Jf Chit Chat duh!

Jf Chit Chat duh!

Zero One Two

JF-Expert Member
Joined
Sep 16, 2007
Posts
9,346
Reaction score
3,033
Samahanini sana, nimepita huku si kwa ajili ya uchafuzi wa hali ya hewa bali nimepita kwa nia njema... acha niludi siasani kwasababu ndipo nilipo anzia na ndipo naenda kuishia. Samahanini Sana Jf Chit Chat.
Mbarikiwe, Mungu Awazidishie Upendo na mshikamano kama mlio nao.
Copy:
Invisible
Moderator
 
Last edited by a moderator:

we ludi tu huko. Huku haupawezi.
 
Halafu uwe unasalimia basi na wewe
 
Nimezaliwa Amani na Upendo na nina Ishi amani na upendo. Sitafuti kitu ila nilipita huku kuchangamana nanyi, nimegundua siwawezi.

Hutuwezi na hakika hutotuweza kamwe.... We unawezana na kina Ritz, zomba na wengineo wa siasani!!!!
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom