Chit Chat duh!

Jf Chit Chat duh!

Nimezaliwa Amani na Upendo na nina Ishi amani na upendo. Sitafuti kitu ila nilipita huku kuchangamana nanyi, nimegundua siwawezi.

Usikimbie ndugu, hatung'ati, taratibu utapazoea, mbona mie siasani sikomi, wakiniudhi nawachana napigwa ban nikitoka naenda tena hadi sasa wameshanizoea,
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom