Zero One Two
JF-Expert Member
- Sep 16, 2007
- 9,346
- 3,033
- Thread starter
- #81
Huku ni wa baguzi, na hata baadhi ya member wa kudumu humu wanaona kama ni jukwaa lao, tofauti na jukwaa la siasa kule kinacho angaliwa ni ma point unayotoa mkuu, ukitoa pumba unapotezewa tu.
Usikimbie ndugu, hatung'ati, taratibu utapazoea, mbona mie siasani sikomi, wakiniudhi nawachana napigwa ban nikitoka naenda tena hadi sasa wameshanizoea,