JF Arusha; Beyond keyboards......!!!!

hivi kunakuwaga na HQ mbili?........nimeuliza tu
Hiyo moja ni branch ya HQ DAR

Hivi dogo mbona hauna heshima kwenye sehemu anapopumzikia kaka yako? Mj1 wala hajakusikia mimi na yeye daima dumu kama cuf na magamba

Yaani wewe mgeni umeishajifanya mwenyeji mitaa yetu
Tutamuomba Founder atueleze mchakato wake aliuanzia wapi.
First come,first served
mbona Founder alishalimaliza hili jambo siku ile........au ulikuwa unakunywa nini chenye kuziba masikio?.......hili swala mbona hata Teamo alilikubali..... (maana hata yeye alikuwa anajua ni Dar)
Weeee Preta hebu usimuwekee maneno mdomoni Teamo lol!!
Hilo nalijua, kina thomaso wanataka kutia vidole vyao kwenye makovu, ndiyo hao kina the finest.
Hebu malizia basi ule mlungula uliobaki kwenye mahari yaani haujamaliza halafu unajifanya mjanja
 
hivi Preta, unakaa tu hapa hata hapo jr tu hutaki kufika? Au ndo shida ya vifodi
 
hivi Preta, unakaa tu hapa hata hapo jr tu hutaki kufika? Au ndo shida ya vifodi

wacha tu.....huwezi amini siku hizi ni mazoezi kwa kwenda mbele.......hakuna haja ya gym tena......fanya uje kufanya mazoezi ya lazima
 
Preta Biggy kajibu swali lako hapa chini natumaini unajua na yeye yuko wapi, halfu siku ile si tulikubaliana kuwa Arusha ni branch ya HQ Dar

watu wa branch ya Dar ni wabishi, kwa nini msiwe kama wenzenu wa branch za Mwanza, Mbeya n.k .......haya tunawaazima u-HQ kwa mwezi mmoja.........mmefurahi?
 
wacha tu.....huwezi amini siku hizi ni mazoezi kwa kwenda mbele.......hakuna haja ya gym tena......fanya uje kufanya mazoezi ya lazima
Tatizo ndugu zangu nyie sime nje nje bana...!Ila ntarudi nije nikuunge mguu, ila kutembea hadi kwa mromboo aisee vimbwisi si vitatoa damu? Lol
 
Nzuri sana,mtumishi siku hizi niko mlimani zaidi kuombea watumishi kama sahara,nina neno na ww ntakusemesha sun..

Nadhani utakuwa umebadilisha mlima, si mlima meru tena

Maana inaonekana this time umepanda mlima mrefu sana kiasi kwamba unatumia muda mwingi kushuka thatz why umekuwa adimu kwenye forum.

Sasa kwa nini usiniambie sasahivi? Sun iko mbali sana na huwezi kujua hadi inafika siku hiyo mambo mengi yanaweza kuwa yametokea, plz just tell me now!
 
Kericho is there to stay.......Kericho ni gamba gumu......la Kakakuona......si rahisi kulivua

Kama gamba gumu King maker RA limeng'oka itakuwa kericho?? aah wapi we subiri tu nimnong'oneze shemeji yako utashangaa mwenyewe utakavyoiona kericho inanuka uvundo, hadi hutamani kuisikia achilia mbali kuikumbuka!!
 
18 Reactions
Reply
Back
Top Bottom