Crashwise
JF-Expert Member
- Oct 23, 2007
- 22,227
- 8,760
halafu wewe nina hasira sana na wewe yaani sikubari...nasema haiwezekani....Atakae nionea MySoul mwambie nimemmiss!
halafu wewe nina hasira sana na wewe yaani sikubari...nasema haiwezekani....Atakae nionea MySoul mwambie nimemmiss!
Unilipe pesa yangu kabla huja jinyonga au kama vipi uache maangizo kabisa.....ndio hiyo......ni wewe tu umenifanya niahirishe kujinyonga kwa leo......lakini kesho mpango upo pale pale
anakula uzazi...Huko Arachuga big up sana.
Rula upo mzee?
anakula uzazi...
Bora mwaya preta we jinyonge ili tule wali maana tumechoka na safari za kericho kila sikuNimeamua kujinyonga rasmi..........
Kiongozi wetu Mwita,
-aka mgeni rasmi
Amani iwe kwako!
Tunafurahi sana kuwa unatujali sana kila ukija!
Lakini zaidi kuna kitu unatufunza kila uwapo na sisi, kuwa katika urafiki na maelewano hakuna lisilowezekana!
Mkuu una mchango wako mkubwa katika mambo mengi tunayojivunia kwa sasa hapa A-Town!
Be the same man, regardless of time changes, karibu sana!
Nimeamua kujinyonga rasmi..........
Bora mwaya preta we jinyonge ili tule wali maana tumechoka na safari za kericho kila siku
Hebu fasta njo night parkhalafu wewe nina hasira sana na wewe yaani sikubari...nasema haiwezekani....
No no no....sio maamuzi ya busara..fikiria tena na tena kabla hujaamua..Mkuu PJ wapi wewe bhanaaa???
hapana......wacha niondoke........na ujumbe nakuachia.......kwamba......waliosababisha yote haya ni PJ na SaharaVoice......wawajibishwe
Preta Nakusubiri ujue! Fasta hebu njoo hapa!
Kwahiyo Preta unaamua kujinyonga bila hata kuniona mama? Aaaaa hebu ukuye hapa ****** baa kwanza tujadili hiyo modaliti ya kuji-nyongahapana......wacha niondoke........na ujumbe nakuachia.......kwamba......waliosababisha yote haya ni PJ na SaharaVoice......wawajibishwe
hapana......wacha niondoke........na ujumbe nakuachia.......kwamba......waliosababisha yote haya ni PJ na SaharaVoice......wawajibishwe
Preta, ntaweka alamu kesho nikukumbushe kujinyonga kama utapitiwa na usingizi