Zion Daughter
JF-Expert Member
- Jul 9, 2009
- 8,920
- 4,244
Shindwa shindwa tena kwa jina lako.... tena ulegee.....
Ahahaha..shauri yako asije akawa yule mzungu wa kichina
Shindwa shindwa tena kwa jina lako.... tena ulegee.....
Hapana hapana bye bye Nicas Mtei siku ingine mnikaribishe kiroho safi..
Uwe unapiga jodi siku nyingine..
ni kweli aisee jodi ni muhimu. Laa sivyo ataludi siasani.
Uwe unapiga jodi siku nyingine..
Hatutaludi tena huku.. Tuludi kufuata nini?
I love you baby mwa mwa mwaaaa...... karibu siasani.
Shindwa shindwa tena kwa jina lako.... tena ulegee.....
Wewe si umesema unaludi siasani mbona bado upo tu humu???
There are currently 5 users browsing this thread. (5 members and 0 guests)
Ndio wewe hujui mie muiraqw tunatamka hivyo
mmh! Bebiii mzuri kama wewe unakua mkali ivyo jamani mh? Ok, mie nishindwa na nimelegea
Ndio wewe hujui mie muiraqw tunatamka hivyo
Sasa kwa nini unataka kuludi siasani?
Nimezaliwa Amani na Upendo na nina Ishi amani na upendo. Sitafuti kitu ila nilipita huku kuchangamana nanyi, nimegundua siwawezi.
Heading yake inaonesha kuna kitu alikuwa anasarandia huku, sema dizain kama alikuwa anaogopa..