Jf Chit Chat duh!

Jf Chit Chat duh!

Hahahaaa achana nae kwanza anaonekana macho juujuu sana hadi anaingia anga za kimataifa lol
Tena akijaribu kwako ndio nayakuza masaburi yake yawe makubwaaaaa zamani tulikuwa tunayaita WOWOWO
Hahahahaaa kidume kitakuwa knatingisha kikitembea heheheeee FP balaaa
ha ha haaaa, yaani nimeshaanza kumvutia picha yake itakavyokuwa, lol!
kweli wewe kiboko
 
mwanaume na masaburi makubwa..mh!...i cant imagn
Hahahaaa achana nae kwanza anaonekana macho juujuu sana hadi anaingia anga za kimataifa lol
Tena akijaribu kwako ndio nayakuza masaburi yake yawe makubwaaaaa zamani tulikuwa tunayaita WOWOWO
Hahahahaaa kidume kitakuwa knatingisha kikitembea heheheeee FP balaaa
 
Teh teh..acha uchokozi

we huoni kama ni msanii huyo, haiwezekani mtu achanganyaye matumizi ya "r" na "l" akafanya double confusion...
Mathalani neno Rudi aandike ludi, lakini neno safari apatie na kuandika safari. Halafu yote hayo anayafanya katika sentensi zinazoambatana...hahahah somebody is tryin to hide his/her identity
 
Afu una akili wewe,Ungekuwa hujaoa..........Kweli kabisa yani uliyosema
 
Hahahaaaaa.... daddy u make me laugh "kiibod zao zinamiss herufi "r"

Yaan kuna raia wasanii sana, halafu wanashindwa kabisa walau kubadilisha hata hizo kibodii wanapoingia kwa ID nyingine...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom